hilda newton

Dame Hilda Mabel Stevenson (née McKay; 1893–1987) was an Australian philanthropist and community worker. She was the daughter of Hugh Victor McKay, a combine harvester inventor. She was the trustee and founder of the Sunshine Foundation.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Anandika Hilda Newton: Hili liwe funzo kwa mafwele na genge lake. Christopher Bagenyi kunyonga hadi kufa

    HILI LIWE FUNZO KWA MAFWELE NA GENGE LAKE. SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho katika mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa kupinga. Mahakama imeamua anyongwe hadi afe. Jaji Stellah...
  2. R

    Hilda Newton usilogwe ukaja Bongo, usifanye makosa kama ya Polepole

    Umeandika kuwa utakuwa Musoma 8.3.2026 siku ya Wanawake Duniani. Usilogwe ukaja huku maana nyinyi hamsikii? Bado tuna fresh memory of Polepole whereabouts! USILOGWE, LABDA KAMA UKO HAPA BONGO SAWA, LKN KAMA UKO NJE USILOGWE By the way, hivi huwa unaripoti kesi ya Lisu ukiwa mahakamani au vipi...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Hilda Newton: Nimepata taarifa Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA msiba wa Mzee Mtei, anataka kumualika Samia

    Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kwamba Mhe. Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA kwenye msiba wa muasisi wetu wa Chama Mzee Edwin Mtei.Sasa iko hivi, imepangwa ratiba ya msiba siku ya Mazishi ambapo CHADEMA itapewa nafasi ya kutoa salam za rambirambi saa tatu...
  4. The Palm Beach

    Tetesi: Hilda Newton: Afande Hamza, aliyeua mamia ya waandamanaji 29/10 - 3/11/ ni kichaa. Anaropoka siri zao ovyo. Amefungiwa chumba maalumu Police Oysterbay

    Imetoka kwenye official page ya X-Twitter ya Hilda Newton =============================================== TAARIFA KUTOKA KWA MMOJA WA POLISI MWANDANI WETU OYSTERBAY POLICE STATION - DSM Kuna ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Hamza, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay tangu Novemba 6...
  5. R

    PostGE2025 Hilda Newton: Madai ya watanganyika/Gen Z ni haya. Yakitimizwa upendo, Amani na haki vitatawala

    MAANDAMANO MADAI YETU NI 1. Uchaguzi ufutwe 2. Miili ya ndugu zetu irudishwe. 3. Ndugu zetu waliotekwa warudishwe. 4. Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi. 5. Mauaji na Utekaji vikomeshwe. 6. Waliouwa ndugu zetu Oktoba 29 wawajibishwe.
  6. R

    PostGE2025 Hilda Newton: Maandamano yamefanikiwa kwa asilimia 200

    Hatuna bunduki wala silaha yoyote ila tuna bundle tu lakin tumefanikiwa kuifanya Serikali isimamishe shughuli zote nchi nzima. Guys!.. guys! guys! sisi ni washindi maana maandamano ya kuiparalyze Serikali haram yamefanikiwa kwa asilimia 200 na tumewakosesha mapato. Tumefanikiwa kuiweka...
  7. W

    SI KWELI Hilda Newton avunja ndoa ya Lissu

    Wakuu nimekutana na hii Post huko FB ina u uhalisia kiasi gani?
  8. Mafyangula

    GE2025 Hilda Newton: Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chadema Wilaya ya Busega ametekwa na watu wasiojulikana

    Kutoka kwenye account ya Hilda Newton kule X ameandika taarifa hii ================== Mjumbe wa Kamati Tendajji ya Chadema Wilaya ya Busega Mhe. Lobezi Kuliko Masanya ametekwa na watu wasiojulikana jioni ya leo tarehe 01/10/2025 akiwa kazini kwake NYAMIKOMA Wilaya ya Busega.Walioshuhudia tukio...
  9. McLaren

    Hilda Newton: Wakati natoka Dodoma kuja Dar, nilipanda treni. Nilimuona Mbowe akiwa na Mwigulu Nchemba

