hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    Welcome to Botswana 🇧🇼 In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education. University students receive $154 in allowances monthly. It has low debt. It has Africa's best Police service. It is an upper-middle-income country. It has Africa's highest credit rating. It is...
  2. JamiiForums Tanzania Mume mtarajiwa sikia hii

    Wanawake ni viumbe ambavyo kisaikolojia ni tegemezi,,, kwa hiyo wameumbwa kumtegemea mwanaume katika nyanja mbali mbali na si lazima liwe swala la kiuchumi. Si ajabu kabisa mwanamke akawa na amani ya ulinzi iwapo hata mwanaume huyo ni mvulana wa shule ya msingi kwa maana kijana mdogo kabisa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Dunia hii sio ya wanyonge

    Katika msitu , watu dhaifu huawa huko ili wasipitishe udhaifu. Kwa njia nyingi, jamii ya wanadamu ni msitu. Kuna nguvu mbaya dhidi yako. Lakini kile ambacho hakikuui kinakufanya uwe na nguvu zaidi. Ulipewa maisha haya kwa sababu una nguvu za kuishi. Kwa nini sasa uwe mnyonge? Zingatia kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

    “Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio wewe wanaanza kuingia kwenye familia, nilichomjibu baba ni kuwa nilikosea kucheza Tanzania” Fiston...
  5. JamiiForums Tanzania Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali. Source ya hii habari...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Hali yangu nashindwa ielewa. Je, ina maana yoyote kiroho?

    Kuna muda napata ideas fulani akilini na moyoni mwangu kuwa nifanye na muda huo huo akili inasema ukiifanya hii inaweza badili maisha yako, lakini napo taka kuanza kuifanyia kazi, nashidwa kuendelea na roho nyingine nyuma Ina nambia muda Bado utafanya tu baada ya miezi kadhaa,Kisha na cease na...
  7. JamiiForums Tanzania Maoni Binafsi: Mzee Wassira alipaswa kuwa Rais wa hii nchi

    Najua wapo watakao beza ila huyu mzee ni presidential material aisee. Kama ulikuwa unamfahamu kijuu juu chukua muda wako mfahamu kwa kina zaidi. Nashauri chama changu kimpe nafasi mwakani kwa lazima hata kama hataki, atuongoze kwa miaka 5 tu.
  8. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya Yesu kukomesha seherehe zote za kidini na kuwaelekeza kwenye hii moja inayokuja

    Kilele cha kila matukio ya sherehe za kidini ni matukio ambayo moja kwa moja au kwa kinyumenyume yanahamasisha dhambi kwa wahusika na wasiohusika. Sikukuu za kikristo ambazo hazina baraka (endorsement) za Kristo huitimishwa na ongezeko la zinaa, matumizi ya anasa ya fedha, ulevi, ulafi, ajali...
  9. JamiiForums Tanzania Azam TV (Sinema zetu) itoeni hii tamthilia ya Nazi Bubu

    Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu. Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka mpk sasa tunasubiria Idd nimepata muda wa kukaa kidogo kwenye tv na familia aisee tamthilia ni moja ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

    Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna..... Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama...
  11. JamiiForums Tanzania Hii Trend ya kukamatwa Wahamiaji Haramu kwenye V8 kuna jambo lichunguzwe

    Mtu hadi anapofikia kuitwa mmhamiaji haramu tena kwa wale wanavyoonekana hawana pesa ya kumlipa mtu awasafirishe kwa V8, Hii ni issue huenda ipo nyuma ya mtu fulani, either watu hawa wanapelekwa kufanya kazi mahala, kiwanda, shamba au chochote, coz hawa kujilipia huu usafiri mtu arisk gari na...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa kukagua leseni imekaaje?

    Hivi ili suala la Serikali za Mitaa kukagua leseni na kulazimisha watu kutoa hela kama hauna leseni ipoje wakuu?
  13. JamiiForums Tanzania Makonda: Hakuna nilichojifunza, nitawanyoosha. Wasiopaka rangi nyumba zao katikati ya Mji TUTABOMOA

    Hizi ni miongoni mwa kauli zilizotolewa na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha katika hotuba kabambe ya Utambulisho aliyoitoa Mjini humo alipokuwa anakabidhiwa ofisi . Hapa akikuwa akiwapa makavu waliokuwa wanamsengenya kwamba hajajifunza pamoja na kuwekwa benchi muda mrefu. --- Makonda: Hamna...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Arusha kuambiwa na Makonda watoe pasipoti kwa siku saba: Tuna tatizo la siasa nchi hii…

    Kweli tunaweza kuwa na wakuu wa mikoa wasiojua pasipoti zinaprintiwa wapi? Au tunajua lakini tunafanya kick za kisiasa? Kwamba leo Mnataka kutuaminisha kwamba Ofisi ya Uhamiaji Arusha inatoa pasipoti? Toka lini? Hii kick tumeikataa kweupe kabisa tutafute kick nyingine. Lakini pia tujiulize...
  15. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

    Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani. Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Nani mwenye makosa kesi hii ikiwekwa mezani?

    Nipo kwenye kampuni fulani, kila siku nakusanya cash ifikapo jioni nafunga hesabu zangu namkabidhi boss.shida ni kwamba boss ajawahi kuhesabu pesa ninazompa kila siku, ukifika mda wa makabidhiano utasikia tu nakuamini weka kwenye droo, Mimi akinambia hivyo naziweka lakini moyoni silizikagi na...
  17. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  18. JamiiForums Tanzania Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

    Kuna rafiki yangu anafanya kazi TPA akitokea Taasisi moja ya umma baada ya Uhamisho kukamilika. Si unajua ukiwa na mbuyu unaweza kuhamia popote utakapotaka. Sasa niweke pembeni habari za huyu mtumishi. Yeye ni junior hana maajabu zaidi ya mshahara na posho zake za kawaida. Ila si haba ni pesa...
  19. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa video hii ni wazi Yanga ilinyimwa goli hapo jana

    Jana Yanga haikustahili kuishia hatua ya robo, ile goli ni halali kabisa na ushahidi wa video ni huu hapa. Mpira ulivuka mstari wa goal line kwa zaidi ya asilimia 100 kisha uka rebound tena.
  20. JamiiForums Tanzania Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…