hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii picha ya Rais Samia imenibubujisha machozi ya furaha

    Wakuu Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi. Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
  2. JamiiForums Tanzania Hii nimeitunza

  3. C

    JamiiForums Tanzania Hivi wataalamu wa saikolojia hii ni nini mwanaume anatamani kutukanwa kuwa yeye ni shoga?

    Nimekuwa nikijiuliza sana hili suala la mtu kutamani kuoga matusi katika akaunti zake za mitandao ya kijamii huwa linatokana na nini? Kuna hawa vijana wawili wa timu moja kubwa hapa nchini,mmoja ana mwanya na mwingine alionekana kulia kwenye arusi ya rafiki yake. Huyu mwenye mwanya hawezi...
  4. JamiiForums Tanzania Duh hii imekaaje

    Wakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo. Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa sababu ya urefu na mwili. Ofcourse nilivutiwa nae sana. Sasaa nikamhudumia na baada ya huduma kuna...
  5. JamiiForums Tanzania NMB naomba mnijibu hii hesabu

    Wakuu, Juzi nimewekewa hela kwene akaunti cha ajabu kwene salio haikuonesha kuongezeka….. Aliyeniwekea nikamwambia mi sijaona akajibu amepewa na risiti nikamwambia uongo huo akarudi kwa wakala ,wakala akasisitiza ameweka….. Ikabidi nichukue statement. Jana nikarequest statement nikakatwa hela...
  6. JamiiForums Tanzania Kama taifa tukatae Tabia ya kutakiana vifo na umauti. Hii inachafua angahewa la nchi

    Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo. Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu. Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu...
  7. JamiiForums Tanzania Rais anasikitika wananchi wanafurah hii Ina maana Gani kwa Rais, naomba wakamatwe wote mpaka tuzike ndo watoke rumande

    Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli? Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki? Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
  8. JamiiForums Tanzania Unajiamini kwenye kubaini maudhui ya AI? tukutane hapa. Dosari gani unaziona kwenye video hii?

    Mdau mmoja kutoka katika mitandao ya kijamii alichapisha kipande hiki na kudokeza kuwa imetoka huko Arizona. Tushirikiane kuthibitisha kwa kutaja dosari zinazoonekana.
  9. JamiiForums Tanzania Kauli hii ya wanawake "Nimempa kila kitu still kaniacha"

    Hii kauli inayotumiwa na wadada "nilimpa kila kitu still akaniacha"haiko sawa, unakuta hio kila kitu ni mapenzi(papuchi) tu 😁.
  10. JamiiForums Tanzania Tumefikia hapa na huyu mrembo,niweke gia number ngapi ili nitafune hii mali?

    Poleni na msiba wa ndugu Ndungai. Sasa iko hivi, Jana kuna bibie nilikua namfuatilia muda mrefu tu,nikapata number yake. Nimemtongoza tumefikia hapo ila mimi lengo langu nataka nimtafune chap kisha niingie mitini. Hapo niweke gia number ngapi ili lengo langu litimie?
  11. JamiiForums Tanzania Waifu Material pokea hii mantiki kama majibu ya swali lako la "kama mwanamke haumpendi kwa nini unaingia kwenye maisha yake?"

    Mwanamke huyu huyu anayeweza kukubali kuolewa kuwa mke wa pili kwenda kujaribu kushare mapenzi na mwanamke mwenzake au kuwa mchepuko ili hali anajua awala yake ana mke, ndio huyu huyu anaulizia integrity ya mapenzi yangu kwake???? Haileti sensi Mwanamke huyu huyu ukiwa na rasili mali za kutosha...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini hii kauli huwa inawapa kiwewe wababa🤣, 🗣️"Haukuwepo nyumbani kwa hio nimemuachia mkeo ile hela"

    Utasikia... "Ayaaaaaaaaaa"
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  14. JamiiForums Tanzania Hii TMX ni kiboko ya vibaka

    Rais Samia ameanzisha Soko la TMX mauzo ya mazao yaongezeka kwa asilimia 300 imani ya wakulima imeongezeka Chini ya Rais Samia Serikali imeimarisha udhibiti wa biashara ya mazao ya kilimo kwa kutumia mfumo rasmi wa masoko kupitia Tanzania Mercantile Exchange (TMX). Kupitia mfumo huu, wakulima...
  15. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi : Awamu hii Mahakama yenyewe imekubali Shauri la Mch Dkt Malisa dhizi ya CCM, hili tu la kukubali kusikiliza Kesi, Haliwatii Aibu?

    Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!! Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??. NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
  16. JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  17. JamiiForums Tanzania Wiki hii ndio nimejua maana halisi ya neno "WAHUNI"

    Polepole alianza kutamka neno hili "wahuni" kitambo sana, ila watu tulikuwa hatujamwelewa. sasa, naelewa, wahuni ni nani na ameanza kupambana nao lini.
  18. JamiiForums Tanzania Kwa baridi hii Dar, ni kiwinter!

    Wandugu asiye na mwana sasa hivi Dar, basi ajibandike blanketi, chapa mtu! Baridi hii si poa kabisa,
  19. JamiiForums Tanzania Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Usifungue Kampuni Mpya kabla Hujapitia hii Checklist

    Umiliki wa Kampuni unatakiwa kua very transparent, sababu una deal na serikali, una deal na Wafanyabiashara wenzio, una deal na wakopeshaji, una deal na wateja, na wafanyakazi pia. Sasa Hii ni checklist ya mambo muhimu ya kuangalia kabla hujafungua Kampuni; 1. Malengo ya Kampuni Inabidi ujue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…