    Wakuu, Inaonekana Mbowe ameamua kuflip kabisa. Baada ya kuonekana kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba, Mbowe kaonekana huko kwenye treni akiwa na Mwigulu Soma pia: Picha: Baada ya kimya kingi, Freeman Mbowe aibukia kwenye msiba wa mkwe wa Mwigulu Nchemba ========== Anaandika Hilda...
  10. R

    Hilda Newton: Ukienda kanisani kwenye ibada ya leo usisahau kumuombea-;

    Ukienda kanisani kwenye ibada ya leo usisahau kumuombea-; 1. Mhe Lissu 2. Mdude Nyagali 3. Juma Kaswahili 4. Chaula 5. Jacob Mlay 6. Frank Mbise 7. Amani Manengelo 8. Deusdedith Soka 9. Dinioz Kipanya 10. Daniel Chonchorio 11. Musa Mziba Na wengine wote ambao wametekwa na kupotezwa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Hilda Newton, Aachiwa Kwa Dhamana usiku huu

    Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam). Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee...
  12. Just Pray

    PreGE2025 CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

    "Kanusho la polisi kuwa hayuko kituo cha polisi Central itakuwa ni kanusho la uongo kwa kuwa alipelekwa kituo cha polisi Central jeshi la polisi kupitia kwa mkuu wa jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa, na aachiwe mara moja kama wanaodaiwa...
  13. Just Pray

    PreGE2025 Amani Golugwa: Hilda Newton bado hajapatikana, Tunachofahamu alichukuliwa na polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rose Mayemba: Hilda Newton yuko Central Polisi amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao

    Imethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao. Soma Pia: Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana
  15. L

    Tuungane kwa pamoja kama Watanzania, bila kujali itikadi za kisiasa, rangi, au dini, na kuitaka serikali iwachilie huru Hilda Newton

    Wananchi Wenzangu wa Tanzania, Hebu tuchukue muda kuangalia hali ya dada yetu Hilda Newton na mtoto wake mdogo hapa nchini Tanzania! Hilda, mwanaharakati, na mwanachama wa CHADEMA, alikamatwa kiholela ndani ya mahakama kwa kosa la kushiriki taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kesi ya...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kumtafuta kada wake Hilda Newton aliyepotea tangu Alhamisi, Aprili 24, 2025, mara ya mwisho akionekana katika viunga vya Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam. Kupitia mitandao ya kijamii, wanachama wa CHADEMA wameeleza wasiwasi wao, wakidai...
  17. Mindyou

    PreGE2025 Kada wa CHADEMA Hilda Newton: Polisi wamezuia mkutano wetu Kariakoo, wamesema ni maelekezo kutoka juu

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, kada wa CHADEMA, Hilda Newton amesema kuwa Jeshi La Polisi wamezuia mkutano wa CHADEMA uliopangwa kufanyika kwenye soko la Kariakoo. Kwa mujibu wa Hilda, sababu iliyotajwa ni kwamba kuna maelekezo kutoka juu ya kuzuia mkutano na ameongeza kuwa msimamo wa chama...
  18. W

    PreGE2025 Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kurekodi ujumbe wa kulaani kukamatwa Tundu Lissu TikTok

    Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa Helbeth mlelwa akamatwa kwa kosa kurekodi video kukamatwa kwa Mwenyekiti Lissu. "Taarifa za hivi punde serikali ya kupitia jeshi la polisi kanda maalumu Dar es Salaam imemkamata Helbeth Mlelwa mkazi...
  19. S

    Hilda Newton: Nimepokea taarifa kuwa Mohamed Issa amefikishwa Mahakama ya Uhujumu Uchumi

    Kutoka account ya X ya Hilda Newton: Nimepokea taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bavicha Taifa Wakili Advocate Mahinyula Anasema kwamba leo Mohamed Issa amefikishwa Mahakama ya Uhujumu Uchumi upande wa Jamhuri wakasema kwamba hawana nia ya kuelendele kesi hivyo Mohamed akaachiwa lakini cha...
  20. E

    Hivi Hilda Newton ni nani pale CHADEMA?

    Ni swali la ufahamu, nimehisi ana siri nyingi sana pale CHADEMA na aliwahi kutupa taarifa za Ben kuwa anaendelea na kazi
Back
Top Bottom