Huyu binti analalamika anasema;
Nawaza sana… je, sisi Gen Z tutafika kweli? 🥹
Kuna wakati nahisi dunia ilikosea kutupokea. Maana kama ingekuwa ni Afrika tu, ningedhani labda ni changamoto ya bara letu — lakini la, ni dunia nzima. 😔
Sisi ndiyo kizazi kinacholelewa na wazazi badala ya sisi...