hifadhi ya jamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunahitaji kuajiri wataalamu wa uhifadhi wa jamii, ili kuinusuru mifuko ya hifadhi ya jamii kufa?

    - Kifupi Bachelor of science in social protection ( Shahada ya Sayansi katika Uhifadhi Wa Jamii ): ni course inayo tolewa na Vyuo viwili Tanzania ECASSA institute of social protection Wakitoa elimu hii ngazi ya Astashahada na stashahada, na INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT wakitoa elimu hii ngazi...
  2. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanatumia muda mwingi kufuatilia mafao yao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?

    - Tanzania kuna mifuko ya hifazi ya Jamii miwili:- 1. NSSF ( huu nikwa wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi ) 2. PSSSF ( huu nikwa wafanyakazi walio ajiriwa na serikali pekee ) Mafao ni haki ya kila mwanachama wa mfuko, pindi anapo pata Janga la aina yoyote mfano uzee, kukosa...
  3. Mwanaisha Mndeme

    JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO: Hifadhi ya jamii ndio mwarobaini wa Bima ya afya

    HIFADHI YA JAMII NDIYO MWARUBAINI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE; MUSWADA WA BIMA YA AFYA NI WA KUTUPILIWA MBALI! Ndugu Waandishi wa Habari, A. Utangulizi: Muswada wa sheria ya ‘Bima ya Afya Kwa Wote’ uliwasilishwa Bungeni rasmi tarehe 23 Septemba 2022 na unatarajiwa kuanza kujadiliwa katika ngazi...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia aitaka Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kuwalipa wastaafu hata kama waajiri hawajapeleka michango

    Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Pia ameitaka Mifuko kufatilia fedha kwa waajiri kwasababu sio wajibu wa mfanyakazi kujua michango imepelekewa au haijapelekwa...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mtu hayuko pensionable, haya mashirika ya hifadhi ya jamii yanakuwa na uhalali gani wa kushikiria hela za mwanachama?

    Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 . Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
  6. macedonea

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Hifadhi ya jamii

    Habari wanajamiiForums, rejea na kichwa habari hapo juu Naomba kwa pamoja tuwekane sawa kwenye haya masuala ya mifuko yahidhi ya jamii, maana mimi ni mhanga wa kutaka kujuzwa zaidi ya hapa ninapo elewa, Kufuatia taarifa ya mkurugenzi wa mifuko ya hifadhi ya jamii, tarehe 14 Nov 2018.kupitia...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako: Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ni Himilivu. Agoma kupokea taarifa kuhusu ripoti ya CAG

    Leo waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, Kazi, Ajira na wenye ulemavu akiwa Bungeni amekanusha mifuko ya hifadhi ya Jamii kutokuwa himilivu. Alipohojiwa na Esther Bulaya juu ya ripoti ya CAG kusema vinginevyo, ameendelea kushikilia msimamo wake kwa madai ripoti hiyo inaishia June 2021. Waziri...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigamboni lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo utamalizika lini?

    Daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo huo utamalizika lini Ili daraja hilo Watanzania waweze kulitumia bila kulipa tozo kama daraja la Tanzanite?
  9. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Mashirika ya hifadhi ya jamii kutoa mikopo kwa wanachama wao

    Wanajamii Forum, Naomba niwape Salam zanguu wote bila ya kujali ya Rangi ,Kabila na dini. Na baada ya Salamu nisiwachoche maana najua shughuli Mingi mwisho wa wiki kujiandaa kwa mapambano ya wiki nyingine. Leo nina hoja, kwa hapa nchini mwetu kwa sasa tuna mifuko miwili ya Hifadhi ya jamii...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyetumbuliwa na Rais agoma na kudai ataendelea na kazi Jumatatu, mama Kijakazi ateuliwa kuchukua nafasi yake

    Mheshimiwa Rais Joseph Biden wa Marekani amemteua Bibi Kilolo Kijakazi kuwa Kaimu Kamishna wa Shirika la Hifadhi ya Jamii, Social Security Administration. Uteuzi wa Mama Kijakazi unafuatia kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo Bwana Andrew Saul ambae alikataa kujiuzulu mwenyewe...
Back
Top Bottom