hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana awataka Marais wa Afrika kuacha kuwa 'omba omba'

    Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni kuhusu bara hilo. Amesema "Tukiacha kuwa ombaomba na kutumia pesa zetu, Afrika haitakuwa na haja ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tunavyotoa msisitizo kwamba mbaki njia kuu ama kuchepuka kiakili muwe mnalewa, Huyu mwanamke karekodiwa akifanya limbwata

    Kama unajua kabisa mke wako katokea zile sehemu (zinajulikana) wanakosifika kwa mambo haya, tulia kwenye ndoa ufururahie utimamu wako, ukijidai mbishi na kuna akili za kuchepuka, akija kugundua unamwekea mazingira ya kumlazimisha akutulize. Kama ni michepuko usiparamie ovyo ovyo, piga research...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niache kazi hii?

    Wakuu habari, Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri. Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle. Cash ninayo 20M.
  4. JamiiForums Tanzania Hii gharama ya maisha kupanda ni afadhali mtunyonge tu

    Heeeeeeeh Kila nafaka imepanda bei, sukari imepanda bei. Mnataka mtuue pole pole? Sia afadhali mtunyonge. Ndiyo. Afadhali mtunyonge tujue moja.
  5. JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Rap Bongo anayekumbuka nyimbo hii inaitwaje anisaidie jina niitafute

    Habari zenu wakuu, Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi, wanapanga wakavamie nyumbani kwa muhindi tajiri wachukue pesa wamalize shida zao,,katika mpango wao...
  6. JamiiForums Tanzania Wewe ni mpenzi wa filamu za Superman? Henry Cavill hatoshiriki tena kwenye filamu hizo

    Muigizaji Henry Cavill ameondolewa kama Superman na mabosi wapya wa Studio za DC, chini ya miezi miwili baada ya kutangaza kurudi kwenye nafasi hiyo. "Nimekuwa na mkutano na James Gunn na Peter Safran na ni habari za kusikitisha, kila mtu. Baada ya yote, sitarudi kama Superman," amesema Cavill...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Unaweza kurudia darasa la saba endapo ukifeli kwa miaka hii?

    Habari wana JF Kuna mtoto wa dada yangu anauwezo mkubwa sana ila amesoma katika mazingira magumu sana ya kijijini lakini hajafanikiwa kufaulu vizuri. Huku tukiendelea kusubiri selection nafikiria nimchukue aje arudie darasa la saba huku mjini ili aendelee na secondari. Lakini kutokana na...
  8. JamiiForums Tanzania Tabia hii kwenye vituo vya kutoa huduma za afya haipo sawa

    Habarini, Kuna tabia imejengeka kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya (hospitali, zahanati, vituo vya afya) ambapo mteja baada ya kumaliza kuhudumiwa, analazimika kuacha karatasi ambayo ina taarifa za msingi kuhusu mgonjwa husika. Karatasi hiyo inakuwa na taarifa za aina ya vipimo na majibu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa hii case law tafadhali

    Mwalimu Omary & Another Vs Omari Bilal, Court of appeal of Tanzania @ Dar-es-salaam, Civil appeal no. 19 of 1996. Mwenye nayo anisaiie hapa au inbox, whatever!
  10. JamiiForums Tanzania Kama kuwa na ofisi ni jambo la maana, CCM isingeyumbisha nchi namna hii

    Kuwa na Ofisi ni sehemu ya utambulisho wa mahali taasisi fulani inapatikana. Lakini kuwa na Ofisi hakuhusiani na uimara wa taasisi husika. Makampuni yanayofilisika au taasisi zinazoshindwa kujiendesha na hatimaye kufungwa, nazo pia huwa na Ofisi. Wakati Serikali ilipoamua kuyaunganisha...
  11. JamiiForums Tanzania Mtaa wa Karume Morogoro maji hayatoki kwa wiki ya pili sasa

    Swali kwenu nyinyi mamlaka ya maji mkoa wa Morogoro sijui MORUWASA cjui MWARUWASA, mana me mgeni, kwenye huu mkoa nna mwez wa 2. Sasa toka nihamie kwenye huu mkoa na mtaa nliopanga nyumba apa Karume tunaenda wik ya 2 sasa maji hayatoki shida ni nini asee mana sasa tunakoelekea mtaaan yatazuka...
  12. JamiiForums Tanzania Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

    Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja. Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Hata kama majigambo ni asili yao ila hii imezidi sasa, ni kabila gani hili wemeanza sifa za kuzika kwa kutumia crane?

