King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali.
Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje?
Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya...
Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa.
kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
1. Umri wa mteja (moral decay)
2. Lugha ya mteja,(moral decay)
3. Hali ya uchumi wa mteja( Ugumu wa maisha.
4.Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono isiyolipa kodi.
"TRUMP JUST NOW: “ISRAEL was REALLY HIT HARD. Boy, those ballistic missiles took out a lot of buildings!”
...ikiwa alisema kwa dhihaka (sarcastically), basi ni kweli — ni mzaha wa kejeli kwa Iran, na inaonekana kulenga kubeza au kupuuza mafanikio ya shambulizi la Iran dhidi ya Israel.
🧠...
🏠 HOUSE DESCRIPTION (2 UNITS)
Each unit includes:
🔹 Ground Floor: Lounge, Dining, Open Kitchen, Public Toilet
🔹 First Floor: Family Room with Balcony, 2 Master Bedrooms
💰 COST BREAKDOWN PER PHASE:
Foundation – TZS 32,000,000
Wall & Column (Ground Floor) – TZS 15,000,000
Slab – TZS 41,000,000...
Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao.
Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?
Wakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani.
Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado...
Ni staili moja tamu sana haswa mtoto mkali anapokuwa msafi, na pia uwe wewe peke ako ndio unamchumisha
Ebu tuambie wewe inakupaga shida gani hii staili?
Ruksa wote wanaume wa kwa wanawake kucoment
Staili inaitwa "mbu kauma taqo" 😅
Mrisho Gambo kwa jinsi ulivyoumiza watu Sana , nakupa huu ushauri huu usiharibu kiinua Mg on go chako kugombea.
I hope you gonna shine with another way Nigga.
Ninasema hivi kwasababu ikitokea Simba ipoteze naona kutakuwa na mtifuano mkubwa sana ndani ya Klabu . Hasira kubwa ya Mashabiki itakuwa kwa uongozi mzima wa Simba.
Kwasasa Mashabiki wengi wa Simba walishatoa msimamo wao kuwa hakuna kupeleka timu , hivyo wameutega uongozi wa Simba. Ikitokea...
Habari
Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani.
WHY?
Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na...
Nililia niliposoma hotuba hii kutoka kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, lakini mwishoni nilisema,
"Utukufu kwa Mungu wa Israeli"
Hebu tusome pamoja:
Bw. Netanyahu alisema:
Miaka 70 tu iliyopita! Wayahudi walichukuliwa kwenda kuchinjwa kama kondoo.
🔵 Miaka 60 iliyopita!
🔵 hakuna...
Marekani bado hajafikia lengo hata kidogo wanachohitaji ni Kuondoa Legency ya Ayatollah na kupandikiza Muisrael kwa mgongo wa Demokrasia.
Bado Viongozi wa Iran wataendelea kuwindwa kwa namna yeyote.
Kilichofanywa ni kupunguza kipigo cha Muiran coz Israel hali ni mbaya sana kama ilivyo kwa...
nyumba ina vyumba 3 vya kulala
chumba kimoja master
vyumba 2 vya kawaida
seble
dinning
jiko
store
public toilet
nyumba ina mita 11 kwa 9.5
ukitaka tukujengee nichek 0743257669
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.