hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

    Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili? Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa? Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katuni hii inakupa picha gani kwa wanao hubiri amani ?

  3. JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi wa Dini ni kama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi

    Baadhi ya viongozi wa dini nikama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi badala ya kumtumikia Muumba madhara ya kuchanganya maji na mafuta kwenye chombo kimoja na mwisho kuishia kutengana Kwa taarifa yao ni kuwa -Muumba hawaelewi -Serikali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu wa Katoliki: Hii ndio Tanzania mpya ya kazi na utu? Mnaofikiri kuua ndio kujibu maswali ya Watanzania, mnakosea

    Wakuu, Hapa Askofu alikuwa anaongea bila uoga tena na nadhani ujumbe wake utakuwa umefikia walengwa Hivi kama watawala hawataki hata kuwasikiliza viongozi wa dini wanataka wamsikilize nani? "Je hii ndio Tanzania mpya ya Kazi na Utu? Kanisa ikishindwa kuzungumza habari hizi imepoteza hadhi...
  6. JamiiForums Tanzania Chondechonde tuikomboe hii nchi

    Chondechonde naomba tuikomboe hii nchi hata kama ni kwa kuiondoka serikali dhalimu.kwa namna yoyote naomba hii nchi ilindwe isianguke. Hata kama ni kwa kuwaondoa watu waovu tuwaondoe kwa sababu Tanzania ni kubwa kuliko Sisi sote.
  7. JamiiForums Tanzania Baraza la maaskofu nchi hii ni ya kidemokrasia na siyo ya mfumo wa kikristo wala mfumo wa dola ya kiislamu acheni kuipa amri serikali

    Friends and Our Enemies, Kuna ajenda ya udini inaendelea chini chini na haikuanza leo dhidi ya Rais Samia,Ajenda hiyo ilijicha kwa muda mrefu sana lakini hivi sasa ni wazi kabisa imejionyesha ni nani alikuwa mastermind wa ajenda hiyo. Kama sote tutakuwa na kumbu kumbu vinara wa uchochezi na...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video nyingi za kutisha zitazidi kuwekwa wazi

    Huko Tunduma kuna miili zaidi ya mia 3 ililundikwa kwenye godown tarehe 30 October na baadaye kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki. Waliotumiwa kusaidia kuzika nao waliuwawa kabla ya kufukiwa kuficha ushahidi. Watu walichukua video na picha. Nimetonywa na vijana wangu wataziachia ila...
  9. JamiiForums Tanzania Siasa za maridhiano zimeua siasa za upinzani Zanzibar, leo hii Zanzibar ni nchi ya chama kimoja

    Mzanzibar aliyekufa mwaka 2005 alafu akafufuka leo mwaka 2025 atashangaa sana kwa hiki anachokiona leo Zanzibar hakuna tena wapinzani wakina jusa, juma duni wamekuwa hawana makali tena wamenyamazishwa sauti mbadala imenyamazishwa Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh: Mnaotaka haki, nchi hii mbona haki zipo

    "Wanasema baadhi yao kwamba itakuaje mpiganie amani wakati nhi hakuna haki, wanasema hivyo lakini sisi tunasema nchi hii ipo haki kwa sababu taasisi zinazosimamia haki za watu zipo zote mahakama zipo, vyombo vya dola polisi wapo" -Amesema Sheikh ------------- Hii battle ya Masheikh ya masheikh...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Watakaoshiriki tukio la D9 ajenda yao kubwa ni nini?

    Wanabodi, Watakaoshiriki D09 Wana ajenda ya kudai Miili ya wapendwa wao pamoja na waliotekwa kuweza kurejeshwa wakiwa hai au wamekufa ili wakazike wapendwa wao. Wahusika wanapaswa kuwa macho na kulifanyia kazi suala hilo ili kuepusha yale yaliyotokea MO29. MUNGU ibariki Tanzania
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimeiona hii kwenye Instagram jamaa anamjibu Irene Kilango

    Huyu binti analalamika anasema; Nawaza sana… je, sisi Gen Z tutafika kweli? 🥹 Kuna wakati nahisi dunia ilikosea kutupokea. Maana kama ingekuwa ni Afrika tu, ningedhani labda ni changamoto ya bara letu — lakini la, ni dunia nzima. 😔 Sisi ndiyo kizazi kinacholelewa na wazazi badala ya sisi...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuua watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu

    Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu. Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais. Wananchi tutachukua...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Lugha Gongana ndiyo hii. Maasofu wanasema lao na Masheikh wa BAKWATA wanasema lao

    Nawaombeni msikilize kwa makini hawa viongozi wetu wa dini halafu tuone nani yupo sawa na yupi hayupo sawa. Binafsi sina la kusema sababu BAKWATA labda wanaweza kuwa wanasema kweli sababu nimesikia mara nyingi wakisema Yesu alikua Muislamu mwenzao labda wanayajua zaidi mafundisho ya Yesu kuliko...
  15. JamiiForums Tanzania Ogopa sana hii connection inayoendana sambamba kuleta machafuko na taharuki duniani. "UKOMNONISTI-MLENGWA WA KUSHOTO-ITIKADI KALI"

    Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao. Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za kutoka mashariki ya kati. Liberals sasa Wameona vitabu vya kishoga vimepigwa marafuku, sasa wameanza...
  16. JamiiForums Tanzania Hii hali wadau ndio inaitwaje kitaalamu?

    Mko poa? Iko hivi . Huwa najisikia amani sana nikikabeba katoto kachanga. Au nisikie kile kisauti cha kulia cha mtoto mchanga. Huwa najisikia raha na amani fulani hivi moyoni. Hii wadau mmewahi ku experience au ndio dalili za kuitwa baba?.. Na Dem hata sina .
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kabla hujatoka kuandamana tarehe 9 Disemba angalia hii picha

    Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda. Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao. Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania walihitaji kuwa na CHADEMA kama hii. Inapaswa ichangiwe fedha ili shughuli za ukombozi zifanikiwe

    Ianzishwe kampeni maalumu kwa ajili ya kuiwezesha CHADEMA hii chini ya Lissu ili ukombozi upatikane. Hainunuliki na wala haipo kwa ajili ya matumbo yao. Soon ukombozi utapatikana by any means necessary. Watu laki tano tukichanga kila mmoja 1000 ni pesa zitazowezesha ukombozi kupatikana
  19. JamiiForums Tanzania Saini petition hii Toka shirika la haki za binadamu duniani ili kuilazimisha Dunia na jumuia zote kumuadhibu SAMIA kwa mauaji ya watanganyika

    https://www.amnesty.org/en/petition/demand-accountability-for-the-repression-in-tanzania/ Taka Uwajibikaji Nchini Tanzania Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mamlaka za Tanzania zimekuwa zikinyamazisha kwa makusudi sauti za upinzani kwa kulenga wakosoaji wa serikali, waandishi wa habari, asasi...
  20. JamiiForums Tanzania Hii hapa tovuti ya watu waliotekwa au kutoweka katika mazingira tatanishi

    Tovuti hii imeanzishwa na kijana wa mzee kibao ili kusudi kuweka rekodi ya watu wanaozidi kupotea na kutekwa. Kama kuna mtu unamfahamu na ametekwa wasilisha taarifa zake kwa administrator wa tovuti hii. Jina la tovuti : Tanzania Memorial | Tunakumbuka Majina Yao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…