hisia

Ghizela (Hungarian: Gizellafalva) is a commune in Timiș County, Romania. It is composed of four villages: Ghizela, Hisiaș (Hosszúág), Paniova (Panyó) and Șanovița (Sziklás).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

    Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari. Je kwa upande wenu huwa inakuaje? Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa...
  2. JamiiForums Tanzania Hamu Kali ya Ngono Kazini: Nifanyeje?

    Sijui ni nini hiki, ila ni Natamani kufanya ngono kila wakati, yaani it requires a little trigger mara wa babeli kusimama. Ni wapo kazini Nita mu idealize mwanamke wa usafi, ni tamu idealize secretary yaani it goes to the point najiona ningelikuwa bora nijihasi tu, maana hii sio kawaida...
  3. JamiiForums Tanzania Sikia Hisia

    Kama unamsikiliza mtu kupata taarifa zinazokusaidia kujibu maswali tuliyozoea— ‘nini’, ‘wapi’, ‘nani’, ‘lini’, bado hujamsikiliza vizuri. Unaweza kujibu maswali hayo yote na usimuelewe mtu. Ukimsikiliza mtu vizuri, kwa kawaida, unaelewa hisia nyuma ya taarifa anazokupa na hata zile asizoweza...
  4. JamiiForums Tanzania Kupata hisia ya kupungukiwa

    Kabisa katika moja na mbili,,, Hiki na kile Hapa na pale..naona kabisa... Daaah! kuna mambo hayako sawa.,,sasa baada ya kutafakari kwa kina nikapata uhakika pasi na shaka kwamba nilikuwa sijaingia JF... UZI TAYARI HAPO VP ,,,AU SIO VP BWAN' Una fegi hapo??
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kuanzia lini na wapi ngozi ya mwanaume Kwa mwanaume inakuwa na hisia/ msisimko hasa wa kingono?

    Kuna vitu vinashangaza sana na sijui ni wasomi kuwa wengi au hata sijui tu. Sisi tumezaliwa na kukua tunalala pamoja tena pasina hata kujua kuna kulawitiana nk Tukaenda shule maghetoni Bado tutakutana na watu Si ndg zetu tunaungana wawili Hadi watatu geto Moja tunalala na maisha ya naenda...
  6. JamiiForums Tanzania TikTok live (Dukuduku) ya Pipy Tida chazidi kupamba moto na kuibua maswali juu ya ulinzi wa taarifa binafsi

    Kipindi cha Dukuduku kinachoendeshwa kupitia TikTok na mtayarishaji wa maudhui Pipy Tida kimeendelea kuvuta hisia za watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na namna kinavyogusa maisha ya kawaida na masuala yanayowakabili watu katika jamii. Kupitia kipindi hicho, Pipy Tida huibua mada...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi, huwezi kumshitaki mtu mahakamani kwa hisia, 'alitaka kuandamana', 'alipanga kuchoma transformer', halafu ukashinda

    Msemaji wa Jeshi la Polisi amesema jeshi hilo limekamata magaidi 130 na tayari 36 wameshafikishwa mahakamani. Msiishie kusema tu walipanga kuchoma transformer nchi iwe gizani, tuambieni nchi nzima ina transformer ngapi na ngapi zimechomwa. Mnasema walipanga kuua viongozi wa serikali akina nani...
  8. JamiiForums Tanzania Nyerere (RIP), Kanumba (RIP). Hivi kuna Watanzania wengine waliogusa kwa hisia kali mamilioni ya Watanzania kwa vifo vyao kama hawa?

