hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tusiache hili wazo la Biashara lipotee

    Habari Wakuu, Naitwa [Jina Lako], mtaalamu wa ufugaji samaki, na nimekuja kwenu na wazo la biashara ambalo linaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya ufugaji samaki. Ninapendekeza kuanzisha kituo rasmi cha uzalishaji wa mbegu bora za samaki aina ya sato. Sekta ya ufugaji samaki nchini...
  2. 1

    JamiiForums Tanzania Nitafsirieni hii code

    Nani kaelewa hii code ya hawa watu.
  3. JamiiForums Tanzania Tafuteni hii series Guillermo.del.Toros.Cabinet.of.Curiosities mtanishukuru bila kuboreka

    kuna series nyingi zinazo toka ila hii series inatisha ila ina ujumbe .
  4. JamiiForums Tanzania KWA SINGIDA HII IJAYO SITOOSHANGAA SIMBA KUWA YA NNE

    ANGALIZO TU TUNUKUU TAR YA LEO .KWA USHINDAN WA TIMU ZIJAZO LIGI YA NBC SIMBA NIWAPE TAHADHARI MSISHANGAE MKAWA WA NNE LIGI INAPOKWISHA NA MSISHANGAE N MABADILKO NCHI TUUU ANDIKA TAR YA LEO NA SIKU YALEOO
  5. S

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya kukopesha mitandani, yameiweka serikalini mfukoni au hii ni biashara ya watawala?

    Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo ambalo linashangaza sana. Yaani biashara haramu inafanyika huku taasisi za kuthibiti huu uharamu...
  6. JamiiForums Tanzania Nchi hii inaitaji kuongozwa na Critical Thinkers, watu wa PhD in Sociology with philosophy Amkeni.

    Watu mliosoma Sociology Tafiti zinaonesha nyie ni watu wa kurizika sana ndo maana PhD ni chache mno za Sociology with philosophy. Nchi inahitaji kuongozwa na wanasosholojia matokeo yake mnaacha wachumi wanatuongozea nchi Wachumi wanajua nini kuhusu Jamii? Hawaelewi kitu kuhusu nature of human...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa hii takwimu iliyotolewa na bodi ya ligi kupitia admin wao wa mtandao wa X

    Nimesoma mara mbili mbili sijaelewa hii takwimu wamemaanisha nini, kilichonishangaza zaidi ni kutumika kwa neno pekee kwa maana hakuna nyingine mwenye takwimu ya namna hiyo.
  8. JamiiForums Tanzania Kwako Mbunge Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) kauli hii inaweza kukosesha Ubunge

    Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake. "Mimi huwa sichangi harusi ya mtu, kama ni mazishi nitachanga kwa sababu hilo halikupangwa, kifo kinakujaga tu". Mwamba ameongea ukweli hapa! WATU MPAKA WAFE NDIO...
  9. JamiiForums Tanzania Nani anataka Fursa hii

    Unakaribishwa Niko Mbeya
  10. JamiiForums Tanzania Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

    Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period. Nilitumia p2. Je, atumie tena p2...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume

    Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume, wakipata, watatupilia mbali mara moja ahadi zote walizotoa kwa Mungu baada ya kupata mtu asiye na hatia. Wanawake wengi wanaokula ujana, wakimaliza na kujiona wamechelewa kuolewa, wataanza kuingia makanisani ama misikitini wakiomba...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii, Airtel nao wamepunguza Kamisheni kwenye miamala

    Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto. Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho...
  13. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu tawi la UDSM kujengwa Chato

    Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe. Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato? Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi 👇 --- WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu aliita kwamba "Adamu uko wapi?"". Hii ina maanisha kwamba ukijificha Mungu hawezi kukuona?

    Kwa nini Mungu aliita kwamba "Adamu uko wapi?"". Hii ina maanisha kwamba ukijificha mungu hawezi kukuona? Naombeni jibu
  15. JamiiForums Tanzania Wanajamvi naombeni msaada hii dawa

    Wadau hivi ukinywa Omeprazole na neuroton mwili unakua unauma ndio kawaida zake hizi dawa yaani kifua mbavu mgongo vyote vinauma je niachane nazo
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya biashara ya nyoka inalipa

    Mzigo ndio hivyo kama unavyoonekana kilimo cha nyoka kinalipa.
  17. G

    JamiiForums Tanzania Wasomali wanazidi kukuwa kiuchumi, population na power Nairobi, wao hujiona sio waafrika, Je kuna hatari kwa wakenya weusi dorminance yao ikizidi ?

    Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini hata hao waarabu wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine, ukiingia jamiiforums yao inayoitwa somalinet utakutana na nyuzi nyingi sana...
  18. JamiiForums Tanzania Taka zimemwagwa Mtaani Msimbazi B, hii ni hatari sana kwa Watumiaji wa Soko la Kariakoo

    Hali halisi ya Mtaani wa Msimbazi B Kariakoo Kwa hali hii watu tutaacha kupata magonjwa ya tumbo, kuhara au hata kipindupindu? Uongozi wa Soko hauoni hii hali na kushughulikia?
  19. JamiiForums Tanzania Unashughulika vipi na watu wa aina hii....

    Hello JF... Wewe ni mtu muhangaikaji kama wengine hapa mjini. Mtu anakulilia shida hasa ni nduguzo. Unamsaidiaga mara kwa mara pale unapokuwa nacho. Ila shida ni moja siku ukisema bana sina. Hapo mada inabadilika inaonekana ww una roho mbaya. Husaidiagi watu yaani inasahaulika kabisa kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Itifaki hii ya bendera imekaaje?

    Habarini! Kama tujuavyo, Rais Samia yumo nchini Korea ya Kusini akiendelea na ziara take ya kikazi. Suala moja nimeshindwa kuling’amua kiasi cha kuhitaji msaada wa ufafanuzi na kueleweshwa kuhusu protokali ya bendera ya nchi pindi Rais wetu awapo ziarani katika nchi nyingine. Nimekuwa nikiona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…