Habari za humu ndani,
Nimewahi kuweka uzi wa kutafuta mwenza hapa, nawashukuru mliyojitokeza lakini kutokana na sababu mbali mbali sikuweza au hatukuweza kuwa pamoja. Waliojitokeza wengi tumeshindwana tabia, muonekano na hata utayari.
Kwakweli naumia sababu hisia zangu hazijapata sehemu salama...