hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

    Tunahitaji kuwa na uhakika ili kuweza kujipanga kwa hatua zetu za baadaye, iwe ni kusuka au kunyoa nywele zetu. Tunayo imani na CHADEMA ambayo ina misimamo ifuatayo: 1. Kipaumbele chao ni kupatikana kwa Katiba mpya. 2. Hawatakuwepo uchaguzi mkuu wa mwaka 2024/25 bila Katiba mpya. Baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

    Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani. Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu. Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi. Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao hamuelewi vitu kupanda bei, elimu ya bure hii hapa

    Kuna watu wanalalamika vitu kupata bei yaani inflation kwa mana kwamba wanaomba kuwe na kushuka kwa bei ya vitu deflation. Sasa IPO hivi when deflation is high in a modern economy like ours it increases the real value of debts and may aggravate the recession and lead to a deflation spiral...
  4. JamiiForums Tanzania Unashughulika vipi na hili la 'nina mtu wangu'?

    Natumai mu wazima sana, Mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'? Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA wakati wenzenu wanaunga mkono juhudi mliwatukana kuwa wamenunuliwa. Je, leo hii nanyi mmetolewa kwa mkopo?

    Hili liko wazi, CHADEMA iko katika harakati za kumpitisha Mgombea wa CCM kiulaini mwaka 2025. Chadema nao wameamua kuunga mkono juhudi kwa staili nyingine , na hawataki kusikia la muadhini wala la mnadi swala. Naam nimemsiki Sugu juzi, nilishamsikia Mbowe aliyetoka kuwekwa jela na Mtawala...
  6. JamiiForums Tanzania Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

    Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu...
  8. JamiiForums Tanzania Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

    Wesley Snipe 60, Will Smith 54, Eddie Murphy 61, Martine lawrence 57.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

    Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku. Mwenye mke wake utanisamehe bure.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Serikali itafute njia mbadala kushughulika na wahalifu wa 'Tuma kwenye namba hii', kwenda kuripoti polisi ni kupoteza muda

    Waziri Nape alitoa maelekezo watu kutoa taarifa polisi endapo watapokea jumbe za matapeli wanaokwambia tuma kwenye namba hii ama jumbe za waganga na kushinda jackpot ambapo kupata zawadi hiyo unaambiwa upige simu kwa maelekezo zaidi. Badala ya watu kwenda kutoa taarifa polisi, kuwe na njia ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna watu Duniani ni zaidi ya Gaidi wa kawaida pale unapoishi nao, sitosahau hii

    Wakuu habari za wakati na poleni kwa majukumu kwa ujumla. Nina stori naleta kwenu na hichi ni Kisa cha kweli kuwahi kunitokea mimi katika maisha yangu, basi niaze nakusema maisha yana mengi sana wakuu. Miaka ile ya 2000's nikiwa bado shule nilifika mahali nikawa nimekwama mahitaji ya kujikimu...
  12. JamiiForums Tanzania Ni shamra shamra za harusi ya binti wa Samia weekend hii

    NI bashasha kwa waalikwa.
  13. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA

    Habari! Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA imetembea km 1500. Nimenunua 8,100,000 -Ina bima kubwa mnaita comprehesive ya mwaka 1, itaexpire 07/02/2024. Kwa 600,000 -ina latra ya 32000 expire 07/02/2024 -fire extinguisher 15000. -triangle 8000. -sticker 2000. Ikiichukua ni barabarani tu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kila akisifia mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli; Nderemo, shangwe na makofi hutawala. Hii ina maana gani?

    Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo; Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Sauti ya Hayati Magufuli ikisema "Mtanikumbuka" yasikika tena, safari hii kwenye Uviko

    Nimekutana na habari hii hapa jamvini, Ndugu zangu, mabibi na mabwana, vijana na watoto, "Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'sacrifice' maisha yangu kwa ajili ya Watanzania maskini." Hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Raisi wa Tanzania mpendwa...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya gold kwa gram kwa hii pete na hereni zake inaweza kuwa sh. ngapi?

    Habari zenu wakuu, naombeni msaada, nataka kuuza hizi hereni na pete ni vya gold ila sijui chochote kuhusiana na bei naogopa nisije pata mteja nikataja bei kubwa nikachekwa au nikataja ndogo nikajinyonya. Msaada kwa wataalam wa mambo ya grams za gold na bei zake wanisaidie bei kwa gm. Mf...
  17. JamiiForums Tanzania Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

    Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii. Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu...
  18. JamiiForums Tanzania Wanajeshi kupiga watu mtaani inakuwaje?

    Haya matukio ya raia kupigwa na wanajeshi mtaani hutokea pale ambapo mwanajeshi mwenzao kafanyiwa kitendo kibaya na watu wasiojulikana hasa labda imetakea mwenzao kaibiwa, kaumizwa, kauliwa, nk. Nimewahi shuhudia matukio haya ambayo yaliwafanya watu kuishi kama wakimbizi maeneo ya Dar Kigamboni...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Simba hii ndiyo mbinu pekee itakayowapa ushindi kesho inje ya hapo mtapigwa vibaya (uchawi wa vipers huu hapa)

    Kesho timu ya Simba itashuka dimbani na Vipers sc ya Uganda! Hii mechi kwa simba ni ngumu endapo wakikurupuka lakini ni nyepesi mno wakifuata haya! Viper wataumiliki sana mpira dakika za Awali kuanzia mwanzoni hadi dakika ya 18 ya mchezo! Kutokana na hili SIMBA Waanze na mbinu ya...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Vita na mafisadi na wauza madawa ni kukiendea kifo?

    Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika tena, na hatimaye hujikinahi na kuona sawa tu kwa lolote! Na hapo mtu hukubali hata kukabiliana na kifo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…