hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Miaka 20 iliopita mtu angekuambia kuwa kuna watu Tz hii hawaamini Mungu yupo ungemcheka sana ila sasa idadi imekuwa maradufu. Ipi inaweza kuwa sababu?

    Exposure ktk elimu, sayansi na Tech? Kuathirika na utapeli wa kidini? Exposure ktk Atheism literature? Globalism na World wide sharing? ????????????????????????????????
  2. JamiiForums Tanzania Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

    Habari yakO Mfugaji na mdau. Niko hapa kukupa elimi na ukweli juu ya Ufugaji kuku, achana na zile story za madaktari wa SUA wanaomaliza na degree zao na hawajafanya mazoezi au practical, ukija hapa utaambiwa ukweli kuhusu hii industry, kuanzia mabaya yake, uzuri wake na faida zake kiuchumi na...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndo Breakfast sio hicho kipande cha mhogo na uji wa dona

    πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‹
  4. JamiiForums Tanzania Wenye conection nanyenyekea mbele zenu kwa moyo wangu wote naomba muokoe familia hii

    Kwa uchungu mkubwa ulio ndani ya moyo wangu nawaomba binadamu wenzangu ambao mmebahatika kuwa kwenye system hasa mining sector au hata sector nyingine Naomba mumshike mkono ndugu yangu hata kwa kujitolea kwanza uku akiendelea kuwa na uzoefu na mazingira na kazi ELimu yake ni diploma in...
  5. JamiiForums Tanzania Pendezesha nyumba yako kwa ngazi mzunguko kama hii, kwa gharama nafuu kabisa.

    FAIDA ZAKE Inachukua eneo dogo Inamvuto. 0756244608
  6. JamiiForums Tanzania Tuliotumia hii teknolojia tukututane hapa tunakumbuka wapi

    Binafsi nakumbuka early 70s kuna mzee mtaani kwetu Mr. Kiyavitende ilikuwa ukisafiri kwenye gari hilo anafika sehemu anafungua bonnet na kudai injini ni ya moto mno hivyo abiria ongezeni nauli ili safari iweze kuendelea
  7. JamiiForums Tanzania Mi Staff Silipi....! Hii ni kwenye madaladala, hadi kwenye mapenzi unaleta ustaff....!!!????

    Mahusiano mengine ni viburudisho.... Aahahahahaa hii mitandao inafanya watu wanakuwa wehu...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nimeuzoea huu msemo kwenye madaladala konda akianza kudai nauli kunawanaosema mi staff silipi and the like.... Sasa huyu jamaa kaimbisha demu wa watu halafu anaulizwa utatoa shilingi ngapi baada...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Nini kuhusu hii mashariki

    Kuna mashariki ya congo yaani Rwanda na sudan.na kuna mashariki ya kati hii migogoro Toka nazaliwa naikuta.. mashariki ya congo anakula Belgium Yuko mezani na washirika wake wa ulaya.. Mashariki ya Africa ni kwa UK MASHARIKI YA KATI NO CHIMBO LA USA JE ANACHUKUA NINI PALE TUJIULIZE KUPITIA...
  9. JamiiForums Tanzania β€œThe Year 2000” .Kitabu kilichotoka mwaka 1967.

    Kitabu β€œThe Year 2000” (1967) cha Herman Kahn na Anthony J. Wiener ni jaribio la kutabiri hali ya dunia ifikapo mwaka 2000 kwa kutumia mbinu za kisayansi na mifano ya uchambuzi wa siku za usoni. Katika kitabu hiki, waandishi walitoa makadirio kuhusu maendeleo ya teknolojia, uchumi, na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini hii nyimbo haikuwahi kupata tuzo yoyote hata ya mchongo

    Naibu waziri wa sanaa, utamaduni na michezo, hamisi Mwinjuma almaarufu MWANA FA.......kipindi cha huko nyuma alishawahi kutoa hii nyimbo inaitwa KAMA ZAMANI FT MAN DOJO NA DOMOKAYA Hii ni ngoma kubwa sana na inayoishi na alitumia akili kubwa sana, kuanzia kuandika production na kila kitu kama...
  11. JamiiForums Tanzania Thread ya machimbo ya wachina nguo vyombo viatu kariakoo Kwa wote manayoyajua machimbo weka hapa hii inaitwa fuluza winga na utapeli kariakoo

    Wakuu hii ni thread ya kujua machimbo ya wachina nguo viatu vyombo mashuka Kila kitu yaani mchina alipo na sisi tupo tumechoka kupigwa Kwa kigezo Cha kuitwa washamba hivyo washamba Sasa tumejanjaruka tunawaambia nyie mawinga Mali mtaipata shambani Ili muache kukaa kariakoo mkiibia wananchi pesa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

    Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la nguzo ya TANESCO kuoza mtaa wa Mavurunza, Kimara

    Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja. Kila tukiripoti TANESCO Kimara wanakuja na wanesema kwa kuwa line ni kubwa wao Kimara TANESCO hawahusiki. Nakumbuka kwa mara ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kama una dogo wa kike au kiume 18-25yrs, mpasie hii asome

    Yale ambayo baba yake alikuwa analalamika kuhusu mama yake 70%+ ni ukweli, wala alikuwa hamuonei mama yake. Mapenzi ni shirikisho la mifumo hisia yenye kuidanganya nafsi yako kuwa hisia uliyonayo ina nguvu kuliko akili yako thus inakupatia faraja na matumaini bandia. Tungi na shisha ni...
  15. JamiiForums Tanzania Nilisahau kupost hii au Mods wameondoa? Video matukio ya kutisha Morocco

    SIJAJUA KAMA NLIPOST HALAFU KUNA MODERATOR HAKUPENDA AU NILISAHAU KUPOST. ILA NITASHANGAA COZ HABARI IPO NA VIDEO IPO. MASLAHI YA NANI YAMEGUSWA HAPA? https://africabriefing.com/shocking-abuse-of-black-migrants-in-morocco/
  16. JamiiForums Tanzania Suguye na miujiza ya kugusa vazi lake Jumapili hii

    Mtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam. Ibada ya kwanza...
  17. JamiiForums Tanzania Muislamu yeyote hakikisha una kitabu cha Mkweli Mwaminifu. Hii ni moja ya nukuu mujarab toka humo.

    Sifa kubwa ya waislamu ni kusoma, mtume ametuasa kuitafuta elimu popote ilipo ndiyomaana watoto wa kiislamu anaanza kusoma madrasa mahali ambapo anapata madini yakutosha. Leo tupitie na kutafakari nukuu hii mujarabu toka kitabu cha Mkweli Mwaminifu "Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

    Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s. Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu. Nimebahatika kuwa na muonekano mzuri kidogo kwa hiyo pisi nyingi...
  19. JamiiForums Tanzania Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

    Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako. Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda...
  20. R

    JamiiForums Tanzania viingilio vya vijiwe vya bodaboda hufika mpaka laki 8, hii ni sawa ?

    watu wengi hudhani wamemaliza wakishanunua pikipiki na kuisajili, wasilolijua kuna gharama ya ziada ya kuingia kwenye kijiwe cha boda boda. mfano kwenye vijiwe vya stendi na sokoni ada zipo juu mno zinafikia mpaka laki 8, na hapo ubahatike kuwe na nafasi ya wazi maana kuna limit ya idadi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…