    Ukisikia sifa zinaua ndio huku, Hapa kwa mporomoko huu wa jeneza sijui kama waliodondokewa na jeneza walipona? Humo kwenye jeneza mwili wa marehemu ushavunjika vunjika kwajili ya hizi sifa. Utasikia kisingizio ni jeuri ya pesa lakini ukifatilia unakuta pesa zenyewe ni mshahara wa kuajiriwa...
  14. JamiiForums Tanzania Meja Kunta ameua sana kwenye hii video ya wimbo wa 'Demu wangu'

    Daaaah aisee huu wimbo wa Meja Kunta uitwao Demu wangu aliowashirikisha Mabantu ni mkali sana kuanzia audio mpaka video. Video yake kali sana na amenikosha zaidi kwa kumuweka Tunda kwenye video maana wambea walishaanza kuzua maneno yao ya ajabu ajabu huko mtaani Siiishi hamu kuitazama hi...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi kiatu cha mtu kilivyo ndivyo jinsi alivyo usoni, yaani huakisi uzuri wa sura yake

    Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo. Both kwa ladies and gentlemen. Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho . Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya. Hata kama kiatu ni cha bei chee...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini katika vita vyote, ni hii RUSSIA-UKRAINE tu ndio wanajeshi WANAFICHA nyuso zao? Wanaogopa nini?

    Asilimia kubwa ya wanajeshi wote wanaficha nyuso zao. Wa Ukraine wanavaa mask vilevile wa Urusi. Sababu kubwa ni nini wakuu. Tumezoea kuona vita vingi mbalimbali watu walikuwa wanaenda wanakodoa nyuso tu. Je kuna jambo jipya la kujifunza katika hili? Karibuni wajuvu,
  17. JamiiForums Tanzania Hii ni kawaida kwa RAV 4 old cc 1990 kula mafuta? Naomba msaada wenu

    Yaani lita moja kwenye rough road inatembea km 5 tu, je hii ni kawaida? Pia ina tatizo la kuchelewa kubadili gia, natamani kuwapatia mafundi waicheck gear box ila wasiwasi wangu wasije wakaiua kabisa
  18. JamiiForums Tanzania Hii timu si ya wananchi bali ni ya Matajiri!!

    Wananchi hawasajili wala hawachangishani fedha za kusajili. wanaosajili ni mtajiri. Ila wananchi bado wanasema timu ni yao Wananchi hawatoi hela za kuendeshea Klab, mitaani wanajisifu timu ni yao. Wananchi hawajui hata Jezi wanazovaa mitaani zimeiingizia Klab shilingi ngapi, ila matajiri...
  19. JamiiForums Tanzania Tufunguke kuhusu hii kitu kwa unavyoijua au kuisikia

    Naamini hakuna ambaye hajawahi ona hii kitu Naombeni kujua maana Na kazi yake maana nimegundua huu sio urembo
  20. JamiiForums Tanzania Mliooa, hii hali mnaichukuliaje kwa Wanawake?

    Habari za wakati huu, Nipo safarini kwa muda mrefu kidogo, niko mbali na wife. Huyu mke wangu naona sasa anataka kunikera[emoji16], yaani kila muda sms-simu, sms-simu dah Nampigia tunaongea saana, tunapiga stori sana, lakini kila baada ya muda kidogo huyoo kabeep! Nikipiga hana jipya lolote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…