hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dont waste your time to pay for " Sponsored Ad"on Facebook and Instagram. Sababu hii hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

    Sponsored ad on Facebook and Instagram zilikuwa Zina work effectively 2017 kushuka chini. Kuanzia 2018 hapo ni kusua sua na by 2025 it doesn't work at all. Sababu ni hii hapo๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Tajiri Mark Zuckerberg hataki wajasiriamali wadogo wadogo mpate financial break through. Hataki mtajirike kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hii hali ya Nchi yenu kwa sasa Sitaki nirudi maana hamchelewi kunihujumu

    Sijawahi jua taratibu mtu unapotaka kusafiri. Najua ukiwa na Documents inatosha. Sasa kwa nchi ilivyo nadhani ni mpaka uage kwa rahisi kwanza. Mi sirudi huko kwenu mnaendeshwa na kuongozwa na vilaza. Hakuna wenye uelewa hata wa kawaida tu. Common sense.
  3. JamiiForums Tanzania Uzuri wa kuunda genge ili liwe kinga ya madaraka yako kuna siku linakugeuka wewe mfano Sudani

    Napenda kutoa mfano mchache tu wengine mtaweka hapa. Watawala wakishafika kujenga genge la kuwasimamia kila kona kuna siku watapenda nao nafasi uliyopo washike wao endapo mkipishana. Swala la sudani lilikuwa funzo tosha ila ndio basi tena. Hata kule congo laurent kabila nalo lilikuwa hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?

    Wakuu! Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?
  5. JamiiForums Tanzania Hii kamata kamata ya washindani mnachochea vurugu ambayo hamtakuja kuizima

    Nyie endeleeni tu. Mnadhani watanzania mmewaokota? Jibu ni hapana. Watanzania wanabadilika. Wakati unawabadilisha. Wanaona matendo yenu. Na uzuri ni kwamba mnaishi nao katika jamii hii hii. IPO siku watawasaka mmoja mmoja. Na kila wakikamata watatangaza hadharani Leo tumekamata Malaya mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Tiba ya ugonjwa wa Kansa aina zote inapatikana kupitia njia hii hapa

    Kama Rais msisitizo utakuwa kwenye hizi njia mbili Predict all cycles of abnormal protein mutation Integrate all cycles of target abnormal protein mutation into single equation so as it can be easily target by novel therapeutics compound Hata sisi waafrika tuna-uhuru wa kufikiria njia ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hii jadi sasa hivi haina tena sekta. Zamani macho yalitazama kuanzia juu kuja chini, sasa yanaanzia chini kuja juu.

    Kuna vitu vingi vime conquer mind za wanaume miaka na miaka, moja wapo katika historia hio imekuwa issue ya makalio makubwa ya mwanamke. "THE BOOTY TAKE OVER"
  8. JamiiForums Tanzania Kama We ni Real Physics OG โ€“ Hebu Show Up na Usolve Hii Beast Problem ya Form Six. Only for Genius Heads!

    Umeshawahi kukutana na swali linakudhalilisha hadi unajiuliza kama ulisoma au ulilizwa? Basi leo nakuletea beast yenyewe, yenye kuhitaji hesabu za ukweli, concept za deep physics, na akili ya kutopea โ€“ sio tu kuwa good class, lazima uwe street smart na physics sharp! Sasa naomba majibu ya hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Ondoa Mikosi Inayosababishwa na Ngono kwa Njia Hii

    Ngono na watu wengi husababisha mikosi na kutofanikiwa kwa mambo yako. Upo uwezekano kwamba, unaanzisha mambo mbalimbali lakini hayafanikiwi. Katika utaalamu, kila mtu unayefanya naye ngono huenda akaja na baraka au akaja na nuksi. Kwa wale waliotulia katika ndoa zao, huenda ngono ikawa chanzo...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ni coincidence ama mpango nchi zote za Africa zilizopo karibu na bara la Europe ni za Waarabu.

