hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Chukueni hii kwani ni ya Moto Moto bado na nimeipata kutoka ndani (jikoni) Kwao kabisa

    Ukiwa na Marafiki ( Maswahiba ) wengi ndani ya Kambi ya Maadui zako wakubwa ni Raha sana. Haya Taarifa iwafikie kuwa huko Baharini Kambini Kumeshakucha na kuna Mtu hatakiwi tena. Baada ya kuona hatakiwi huku wengine Wakimsusa na hana kwa Kwenda sasa analazimisha Kukubalika na Oya Oya wengi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC na GSM yenu hivi kama Kesi hii Haki ni yenu kila Siku CAS wangekuwa wanaipiga Kalenda (Danadana) tu Kimaamuzi?

    Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi March au May kama sijakosea na ikapigwa Kalenda. Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi July na ikapigwa tena Kalenda. Yanga SC mlitutangazia tena kwa Mashamsham na Kujimwambafai Kwenu kuwa Hukumu itatoka leo ( Mwezi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wanataaluma nisaidieni: Kozi hii inahusu nini: Bachelor Of Science In Industrial Engineering And Engineering Management

    I am in dire need to get clarification before making decision where to join Niko kwenye dilema huyu kijana anakwenda kusoma nini na applicability yake kwa Tanzania. Inahusu nini hasa maana siyo pure engineering classical one . Anapata utaalamu gani na position yake katika employment industry...
  4. JamiiForums Tanzania Kazi ya kuajiriwa ni utumwa tu

    Kwema humu? Kama tunavyojua maisha ni magumu sana huitaji wa kazi umekua mkubwa sana mtaani Nimeahangaika nikapata ajira kampuni flani hivi nimepewa mkataba ndio kwanza miezi mitatu lakini hii kazi inaelekea kunishinda Kazi haina mapumziko,haina overtime kitu kidogo kazini unakatwa pesa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii Tunu (Zawadi) ya Unafiki tuliyonayo Watanzania wengi haiwezi pia Kujumuishwa katika Vivutio vipatikanavyo Tanzania?

    Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni.... "TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi" Baada ya Simba SC kufungwa na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zimebadilika ghafla na kuwa.... "Hii sasa ndiyo TP...
  6. JamiiForums Tanzania Natamani Watu Wengi Waelewe Maana ya Hii Picha

    Tupeana maana ya hii picha?
  7. JamiiForums Tanzania Hii sura sio ngeni machoni petu

    Sijui tulimuona wapi vile
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Diploma ya sheria kulipwa mshahara wa Tgs B na mahakama, hii imekaaje?

    Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa. Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ndio dhana nzima ya uhuru wa mahakama. Tumeshuhudia Mahita akipigwa maswali, tusipanic

    Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu. Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe. Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po. Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
  10. JamiiForums Tanzania Shaka: Tumeahidi ajira milioni 8 kwenye Ilani ya CCM, tumetoa Tshs 157.8 Bilioni kwa ajili ya ukarabati wa bandari ya Mtwara

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CCM Hii ndo Hii au tutegemee Mabadiliko?

    Ni swali Tu.🤔
  12. JamiiForums Tanzania Zinapatikana wapi Barakoa kama hii ya Edo Kumwembe

    barakoa ina kama kioo hivi hapa ni msafara huu wa mabingwa wa kihistoria kwenda Nigeria mwandishi huyu
  13. JamiiForums Tanzania HESLB: Yatoa mikopo 100% kwa wanafunzi 872 zao la TASAF regardless masomo waliohitimia|ashukuriwe Rais Samia kwa hii sera inayoinua watoto wa masikini

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Sera ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ( HESLB ) dhidi ya wanaopewa mkopo 100% ni wale tu wanachukua masomo ya Sayansi kama Udaktari, Wale wanaochukua masomo yasiyo ya Sayansi hupewa mkopo chini 100% Mambo ni tofauti kwa awamu ya Sita chini ya Rais ya Samia...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyeilewa katuni hii ya KIPANYA

  15. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje

    "Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo. Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…