hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Angalia na usome hii meme na usicheke

  2. Video: DC Bomboko huku ni Kujidhalilisha, Si kila mtu ni mwoga. Haya sasa unajisikiaje?

    Ni aibu kwa huyu DC hata lugha yenyewe inamchanganya haijui. Anaishia kutishia tu na yupo kwenye paniki mode.
  3. Hivi haya matukio ya namna hii hupangwa na CCM, serikali au wavaa kaunda suit?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo naomba nianze na matukio matatu yalioanza kutokea katika chaguzi kuu tatu za Tanzania, ili kujua na kufahamu kuwa ni kina nani ambao huwa wanapanga mipango hii kila inapofikia karibu na uchaguzi mkuu wa Tanzania. Mwaka 2015, karibu na uchaguzi mkuu, vyama vya...
  4. I

    Maria Sarungi hii ni propaganda ya kitoto, Tanzania haijaanzisha jeshi la siri la kuua raia

    MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA Na Nulphin Charles Heche Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
  5. Uchawi hupo hii ni live tukio wala sio sinema.

    Kuna kipindi kinaitwa Easterntv kupitia youtube kikionesha kisa kilianza baada ya jamaa mwenye kipindi kuibua challange ya wapenzi ambaye mwanamke wake kumbe alikuwa anauza watoto na kuwaotoa bone marrow. kama mnaweza kufatilia mtafatilia mwanzo mpaka sasa. Sasa askari wamemtafuta sana ila baada...
  6. Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

    Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia. Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania. Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga. Kikwete na Magufuli...
  7. Hili punguzo la wafanyakazi wa idara ya ulinzi kampuni hii linakubalika ?

    Hi Poleni na majukumu ya kila siku, rejea kichwa Cha habari hapo juu kampuni ya uchimbaji wa madini ya MMG gold iliyopo Seka Musoma inafanya mchakato wa kupunguza wafanyakazi kwa mtindo ambao naomba wajuvi waje kutoa ushauri kama njia hii INAKUBALIKA? Tarehe 29/05/2025 waliwafukuza wafanyakazi...
  8. Kwa Utafiti wangu hii ndo style ambayo itamfanya mwanamke akojoe

    Katika pita pita zangu nimekuja kugundua hii ndo style the best kumkojoza mwanamke. Haijalishi una size gani ukiitumia vizuri atakojoa na atakajoa tena. 1. Missionary Position au Kifo cha Mende - wanawake zaidi ya asilimia 90 wanakojoa kwa style hii. Tena wanakojoa vizuri sana. Unapotumia hii...
  9. CCM kurudisha Imani vizazi vya namna hii ni kazi kubwa

    Ilikiwa video na mabaya zaid nipiga kura mahiri wakinamama Hawa wanawake wameamua kutoa kama tangano sasa hapa ni ngumu kuwapa Imani na chama tena. https://www.instagram.com/reel/DILfS7shYyA/?igsh=MXV1dnQyc2FtbWR6cA==...
  10. Ushahidi wa Boniface Mwangi unadhihirisha Tanzania haifuati utawala wa sheria

    Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya. Ninavyowajua...
  11. Ongeza Juhudi itafute hii DAWA.. inatibu matatizo mengi sana

  12. Hii ndiyo maana ya neno Ponjoro

    Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni. Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe. Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha...
  13. Kama ndugu zenu wanazidi kutekwa na watekaji mnawajua mpo nao tu mitaani watekeni na wao ili tabia hii ikome

    Kama ndugu zenu wanazidi kutekwa na watekaji mnawajua watekeni na wao ili tabia hii ikome. Hatupaswi kuomba ruhusa kwenye masuala ya kujitetea na usalama wetu kama watekaji mnawajua na wanazidi kuwaangamizieni wapendwa wenu na msaada wa kisheria hampati wala nini watekeni na hao watekaji ili...
  14. Hii ya Gwajima ni sinema ya CCM wenyewe, kufuatilia ni kupoteza muda

    Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika. Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it. Hata kama anaongea vitu vyenye...
  15. Hivi huyu ni nani anayeweza kukaa mbele ya mamlaka kuu ya nchi yetu namna hii?

    Shida sio kukaa hivyo mbele ya SSH. Shida ni pale Rais kakaa kwenye kiti chenye mamlaka ya utawala na bendera zote mbili ya Rais na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa nyuma yake alafu mtu anakaa mbele ya mamlaka kama yuko geto na masela huku yuko bize na simu na haonyeshi kumsikiliza...
  16. Tunapoenda kuanza mwezi June; Aya hii ikusaidie, iwe muongozo kwako.

    TUNAPOENDA KUANZA MWEZI JUNE; AYA HII IKUSAIDIE, IWE MUONGOZO KWAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Isaya 48:17 Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata. Nisikie! Mungu...
  17. W

    Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  18. 1-3, hii ndiyo Simba tunayoijua, au wamejivunja?

    Kwa mpira wa haki ya Mungu, Simba isingefika hapa ilipo Sasa kwenye ligi na CAF msimu huu. Hawana timu ila Ina tajiri mo. Wameikwepa Yanga kukwepa kufungwa na Yanga mara 6 mfululizo, Kama hawatafanya usajili na kujidanganya kuwa wana timu na kocha, msimu ujao maumivu yao yatakaza,
  19. Nimewin milion 8 kampuni ya 1 win ila inagoma kutoka wakuu hii kampuni ni ya kitapeli au

    Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
  20. A

    Hii ratiba imekaaje, vipi nyie mmeielewa?

    Ijumaa tarehe 6/6/ 2025 South Africa vs Tanzania (friendly match) Kesho yake Jumamosi 7/6/2025 Tanzania vs Madagascar (COSAFA cup) Tarehe 11/6/ 2025 Eswatini vs Tanzania Siku nne baadae, 15/6/2025 Yanga vs Simba 18/6/2025 kenGold vs Simba 22/6/2025 Simba vs Kagera NB: Ratiba ya Simba ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…