hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni mchanganuo wa kupaua hii nyumba

    Ramani
  3. JamiiForums Tanzania Hii pressing ya TRA Kudai Kodi sijawahi kuiona

    Sikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na Raia. Leo nmeshangaa Sana wamama wanaokimbilia ndani huku wakifunga biashara zao wakitoa matusi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kama ulishawahi kumuona mtu whatsapp muda wote yupo online hadi saa nane za usiku soma hii..

    ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT. ""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot"" 1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW 🙄📱Ina uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote. 2. TUMA NYIMBO KWA...
  5. JamiiForums Tanzania Hii picha niya msanii gani ?

    Nani anamjua huyu ? Naamini kila kitu kina tafsiri yake.. 1. Kwanini Profile hiyo ? 2. Kwanini Username hiyo ? Nielezee yangu ?
  6. JamiiForums Tanzania Watu mnaokaa Dar es salaam, je Hii gereji bado ipo?

    Namaanisha gereji ambayo Ray c aliitolea Video ya wimbo wake wa Sogea sogea. Moja kati ya video bora kwangu ya muda wote. https://youtu.be/Y-syuomKwdk?si=3aZ6f8Zi5JjWAXrG
  7. JamiiForums Tanzania Mitandao hii hii ambayo mnaichukia na kuifungia na kuipunguzia speed halafu mnataka kupata na kodi humo humo.

    Je? Hii kodi mtaipataje? Yaani mtu anatumia simu yake kutafuta wateja tena muda mwingine kwa kutumia VPN.
  8. JamiiForums Tanzania Nina mda mrefu sana na bitcoin, leo hii inauzwa mil 300 kwa btc 1

    nkiangalia nyuma naona kama nlichelewa sana ila nakumbuka nlivochapwa sana 🤣
  9. JamiiForums Tanzania katuni hii inakupa picha gani kuelekea uchaguzi mkuu

  10. G

    JamiiForums Tanzania Taja chama cha siasa duniani ambacho hakina aibu na kinafanya siasa za kitoto Karne hii ambayo watu wanaelimu kubwa ya uraia, angalizo usitukane ,

    Wakuu Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida, Taja Tu chama wala usitukane , taja chama na nchi kinayopatikana
  11. JamiiForums Tanzania Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
  12. JamiiForums Tanzania Suluhisho Pekee ni Mchakato wa Kumpata Mgombea Urais-CCM kurudiwa !! Hii itawalinda Wazalendo wote walioamua Kukemea kilichotokea January 2025!

    Hilo naliandika kama Onyo Kuu!!. Tupo katika Nchi ambayo Kwa Sasa Visasi vimeshika Kasi kwelikweli !!. Tumeona hapa, wapo walikua wanashauri, ila wakaonekana ni waaasi, wapo walokosoa wameonekana ni WAHAINI na Kila Mmoja ameshughulikiwa Kwa namna yake. Unaweza kujaribu kuwazaz Nini itakua...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi Tumekuwa Spectators Katika Nchi Yetu – Hii Ni Dhihaka Kubwa Kwa Demokrasia Yetu!

    Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba hatuna akili za kupambanua nani anafaa kutuongoza. Hivi kwanini kura yangu – kura yako – iwe treated...
  14. JamiiForums Tanzania Wenye kujua hii biashara ya LSSC

    Habarini wapendwa Niko mkoani kidogo nimekutana na mate wangu KTK story za hapa na pale akaninijuz biashara ya LSSC Binafsi huko nyuma nilishawahi wekeza sehemu nkapigwa nkaona nimuulize mwenye idea NAYO. Humuuu... Nahisi n network business Mwenye idea tujulishane... Ruksa HATA kujielexa...
  15. JamiiForums Tanzania Aisee unakuta kuna mwamba anaendesha hii chuma. Aisee hongera sanaaa

  16. JamiiForums Tanzania Je, Samia Alichaguliwa kwa Kura za Maoni Kugombea Awamu Hii?

    Ni muhimu kufahamu kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuingia madarakani kwa kuchaguliwa kupitia uchaguzi mkuu, bali alirithi madaraka baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli mwaka 2021, ili kumalizia kipindi cha awamu ya tano ya uongozi. Hadi sasa, bado tupo katika awamu ya tano. Awamu ya...
  17. JamiiForums Tanzania "Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011"

    "Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011, jina litakuja: Chaelmi Majuu. Simu yangu ya kawaida inadaiwa." Ukipokea meseji zenye ujumbe kama huo, usikasirike, usimtukane aliyekutumia, wala usifanye haraka kum-block. Mhubiri Injili. Mwambie: "Je, kuna faida gani ukiyapata mapesa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hii ni kweli wamepitishwa na CCM tayari au ni speculatins za mitandao

  19. JamiiForums Tanzania Hii ni CCM tunayoijua kweli?

    Polepole hajamshambulia mtu, yeye ametoa hoja kuwa mchakato wa upatikanaji wa mgombea wa CCM ulikosewa Haukufuata katiba na taratibu za chama, lkn badala yake watu wanaomjibu wamejikita kumzungumzia mtoa hoja Kwa Gwajima vile vile alitoa hoja kuhusu utekwaji wa watu, watu wanapotea lkn...
  20. JamiiForums Tanzania Mzee wa Nature Mshana jr hii ni nini na inapatikana wapi?

    Nimeitoa fb huko kwakweli sijaelewa kama ni uyoga au sijui nn😂😂 Mshana Jr
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…