hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Rais Samia hii siyo sawa, unawapa Taifa Stars Tsh milioni 700 na kuna shule zina hali mbaya

    Milioni 700 kwa wachezaji wakati kuna shule nyingi za hivi. Hii si swa! Hata Mtume wetu (SAW) haimpendezi! Soma => Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON Shule hii iko Mtwara chini ya mkorosho https://x.com/i/status/1859222546731659665
  2. Mwambieni Morrison aanzishe Timu yake na Amsajili Manula ila kwa tunaomjua Madhaifu yake na Alivyotuumiza hapati Namba Simba SC hii ya sasa

    Aliyekuwa winga wa klabu za Simba na Yanga, Bernard Morrison amempa maua yame kipa Aishi Manula kwa kiwango kizuri alichokioinesha katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025 dhidi ya Guinea. Morrison ameweka ujumbe katika Insta story yake baada ya Taifa Stars kuichapa Guinea bao 1-0 na kufuzu michuano...
  3. Siku zinayoyoma kwa kasi sana kwenye huu mwaka wa kufosi au hii hali ni kwangu tu?

    Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu. Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana nadhani nanyi mnalipitia hilo, kuna jambo nilipanga kufanya november nna utaratibu wa kuweka reminder...
  4. Kwanini hii ndege ya serikali imeitwa Musoma na sio jina la mji mwingine wa hapa Tanzania?

    Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma. So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine wowote? Asante
  5. Kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki because huduma itakata.

    ANDIKA hii, kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki kwasababu huduma itakata😀 na watapauka wanatafuta mwanaume mwenye pesa wanazaa naye ili wapate maisha kupitia yule mtoto wake Andika na hii ya mwisho, wapo wadada...
  6. Hii imekaaje, Polisi kuvaa fulana za ACT Wazalendo ?

    Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu. Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti...
  7. B

    Je, haya maji ni salama? Tulipata maji haya Geita mwaka 2019

    Maji haya yalifika kwa wingi mkoani kwetu Geita mwaka 2019. Sasa naomba kufahamu kwa matumizi ya kupikia yako salama kweli? 👉Na hayo mapovu meupe ni chemical gani ambayo imetumika? Maana yanakaa kwa dakika 6 ndio yanakuwa kwenye normal state ya colorless 👉Lakini kwanini maji yanakuwa machungu?
  8. Picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano

    Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano. Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza Mwanaume wake. Mwanamke anafikiri, naenda kuanguka na siwezi kupanda, kwasababu nyoka atanin'gata...
  9. Hii foleni ya leo Bagamoyo road sio mchezo

    Wakuu, Tangu saa 12 asubuhi mpaka sasa nimeganda hapa Masana, Gari hazitembei kabisa, Naskia wameziba barabara moja pale nia ya kuingia Kawe, Kazi tunayo kwa kweli
  10. Watu wengi hawafanikiwi Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu kutokana na kukosea hii sehemu ndogo sana ila muhimu mno

    Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote. Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha...
  11. Hii michango inayochangishwa na watu binafsi kwa ajili ya janga la Karikoo ifuatiliwe

    Kiukweli nimejaribu kutafakari ili kujiridhisha kuhusu michango inayochangishwa na baadhi ya watu maarufu kuhusu janga la Kariakoo ila naona ni kama utapeli. Ikumbukwe kwa ishu ya Kariakoo tayari serikali iko pale na kusimamia kila kitu kwa 100% huku taasisi kubwa nyeti nchini zikiwa kwa karibu...
  12. Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  13. Hii ni hadithi ya Neema na Daudi, wawili waliokutana katika hali zisizotarajiwa na wakapitia changamoto nyingi katika safari yao ya mapenzi.

    Katika kijiji kidogo kilicho katikati ya milima yenye uoto wa kijani kibichi, aliishi msichana mdogo mwenye tabasamu la kuvutia aitwaye Neema. Alikuwa maarufu kijijini kwa ukarimu wake na moyo wake wa upendo. Neema alikuwa akifanya kazi kama mwalimu katika shule ya msingi ya kijiji, ambapo...
  14. Hii video inasikitisha sana

    Imagine na hili joto hapa daslam,unajikuta kwenye situation hii🧟‍♀️ Kuzaliwa Africa ni laana.
  15. Nisaidien Kutafasiri hii Ndoto

    Wanajukwaa Poleen na Majukum,Naomben Msaada wa Maarifa kutafasiri Ndoto. Ukiona Nyoka wawili kwenye Ndoto huwa wanamaanisha nini?
  16. S

    Hii ni njia nyingine nzuri ya uokoaji kariakoo, kwa wale wahanga wanaopiga simu.

    Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi. Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao. Tumieni simu au computer zenu...
  17. Hii inawezekana vip?

    Niliwahi kuhudhuria darasa moja, nikastajabu sana. Huyo mwalimu alitufundisha eti kuna sijui nabii au mtume kiongozi wa dini aliwahi kupanda farasi sijui punda akaenda mbinguni. Alipofika huko akakutana na manabii wa kale wakina Musa, Yusuph na wengineo. Ila hakukutana na mtu mweusi wa kale hata...
  18. Nimeshangaa sana nilipokutana na hii kitu kwenye website ya Muhimbili National Hospital

    Muhimbili ambako maiti zinazuiwa kwasababu aliyekufa alipokuwa mgonjwa hajamalizia malipo. Muhimbili ambako mgonjwa anakaa wiki nzima hajapata huduma kwakuwa hajalipia pesa ya kipimo hivyo madaktari hawawezi kumuhudumia mpaka apimwe . Na vipimo hajalipia bado. Muhimbili ambako huduma bei yake...
  19. Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

    Daaa hii post ya mdau imenifikirisha na kuniwadhisha Sana daah mungu aingilie kati aisee maana sio poa kabisa wana Wana struggle sana! Mungu aingilie kati 👇👇👇 Pia soma > Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
  20. PreGE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

    Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii. Askari hawaonekani kama wale wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…