hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuchezesha wachezaji wa Academy kwa Tanzania upo?

    Kwa wale tunaofatilia Sana mpira wa Ulaya mtakua mnajua jinsi wenzetu wana mifumo wa kuruhusu wachezaji wa Academy kucheza mechi yeyote wakati wowote na timu kubwa. Mchezaji wa academy anakuwa hawekwi kwenye list ya waliosajiliwa lakini wakati wowote akionekana anafaa anapandishwa tu kucheza na...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

    Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani. Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana. Mtazame mkewe sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Shule gani ya advance ni nzuri kwa mikoa hii?

    Salaam wakuu, Natumai nyinyi ni wazima wa afya na wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya basi Mungu awape ponyo. Niko katika utafiti wa shule gani ya advance ni nzuri kwa michepuo ya sayansi ambayo ni girls school. Mapendeko yangu ni kwa mikoa isiyo ya baridi kali mfano dodoma...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ni movie gani?

    Kwa wahenga tu, unakumbuka jina la hii movie...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Eneo lililo wazi pembezoni mwa Barabara ya Morogoro linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi kwa serikali

    Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali? Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
  6. JamiiForums Tanzania Je, hii ndo falsafa ya Mwafrika?

    Ubuntu (umuntu ngumuntu ngabantu) "Ubuntu" (matamshi ya Zulu: [ùɓúntʼù]) ni neno la Kibantu la kabila la Nguni ambalo lina maana ya "utu". Mara nyingi hupewa tafsiri kama "Mimi ni kwa sababu sisi ni" (pia "Mimi ni kwa sababu wewe ni"), au "utu kwa wengine" (Zulu umuntu ngumuntu ngabantu)...
  7. JamiiForums Tanzania Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

    Habari za usiku wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia. Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana...
  8. JamiiForums Tanzania Habari ya ITV usiku huu kuhusu uchangiaji wa Figo haipo sahihi, itaogopesha wachangiaji

    Upandikizaji wa figo (renal transplant) sasa hivi unafanyika hapa hapa nchini kwetu. Na tuko mbioni pia kuanza upandikizaji wa maini (liver transplant). Huko nyuma tulilazimika kuwapeleka wagonjwa wanaohitaji huduma hii nje ya nchi, hasa India kwa gharama kubwa ya fedha za nje za USA dollars...
  9. JamiiForums Tanzania Wadada wanapenda watu wa namna hii kwenye mahusiano

    Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii. Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka kusoma course za nje mkiwa hapa hapa bongo chekini hii scholarship ya Commonwealth Distance Learning (MA)

    Hii scholarship mwisho wa kufanya application ni 28/ 03/ 2023. Bado hujachelewa ku apply. https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-distance-learning-scholarships-candidates/
  11. JamiiForums Tanzania 5G technology: Vodacom Vs Tigo; Tupeane mrejesho nani katisha sana kwenye 'Superspeed' kati ya mitandao hii

    Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo? Tupe ripoti yako tafadhali.
  12. JamiiForums Tanzania Vipi tunaleta fujo na hii TISS? Kwanini unazifukua hizi post za TISS?

    Hii ni makosa. TISS inakuwa trivialized kwa kuitajataja bila sababu. Hawa ni state police,wanalinda viongozi,so,what's troubling you? Truly I am amazed. Ni kitu gani kinasababisha hii flurry ya posting za TISS?
  13. JamiiForums Tanzania Kuna vijana wajinga sana katika hii nchi

    Habari! Mimi ni mwajiriwa katika ofisi moja ya umma. Sasa hapa kazini kuna watumishi wa kudumu, wa mkataba wa muda mfupi na wanafunzi waliokuja kufanya field na wengine wamezamia mazima wakisubiri huruma za boss huenda atawaajiri. Yes. Wapo walioanza kama wanafunzi mpaka wakaajiriwa kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Alicom wa Selina hii Ngoma ilibamba sana enzi hizo

    Miaka Ile wimbo wao ulibamba sana😊😊 Alicom na Celina_wapambe Katika pita pita nimesikia uki pigwa Enzi izo ulikua moto Africa mashariki na kati🌍🌍 Jamaa sijui yupo wap Kwa Sasa... "Wapambe tusi wakubali.....// Selina wangu we kimwana...// Unizalie na wanaa... Wewe ulikua wap enzi izo..😊😊🤓🤓
  15. JamiiForums Tanzania Katuni hii Ina utamu wake, nimeielewa Sanaa!

  16. JamiiForums Tanzania Hii Tabia siipendi, unapanda kwenye daladala mwanamke anagandisha makalio kwenye mkwaju

    Hii Hali imenipata mara kadhaa. Hizi daladala za bongo mnajaa wanaume na wanawake na wamama walivyo na maeneo laini yaani unahisi kabisa kitu laini kinakugusa. Hii hali siipendi basi tu. Mola akinijaalia kauwezo nipate kausafiri niachane hii adha. Wanamama Muda mwingine hudhan tunapenda...
  17. JamiiForums Tanzania Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

    I hope y'all are doing just fine, It has been long time since I was here[JF Inteligence] Kuna mtu alileta mada humu akiuliza kwamba picha inayotumiwa na wakristo hasa wakatoliki ya mtu mmoja mzungu kua “ndie” yesu, je hiyo picha ni ya Yesu kweli? Akaongeza kwa kusema kwamba wakati yesu akiwepo...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kwanini ukikutana na Wanaotoka Tamasha la Mwakasege na Mwamposa Kawe unaiona tofauti hii Kubwa?

    WANAOTOKA TAMASHA LA MWAKASEGE 1. Werevu Kimazungumzo 2. Wana Afya ya Kimwonekano 3. Hawana Uchovu Kimwili 4. Hawaonekani kama Wamechanganyikiwa 5. Wengi wao ni Intellectuals 6. Wameshiba Neno na siyo Mapepo na Miujiza 7. Siyo Omba Omba ( hasa wa Chakula au Nauli ) Ibada ikimalizika. WANAOTOKA...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi. 2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au...
  20. JamiiForums Tanzania Kufuatia kutumbuliwa kwa DC wa Sumbawanga, kuna vitu havipo sawa nchini na ni lazima visemwe

    Kwanza kabisa naanza kwa kumsalimia Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa heshima zote kabisa maana najua atasoma uzi huu kwani anapita humu na tupo naye. Ni swali la moja kwa moja tu, kama ni kweli yule DC wa Sumbawanga katolewa kwa igizo lile basi hatuna budi kujitafakari upya lakini pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…