    No one can cheat death but legends live forever.
  9. JamiiForums Tanzania Mapenzi ni hisia ya kufikirika

    Mapenzi sio hisia iliyo dhahiri ni jambo la kufikirika ambalo binadamu anahisi kuna ukweli juu ya hisia hiyo lakini kumbe ni kama kijicho ama mazingaombwe na siyo hisia iliyo ktk uhalisia.
  10. JamiiForums Tanzania Hisia za jamii kuelekea 7/7: Je maandamano yapo au hayapo?

    jamiiforum inaiwakilisha jamii katika uhalisia wake kwenye jambo lolote lile .. Utafiti wowote unaofanyika hapa matokeo yake ndio uhalisia uliopo kwenye jamii Sasa kuelekea maandamano ya 77 keshokutwa kura itakayopigwa hapa.. Matokeo yake ndio yatatoa uhalisia wa kitakachojiri siku hiyo
  11. JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kumfuta mtu katika fikra na hisia zenu? Mimi haikuwezekana

    This is one of the most secretful things nimekaa nayo for years, na sijui kama kuna mtu atanielewa humu.. Nianze kwa kuuliza je, kuna mtu alishawahi kuwa connected to someone katika namna isiyo ya kawaida? Yaani unakuwa unahisi like huyu mtu ni kama kuna cord flani invisible na instinctually...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hisia zinaniambia Baba Levo ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge

    Katika kesi iliyopangwa kufanyika tarehe 6/7/26//2026 ya kupingwa ubunge wa ' Baba Levo' hisia za ndani kabisa zinaniambia ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu mwanaume, machozi yako na hisia zako havitathaminiwa popote

    Ni lini machozi ya mwanaume yaliwahi kuthaminiwa? Ni mwanaume gani anahisi au anawaza kuwa tegemezi? Hivi unajua ,unathaminiwa na kuhurumiwa ukiwa mtoto tu,lakini baada ya hapo lazima ustruggle? Hivi mnajua mwanaume hupaswi kudeka,kuringa wala kutaka kuonewa huruma? Iko...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mtu jana bado kidogo abomoe na kuivunja TV tukiwa tunaangalia mpira hisia zetu tuziweke pembeni mpira una matokeo matatu

    Kuna kufungwa, kufanga na kutoka sare. Sasa km timu unayoishabikia imefungwa usichukue hisia zako ukawa na hasira kiasi cha kutaka kuvunja mpaka TV. Ilikua hivi mpira umeanza alipofungwa SA dakika za mwanzo kabisa nikaona mtu anaanza kuuma ulimi nikasema emu tusubiri tuone gemu imeendelea mpaka...
  15. JamiiForums Tanzania Pambano la Hisia: Habiba na Sele

    Leo pambano ni kati ya Habiba, mshambuliaji hatari mwenye chenga za maudhi, dhidi ya Sele, ambaye leo anaonekana kulegeza ulinzi makusudi! Dakika ya kwanza, Sele anaanza kwa pasi fupi fupi za Salamu Habiba anaipokea, anaituliza kifuani kwa tabasamu pana. Anampiga chenga ya jicho moja, Sele...
  16. JamiiForums Tanzania Jifunze kuzitambua hisia za mwenza wako

    Katika safari ya mapenzi ya dhati, kujifunze kuzitambua changamoto, huzuni, furaha, maumivu, na mateso ya mwenza wako bila kukimbilia kumhukumu ni mtihani mkubwa unaovuka mipaka ya kibinadamu na kuingia katika uwanja wa vita kali ya kiroho. Unapochagua kumpenda mtu, huunganishi mwili tu, bali...
  17. JamiiForums Tanzania Hisia za mapenzi zimepotea

    Hello everybody, straight to the point. Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated algorithms, and the rest. Nimejikuta hamu ya kufanya sex au kuwa na mpenzi imepotea kabisa, miaka kama mitatu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wamasai wanavyopandisha mori huwa ni mashetani, hisia au akili kutoweka ?

  19. JamiiForums Tanzania Hisia ni nini?🤔

    Je, hisia ni nini? Mara nyingi utasikia mtu akisema baada ya jambo kutokea Nilihisi tu itakuwa hivi au Kabla hii issue haijatokea, nilihisi kuna kitu hakipo sawa Maneno haya hujitokeza mara nyingi baada ya tukio husika kutokea Je, hisia ndizo zinazoitwa machale? Wengine husema :Machale...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke anamtafsiri Mwanaume kawaida kisia ndiyo sababu anaweza kuishi zaidi ya miaka 40 bila kushiriki mapenzi

    Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…