hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

    Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000. Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
  2. W

    Amini usiamini, hii ndio thamani ya kichoma taka inayodaiwa na mafundi wa Wizara ya Afya

    Mafundi wa Wizara ya Afya wanaidai kata ya Ipera kiasi cha Tsh. 16,900,000 baada ya kujenga kichoma taka yaani "Medical waste incinerator" Katika Kituo cha afya Ipera. Kituo hiki kipo Kata ya Ipera wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa maelezo ya Diwani wa kata ya Ipera Mh...
  3. N

    Kwa heshima na taadhima, nawaomba CCM 2025 mtuletee Mgombea bora mwenye uchungu na nchi hii

    Baada ya kuona kabisa kwamba tuko kwenye uelekeo ambao hauna dira, napemda kutoa Rai kwa Chama cha Mapinduzi 2025 mtuletee mgombea Urais mwenye dira maono na mwenye uchungu na Rasilimali za nchi hii. Hatuhitaji mtuletee mtu ambaye kutwa kucha anawaza uchaguzi na jinsi ya kuendelea kuwa Rais...
  4. Uhalisia wa nyimbo hii ya SIKULAUMU iliyoimbwa na Triple S

    Habari a jioni wana ndugu wote wa jamiiforum na pole kwa changamoto za maisha za hapa na pale. Leo nakuja na kisa cha mwanamke mmoja ambaye alifukuzwa kazi na hatimae kwa hasira akaenda studio kurekodi nyimbo ili kutoa ya moyoni. Ni stori inayotia simanzi kiasi chake hasa ukiwa na moyo wa...
  5. Nini siri ya mshahara kuwahi sana awamu hii ya 6?

    Toka ameingia madarakani mama Samia amekuwa na akiwahisha kulipa mishahara mapema sana. Kuna jamaa yangu yupo anafanya kazi "kwa wale jamaa zetu" wameingiziwa salary toka jana tarehe 21. Leo wife nae kaingiziwa mshahara yupo TAMISEMI. Nini siri ya serikali ya awamu ya sita kulipa mishahara...
  6. Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

    Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
  7. L

    “Marafiki wanaotegemewa na wenzi wa dhati” miaka hii ya uhusiano kati ya China na Tanzania

    Pili Mwinyi Tarehe 24 Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alikanyaga kwa mara ya kwanza ardhi ya Tanzania tangu awe rais wa Jamhuri ya Watu wa China. Katika kipindi chote hicho cha miaka tisa yameshuhudiwa mabadiliko makubwa ndani ya nchi pamoja na mchango mkubwa alioutoa katika nchi za nje hasa...
  8. Naombeni mnisaidie Tafsiri ya ndoto hii

    Wanandugu, naomba mnisaidie maana ya ndoto hii. Juzi nimeota ndoto moja hivi ambayo inanisumbua mpaka sasa. Niliota kwamba Mwalimu Mwakasege anagonga hodi nikamfungulia. Nilipomfungulia mlango akaingia huku akisema ya kwamba amezunguka sana akipatafuta ninapoishi. ndipo alipoingia akakaa kwenye...
  9. Hii nchi ngumu kweli, eti mtu kashaliwa kichwa

    Hii nchi ni ngumu sana wadau, eti hapo mtu kashaliwa kichwa Hali ya kuwa alishawahi kuitwa Interview 2 na akafanya. Alafu hawataki hata kupitia tena majina maana wengine walipeleka kwa Hakimu Ila bado wameandikiwa vivyohivyo. Hii nchi ngumu sana inafikia kipindi mtu unawaza Why umezaliwa nchi...
  10. Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

    I mean, nani anajua Dunia itakuwaje miaka 2 ijayo?, USA might have conservative right wing Christian leader, EU watakuwa na priority nyingine hatujui ugomvi na Urusi utaiacha EU na western world katika hali gani, hivyo wanaokupa support leo hii miaka 2-3 ijayo watakuwa na watu wengine kabisa...
  11. J

    Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Usiku wa kuamkia leo nimeota mchumba wangu kachelewa kurudi nyumbani akadai ameogopa kunigongea ningempiga na akaenda kulala dukani kwani aliniaga anaenda kwenye party nikamruhusu Baada ya muda panatokea maaskari na mgambo dukani wakidai wanamuulizia binti anaitwa Saada ambaye inasadikika...
  12. Kwa staili hii Simba hatuwezi kuchukua kombe la Caf

    Kwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda. Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma... ila kwa upande wa robo fainali na nusu fainali litabia hili likiendelea kuingia nusu fainali ni...
  13. Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki? Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
  14. Hii nchi kila siku upigaji unaibuka mpya

    Naona siku hizi utapeli umehamia kwenye kuagiza mizigo na upatu. Hapa utakuta mtu na akili zake anatoa ela halafu baadae anadai kapigwa. Wonders shall never end.
  15. Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

    MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022: "Leo nazungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza baada ya miezi saba na nusu ya kuwa...
  16. KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

    Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki, ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga. Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu...
  17. Mpenzi wangu amefariki, nafikiria kuhamishia kambi kwa mdogo wake

    Katika mishe mishe zangu za kuzifikia ndoto siku moja Niko zangu njiani kuelekea kazini, nikakutana na mrembo ukimtizama huchoki kumuangalia utazan malaika wa zamu Yuko field duniani na Wala sio wa sayar hii. Bas Mimi Kama chochote kitu nikaona sio kesi ngoja niombe namba for further process...
  18. B

    Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

    Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai...
  19. Hii ndio pesa ya mauzo ya gesi yote iliyogundulika Tanzania mpaka leo 16/03/2022..

    Mpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet). Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at 02:50 PM NY time ni 4.7650 USD. Hii maana yake ni kuwa thamani ya gesi ni: 4.7650 USD x...
  20. Hii ni siri nawapa wanaume wenzangu Mlio kwenye Ndoa

    Ukiachana na m'push agenda Mr Liverpool juu ya suala la kutokuoa, sisi wanaume tuliopo kwenye ndoa tunahitaji pia kuishi ki'masta sana na uwezo wa kutathmini jambo kwa spidi ya 6G. Pointi ipo hapa... Mke (hasa hasa hawa wake zetu wa kiswahili) akimgombeza dada wa kazi (house girl ) kwa jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…