King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema wanafunzi wa uhandisi watakaoleta suluhu ya changamoto zinazokabili nchi ikiwemo ujenzi na marekebisho ya barabara, pamoja na tatizo la foleni watazawadiwa milioni 10.
Napoandika hii post leo, na siku za karibuni Waziri Mkuu amekuwa ziarani Mkoa wa Kilimanjaro, naomba na kumsihi Waziri Mkuu aifanyie uchunguzi Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Mjini, mipango miji na TARURA kwa kula rushwa na kuuza maneno ya wazi au kuwezesha maneno ya wazi kuuzwa kwa...
Anonymous
Thread
backbenchers
fichua
fichua rushwa
fichua uovu
hii
manispaa ya moshi mjini
mkuu
tanganyika amka
wananchi tumechoka
waziri
waziri mkuu
Katika ukuaji wangu Kuna Imani na misimamo nikimuona nayo mtu nabaki namshangaa kabisa
Kwa mfano;
Hivi inawezekanaje kuwa chawa wa mtu kiasi Cha kushindwa kuona mabaya take?🤔
Hivi mtu unawezaje kujidhuru kwa ajiri ya mapenzi ?🤔
Hivi kipi kinacho Mfanya mtu anashindwa kumuamini Mungu au...
Haya ni majibu ya swali dogo tu la "Jamiiforums ni nini ? hakuna kitu ulicho kiacha nyuma imefunguka kila kitu.
Picha ni JamiiAi Screenshot
Picha ya pili 2
1re
Picha ya tatu 3
Picha ya nne 4
Picha ya tano 5
picha ya sita 6
Muhimu:
Ikumbukwe JamiiAi imejengwa kwa teknolojia...
Habari za mfungo vijukuu vya Mtume Mohamad wa Uarabuni na Vijukuu vya Yesu Kristo wa Uzunguni.
Ndugu zangu,bibi yenu baada ya kupewa vihela vyangu vya kustaafu nikavitumia kujenga kajumba ka ndoto zangu ka mtindo wa KUFICHA BATI.
kIla kitu kimeenda sawa kuanzia weyering Jimsam bot dari...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero.
Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA washughulikie hii barabara.
Greda zipo hapo Ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka Mwaka jana mpaka matairi...
Anonymous
Thread
arusha
barabara
changamoto
hii
kero
kuanzia
kupandisha
lami
mwisho
ofisi
sana
wakazi
Polisi wa Kiislamu nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa kwa kutofunga Ramadhani. Polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini la Kano nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa siku ya Jumatano ambao walionekana wakila chakula katika siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani mwaka huu. Kano ina...
Habari za muda huu Wana jamiiforum.
Aisee Kuna ishu ya dogo langu mmoja nashindwa kujua namsaidiaje huyu dogo alipata kazi serikalini mwezi December then akapeleka vyeti kwa ajili ya verification.
Sasa mwezi huo huo December alifanya usaili kwenye taasisi ya umma inayoajiri yenyewe kwenye...
Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii?
Rais wa Zanzibari chukua hatua
Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi??
Kama wewe ni kijana ambao ni 80% wanamsikiliza mzee wasira ambaye alikuwa mkuu wa mkoa 1978 kwa uchawa wake au Heche? Nchi ndiyo ipo hapa.
Kwasababu ya nguvu ya serikali wanataka kukuaminisha watanzania wengi...
Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao.
Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu...
Kutoka X by MD
1. Mashahidi wote waliperuzi simu zao Tarehe 04 April
2. Mashahidi wote walishawishika siku hiyo hiyo.
3. Mashahidi wote walikamatwa ila hawakufunguliwa kesi
4. Mashahidi wote nini kingine tena.....Ongeza
Wakuu,
Kaeni karibu na uzi huu ili mpate updates ya kinachoendelea leo kwenye kesi ya leo
Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani lakini Majaji na Mshitakiwa bado hawajaingia.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amefikishwa tena kizimbani tayari kwa kuvaana na mashahidi wa upande wa...
Ubovu wa Barabara ya kutoka Mkonze Shule ya Msingi kwenda Mkonze Zahanati mpaka Mtaa wa Chinyika (Mkonze - Dodoma Mjini) unatia hasira unapopita hapo.
Hali ni mbaya mno hasa kipindi hiki cha mvua ni hakupitiki jamani tunaomba msaada kwa Serikali watuangalie tunakwama sana, gari za Watoto wa...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Halmashauri ya Mlimba, Tarafa ya Mlimba. Kero yangu kubwa ni suala la Kupata Nguzo ya Umeme, ukienda Ofisi za TANESCO ili upate Huduma ya Nguzo ya Umeme unaambiwa Nguzo Moja ni zaid ya Shilingi 580,000/=.
Je, hii ni haki Mwananchi kulipia nguzo moja ya umeme...
Anonymous
Thread
haki
hii
mlimba
moja
morogoro
nguzo
umeme
wananchi
Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo Feb 16 2026 hakijakamilika na kuta zinazidi poromoka.
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa kuta za mawe...
Anonymous
Thread
barabara
bukoba
hii
kukamilika
manispaa
oktoba
ujenzi
ujenzi wa barabara