hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Aibu hii imenikumbusha mengi!

    Habari Ndugu na jamaa, nashukuru Mungu, Muumba mbingu na Ardhi kwa Uhai huu. Tunaishi katika Dunia yenye mambo mengi ya kufurahisha, kuhuzunisha na ndio Maisha! Umri Kumbe umesonga! Kuna Kasi hana, nilikuwa nakafukuzia huku mtaani, kazuri kameumbika kwa kweli, Mimi ninavyokaona. Nikawa nakapa...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka Dar kwenda Mtwara ni aibu kwa barabara hii

    Watu wa kusini mlitenda dhambi gani hata mkaachwa na barabara mbovu hivi? Sitarudia tena kuendesha gari binafsi njia hii.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Wasira ni matokeo ya CCM kukataa tamaa na kuwa na hasira hivyo kuongea tu kutokana na frustrations

    Nimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya: "CCM haitatoka madarakani mpaka Yesu arudi". Msingi wa kauli hii na ile ya hivi karibuni ya Waziri Mchengerwa na nyinginezo za aina hii...
  4. JamiiForums Tanzania Ila wenzetu Wakristo wamebarikiwa kwenye sekta ya viongozi

    BORA UZI UFE TUU, MMEZID KU EDIT MIMI SIKUANDIKA HIVI, FURAHINI SASA
  5. JamiiForums Tanzania Hii mimba ya kwangu au nimepigwa?

    Habari, Msaada wenu wanajukwaa Mara ya mwisho kuingia hedhi ni tarehe 30 mwezi wa tatu, nimesex nae tarehe 23 mwezi wa 4, leo tarehe 27 amepima ana mimba. Hii mimba ni yangu? Jee kipimo kile cha mkojo kinaweza kutoa majibu baada ya siku nne after sex?
  6. JamiiForums Tanzania Hii ya kukamata raia na kuwatesa, kuwatupa mabwepande kwa makundi ni tulikua tunasoma kwenye utawala wa idd amini

    Haijawahi tokea, polisi wanakamata raia wasio na kosa kwa sababu za kutoelewana kwa chama tawala na upinzani, na kwa amri kutoka juu, kukamata badala ya kupeleka watu kituoni wakafunguliwe mashitaka unapeleka kuwa jeruhi kisha kuwatupa maporini. Ukatili wa aina hiyo tunausoma kwenye utawala wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ipatie jina hii chenga

    Mchezo wa mpira bwana una matukio ya ajabu, mtu kapigwa chenga mpaka kalala chini. Ipatie jina hii chenga.
  8. JamiiForums Tanzania Video :Hindi moja libebe watoto(mahindi)8?Mbegu gani hii?

    Nimeshangazwa sana na kuona hizi video kwanza sio fake ni real zaidi ya yote nikashangaa tena kuona hata hapa bongo yameshafika. Je kiafya imekaaje haya mahindi? Wataalamu karibuni sana kuhusu hili CHASHA FARMING tafadhari nakuomba sana utoe maoni yako kuhusu hizi video.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea baadaye endapo serikali itaendeleza tamaduni hii tukilejea mataifa Yale yalipitia hali hii inayopitia Tanzania ??

    Swali lako ni zito sana, na linaonesha unafikiria mbali — kuangalia historia ili kufahamu hatima ya taifa kama hali ya sasa itaendelea. Tukitazama mataifa mengine yaliyopitia hali kama Tanzania ya sasa (yaani, serikali kudharau raia, kukandamiza uhuru wa watu, kukithiri kwa rushwa, na ukiukaji...
  10. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini nacheka hii ni maajabu 🤣🤣

    hi inapendeza kwa CCM kwasababu ndio watajua sasa kuwa wananchi wamewachoka kazi kukamata watu wasio na hatia kisa wanawazidi hoja sasa unamkamata tundulisu kafanya nin mnamkamata heche kafanyanin sikuzote hoja inajibiwa na hoja ila wao CCM badala ya kubishana na hoja eti wanabishana na mtoa...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wasio na Hekima waliibuka kipindi cha JPM na kisha kipindi cha Samia. Hii ni aibu

    Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili. Nepotisme and Favoritisme ni LAANA Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza ! Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni...
  12. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma na machawa msipojenga vighorofa awamu hii ya maza basi tena

    Yaani hakuna wa kumsumbua mwenzake. Mtu akipata mwanya anazichota tu. Aiseee hatari. Ndio maana sasa hivi mtu anaanzisha campaign yake yoyote anaibatiza tu kwa jina la mama anakwenda kuchukua pesa Mimi nataka nianzishe campaign ya "mama kaupiga, 2025 njia nyeupe" Ukiwapigania Watanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Silk blouse kwa 1500 tu, grade A wahi offer hii sasa. Zipo zaidi ya 150

    Nasafisha duka langu, kuna mzigo umebaki wa silk blouse grade A nauza zote kwa bei ya jumla ya 1500, wahi kabla hazijaisha. Location ni Bunju A Dar es Salaam Call 0684 848801 NOTE: Hiyo ni bei ya jumla kwanzia PC 50.
  14. JamiiForums Tanzania 🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000 watasema hii ni pakiti ya majani ya chai🤣

    Hii kitu ni bora ilipigwa marufuku maana ilikuwa imeshaanza kula vijana hadi watoto wa primary☠️
  16. M

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wapambanaji mlio mstari wa mbele kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii.

    Naomba tusikate tamaa, kwa hali ilivyo sasa, inaonekana wamepanga kumsimika madarakani si kwa kuchaguliwa bali kwa nguvu, yaani iwe kwa kuumiza watu au kwa namna yoyote ile. Kwa hali hii, nadhani sasa kuna haja ya kupanga mikakati na njia mpya kabisa za kutafuta HAKI katika Taifa hili. Kama...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye Injili ya Utoto ya Thomas (Infancy Gospel of Thomas), hadithi hii isiyo kanoni inasimulia matukio matatu muhimu

    Laana na kifo cha rafiki Yesu akiwa na miaka mitano alicheza kando ya mto, akakusanya maji kwenye dimbwi na kutengeneza ndege za udongo. Mvulana mwingine alipougia dimbwi lake, Yesu alimlaani na mara moja mwili wa mvulana huyo ukaanguka na kwenda maji – alikuwa amekufa kwa papo hapo. Wikipedia...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

    Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023 Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi. Majibu ya awali yametoka na "najua ataenda tu Chuo cha...
  19. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu..?

    Kuna siku nimeenda Bank NMB kutoa kahela kakawaida tu 1,200,000. So nilijaza Bank slip kisha kwenda kwa teller. Matokeo yake yule Bank teller akaniambia kuwa "Kwa kukusaidia kaka katolee ATM ili kupunguza makato" Sasa nikawa najiuliza kwenda kutoa hela kiasi hicho mikupuo mitatu yaan laki nne...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Facebook wamvaa mwana FA baada ya kupost stegi hii

    Kama wananchi wa Facebook wameanza kuwa na Akili hii ukombozi hauko mbali Sasa baada ya hiyo post soma Comment za baadhi ya wadau
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…