    Ukiangalia kwa haraka unaweza kuchukulia poa how come pale juu hakuna taifa lolote la Waafrika weusi? Kwa Nini chini mwa Sahara desert hakuna tena nchi ya kiaarabu? Niamini Mimi Kuna namna watu hawakutaka watu weusi wawe na direct access kwenye nchi za Europe.
  11. JamiiForums Tanzania Kuomba ufafanuzi kuhusu hii habari iliyopostiwa East Africa tv

    #HABARI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu ametangaza kuanza kutumika kwa Muundo mpya wa Utumishi wa Maendeleo ya kada za Uuguzi na Ukunga ifikapo mwezi Julai mwaka huu. Sangu ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Aprili 10, 2025 Mkoani...
  12. JamiiForums Tanzania Eti wakuu mbona miundo ya aina hii ya valenda watu hawaitengenezi tena, ni issue ya gharama au ni mabadiriko ya trend?

  13. F

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Iringa wanasema uislamu ni dini ya kweli na maelfu ya watu wanahamia kwenye hii dini ya kweli

    Wakuu kuna makundi makubwa ya watu yaani mamia ya watu wa hapa kanisani kwangu wanahamia kwenye hii dini ya haki ya kiislamu na nimeshangazwa sana aisee yaani kanisani ukiwapa mahubiri wanajibu takbiiir aisee kweli uislamu ni dini ya haki na ya ukweli Aisee Takbiiir Allah Akbar
  14. JamiiForums Tanzania Basi la mafunzo la NIT laparamia maduka na pikipiki eneo la Maji Chumvi, Tabata

    Nimekuta hili Basi la Mafunzo la Chuo cha Usafirisha (NIT) likiwa limevamia maduka na baadhi ya pikipiki zikiwa uvunguni mwa gari hili hapa eneo la junction kona na mlima mkali Maji Chumvi. Sijaweza kupata madhara yaliyotokea. Kama alikuwa anaendesha mwanafunzi wa mafunzo ndo basi tena...
  15. JamiiForums Tanzania Ninakinai wanawake haraka sana,ni kawaida au nina changamoto zingine?

    Mko poa watu wa Mungu! Kuna hali flani ya kukinai wanawake mapema kabisa inanitokea nashindwa kuielewa ni nimerogwa au ni kawaida? Naweza nikatumia gharama kubwa kumfukuzia demu ila nikishampata na nikamgegeda mara moja tu,naloose interest na yeye kabisa.au pia naweza nikaopoa tu wale mademu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti kati ya Mungu anavyotaka aaminiwe na Jinsi dini zetu zinavyotaka tuamaini

    Kumuamini Mungu ndio risk (kujihatarisha) kikubwa kuliko vyote KWA mwanadamu wa kawaida. Unamuamini Mungu kupitia maneno ya BIBLIA (wakristo). Na hautakiwi KUWA na ushahidi mwingine wowote wa hicho unachokiamini isipokuwa maneno hayo peke yake. Mfano. Ukisema huogopi, ushahidi wako uwe ni...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nikae muda gani ndo nitumie hii pesa?

    Habari zenu. Nina account mbili za miongoni mwa benki kubwa hapa nchini. Kati ya hizo account mbili ni Moja pekee huwa naitumia mara Kwa mara Kwa kuweka na kutoa pesa. Kuanzia mwezi April mwaka Jana Ile account ambayo siitumii mara Kwa mara imekuwa ikipokea pesa ambazo sijui mtumaji ni nani...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini unapoenda kujisaidia haja ndogo unaangalia mbele lakini haja kubwa unaangalia ulikotoka?

    Basi kipindi nasoma nilibahatika kuwa karibu sana na mwislamu mmoja aliyeshika sana dini na ndo alikuwa kiongozi wao.Huyu jamaa alikuwa ananiambia mara kwa mara kuwa chooni huwa kuna mashetani (majini)hivyo unapoenda ni lazima uombe dua ya kujikinga na mabalaa ya shetwani (Majini). Sikutilia...
  19. JamiiForums Tanzania KAMA UNATAMANI KUJENGA GOROFA YA BEI RAHISI BATI USIHANGAIKE HII HAPA INAKUFAA 3BEDROOMS DESIGNS PLOT SIZE 15X20M (WALE WENYE PLOT NDOGO PIA )

    LOOKING FOR GOOD HOUSE DESIGN CALL US +255624004650
  20. JamiiForums Tanzania Ofa hii ni maalumu kwa maafisa ubashiri tuu..

    Weekend ya Leo nahitaji unipe mechi ngumu mno kutabirika. Nami nintaitolea utabiri wake hapa hapa hadharani Kwaushahidi wa kila mtu. Tuma mechi hiyo kwenye comment chini๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