hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) nimewamisi sana tokea mwaka 2009, ila Mungu akipenda 2024 hii nakuja Kuwa nanyi na Kutambika pia

    Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana. ONYO Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
  2. JamiiForums Tanzania Kama una mipango ya kununua subwoofer basi usithubutu kununua hii subwoofer.

    From my own experience nilijichanga ili geto nisikae kinyonge niwe nasikilizia muziki pamoja na Fm stations kilichotokea ni vice versa na hasara ya Tz shilling 110,000/= just imagine ndani ya miezi miwili ilianza kujizima ukiwasha unasikiliza hazipiti hata dk 2 inazima Ikabidi nirudishe dukani...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wa kiume unaombaomba sana pesa hii imekaaje?

    Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko? Mawazo yenu ni muhimu
  4. JamiiForums Tanzania Movies nne kali za kucheki wiki hii

    1. TELL NO ONE. Ni miaka nane sasa imepita tangu dokta Alex alipompoteza mkewe, bi. Margot, kwa kuuawa kifo cha kikatili na kisha mwili wake ukatupwa karibu na makazi yao. Kwa kipindi chote hiko mpaka sasa, dokta amekuwa akiumia na hajapata kutulia kamwe. Bado anaomboleza msiba wa mpenzi...
  5. JamiiForums Tanzania Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
  6. JamiiForums Tanzania Tukiwaambia inchi ya wenyewe hii mnabisha

    Hatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka Mfumo ovu bado upo, kuweni makini Povu ruksa
  7. JamiiForums Tanzania TANROADS Morogoro hii ni aibu kwenu kushindwa hili.

    PICHA: Mle mbuga ya mikumi, na kona za iyovi na maeneo mengi kipande hiki matobo barabarani ni mengi mno gari zinapasua matairi na malori plus mabus mengi yanachochora...Fanyeni mrekebishe hii kasoro kwa wakati. Mikumi mjini kilimani
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tazama picha hii Ya Luhaga Mpina kwa umakini halafu uniambie muandishi alitaka kutoa ujumbe gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii. Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
  9. JamiiForums Tanzania Nilijifundisha programming kwa namna hii

    Nilijifunza matumizi ya internet kwanza Nikatumia muda mwingi kujifunza mambo mengi ya namna ya kunufaika mtandaoni Nikaona habar ya kumiliki website, kununua sina uwezo nikajifunza html kama week 4 nikachoka nikaaacha Nikaona kuna suala la kununua hosting siliwez Nikahamia c nikajifunza sana...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu inayofanya Tanzania kutokuwa na maprogrammer wengi?

    Wakuu Habari zenu? Niingie kwenye mada moja kwa moja, Naona hii ndio sababu ya kuwa na maprogrammer uchwara wamzee wa kucopy hawaanzagi kuandika code from the beginning hata uwape bei gani, wao ni mwendo wa nipe wiki mbili tunamaliza faster kumbe anaangaika na kumodify code za watu. Sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Njia yako ya uhakika ya kutokea

    Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu hapa duniani huwa ana njia yake ya uhakika ya kutokea, njia ambayo inamfikisha kwenye mafanikio makubwa. Lakini wengi wamekuwa hawafanikiwi kwa sababu wakifika kwenye njia hiyo, wanabadili njia au kuacha safari kabisa. Yaani ni sawa na mtu anayetafuta mlango...
  12. JamiiForums Tanzania Uliyeniuzia simu hii hapo Kariakoo, niseme tu sisi ni watu na sio milima, tutakutana

    Hizi simu za Market Place ni basi tu. Baada ya makubaliano akaniambia nikachukue huo mzigo kwa bei che ya 60k. Nimefika, ile kutest kila kitu kiko poa Niko home nikasema wacha niibusti, nashangaa inafika 64% inaacha kupeleka chaji. Nikatumia hivyo hivyo, ile inafika 30%, chaji inashuka kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Chukua hii itakusaidia

    Roho mbaya inapunguza wateja kwenye biashara, lakini huruma inaua biashara kwa kiasi kikubwa Chagua moja apo
  14. JamiiForums Tanzania Hali hii ya kuchukua mwingine akisifiwa huchochewa na nini hasa?

    Mwingine anasifiwa kwa uhodari au umahiri uliompendeza msifiaji, halafu mwingine huenda hata hahusiki, eti anachukia na kuumia moyoni kabisa mpaka anapata mihemko na ghadhabu, na wakati mwingine kwa kejeli, vijembe na mabezo kama yote na saa zingine hadi matusi... Hivi hali hii ya chuki dhidi...
  15. JamiiForums Tanzania Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  16. JamiiForums Tanzania Samsung: Hii kampuni inachofanya ni sawa kweli?

    https://x.com/SamsungMobileUS/status/1800233900389617979?t=VDdvhRoSeZ0LKEnI_RgKcw&s=19 Kampuni ya Kikorea "Samsung" imeleta features nyingi zinazowezeshwa na Artificial intelligence kwenye Samsung Galaxy S24 series na collection ya AI features kwenye S24 series Samsung akaamua kuiita "Galaxy AI"...
  17. JamiiForums Tanzania Uporwaji wa ardhi utaisha lini dodoma? Naumia sana raisi samia alione hili

    Samahani . Poleni na kazi Waheshimiwa Natumaini mkheri wa afya Naomba msaada wako kwa kunisaidia mawasiliano ya simu ya viongozi hawa, 1.Waziri wa Ardhi wa Tanzania wa sasa Mheshimiwa Jerry Silapha. 2.Mheshimiwa .Poul Makonda Mi nilikuwa naomba msaada wenu kwenye jambo hili ili kisiharibike...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Hii ndio nchi ambayo Usafiri wa Umma ni Bure

    Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa. Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine...
  19. JamiiForums Tanzania Hii movie inayoitwa NO WHERE kiukweli imeniliza mtu mzima!

    Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba! Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza...
  20. JamiiForums Tanzania UNATAMANI UWEKE SOFASET KALI NYUMBANI KWAKO? ONA HII

    Ni mpya kabisa , ina 2 month tu ni fiber & spring 1..5M ukiitaka nicontact: 0697224996
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…