heslb

  1. A

    KERO Nakerwa na Kampuni hii kuni-SMS kila wiki kutaka kununua mkopo wangu wa HESLB wakati mimi siwajui

    Juzi kati niliona kuna Mdau amelalamika kuwa kuna kampuni imekuwa ikimtumia ujumbe na wakati mwingine kumpigia kwamba wanataka kununua mkopo wake uliosalia kutoka Bosi ya Mikopoy a Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), sasa nami nimeona niweke hapa kero yangu inayoendana na hiyo. Kuna hii kampuni...
  2. bob_fundi

    Inawezekanaje taarifa za mtu kufutwa kwenye mfumo wa sipa wa HESLB

    Habari zenu ,poleni na majukumu ya kazi. Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu kuna dogo alikuwa alikuwa anasoma bachelor degree mwaka 2023/2024 chuo cha st john lakn alikapiliwa na changamoto za kipato ikafanye afute usajili (diregistration). Sasa akaomba chuo mwaka huu akapata lakn kwa...
  3. Kaluluma

    LUG Ina maana gani unapoomba mkopo kupitia HESLB?

    Kwema wakuu changamoto niliyonayo ni kwamba mdogo wangu kaapply mkopo ila ukifungua kwenye akaunti yake inaonekana kama nilivyoambayanisha hapa, Je Kuna yeyote amewahi kukutana na changamoto hii na aliitatua Kwa kutumia mbinu ipi? Natanguliza shukrani zangu za dhati🙏
  4. DuaZaMama

    Wanafunzi 66,987 Wapangiwa Mikopo ya Tsh. Bilioni 215.3 na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu (HESLB)

    TAARIFA KWA UMMA Dar es Salaam, 07 Novemba, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7, 2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 66,987. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatao: Wanafunzi 43,562 wa shahada ya awali na...
  5. Ntahandinkimuhila

    USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina 🙏. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu, tutakufa tunaacha vyote hapa duniani tupendane tuu ndugu. Sasa, nilifanya mtihani wa kidato cha...
  6. S

    Katibu Mkuu utumishi, hamuoni ni kama kuhujumu HESLB kama mpaka leo mmeshindwa kuwezesha mfumo wa ESS kuuza madeni ya watumishi likiwemo la HESLB?

    ESS ni mfumo wa serikali unaoendeshwa na kusimamiwa na Ofisi ya Raisi Utumishi. Mfumo huu hutumika kwa mambo mengi ya kiutumishi yanaywahusu watumishi wa umma kama vile kufanya maombi ya likizo, uhamisho, kupats salary slip, n.k online. Pamoja na mambo mengine, mfumo huu pia umerahisha uomboji...
  7. PLOII

    WASOMI HAPA VIPI? WALE WAJUVI WA LUGHA KAOMBENI KAZI HESLB; kwa haya makosa ya kawaida ni wazi Taasisi haipo serious.

    No greetings kwa Leo, Nina hasira sana! Nadhani dhana ya utumishi wa umma iendane na uwezo. Unaweza ukasema ni kosa dogo lakini Kuna watu wamepewa madeni yasiyo Yao kwa uzembe wa namna hii. Kosa dogo nyuma au mbele yake Kuna kosa kubwa. Hii ni kuhusu image ya Taasisi kufanya makosa ya kawaida...
  8. 4

    Heslb 2025 2026

    NI VYETI GANI VINAKUBALIKA (BIRTH/DEATH CERTIFICATES) KATIKA KUOMBA MKOPO HESLB 2025? Conditions Nne kwa Cheti cha Kuzaliwa;- - Sehemu ya Entry Numbers iwe na Tarakimu tupu bila alama yoyote ile. - Sehemu ya Child's Name iwe na Majina Matatu kwa kirefu, na sio Jina Moja au Majina Mawili. -...
  9. Bwege2030

    Msaada wa kutuma maombi ya Mkopo HESLB

    Nimeenda kwenye stationary kwaajili ya kuomba mkopo bodi ya MIKOPO HESLB sasa tumeanza hatuaa wakanambia kuwa wamemaliza ... Sasa nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta pako kama Hivyo kwenye picha...hapo chini. Je hapo kweli wameshamaliza kuniombea mkopo? Au kuna hatua nyingine? Kama...
  10. N

    KUEDIT TAARIFA HESLB

    Habari Wanazengo Kama unapojisajili uliweka umezaliwa oversea badala ya mainland Tanzania inakuwaje hapo? Maana hata verification number ya rita hawakuleta tunafanyaje ili kuedit
  11. GANG MO

    Najaribu ku log in kwenye mfumo wa mikopo HESLB lakini inashindikana

    Wadau habari ya jioni! samahani kuna dogo aliomba, mkopo mwaka jana alikosa. Sasa anataka kuomba mkopo tena. Lakini ameshalipia elfu 30 lakini akijaribu kulog in mfumo haufunguki. Shida ni nini wadau?
  12. M

    Msaada kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB

    Kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB kama majina ya mama yaliyopo kwenye cheti cha mtoto Cha kuzaliwa ni tofauti na majina yake yaliyopo kwenye kitambulisho chake kuzaliwa ni tofauti na majina yaliyopo kwenye kitambulisho chake cha taifa na hana cheti cha kuzaliwa inachukuliwa hatua gani hapo na...
  13. A

    KERO Mfumo wa uombaji mkopo HESLB OLAMS unasumbua

    Inaonekana kama server za HESLB zimekua compromised kwa sababu kila ukitaka ku log-in kwenye akaunti yako inakataa na nimejaribu kutumia browser tofauti tofauti lakini shida ipo pale pale. Tena nilivyo jaribu kutumia browser ya Firefox ndo ikaleta warning kabisa. Tunaomba msaada kwenye hili...
  14. S

    Mfumo wa HESLB na RITA Unatuumiza Maskini – Msaada Unahitajika Haraka

    Ndugu wanajamii, Naitwa Sese, Naandika ujumbe huu nikiwa na maumivu ya moyo na sintofahamu kubwa juu ya hatima ya mtoto mdogo ninayemshughulikia kwa ajili ya mkopo wa elimu ya juu. Katika hatua ya kujaza fomu ya mkopo (HESLB), kwenye kipengele cha preliminary information, ukiweka taarifa za...
  15. K

    Je HESLB wanatoa mikopo kwa ajili ya masters?

    Habari wadau Naomba kufahamu kama kuna anayejua iwapo bodi ya mikopo wanatoa Pia na wanaofanya masters.
  16. joku

    Kwa kozi hii stashahada maalumu ya masomo ya sayansi (Chemistry and Mathematics) je naweza kupata mkopo kutoka HESLB

    Habari zenu jamani Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana nilimpata division III ya 24 selection zilivyo toka nimepangiwa nikasomee iyo kozi hapo juu katika chuo Cha Korogwe teacher college Sasa nilikuwa na uliza je naweza kupata mkopo wa heslb
  17. Right Marker

    Aliyefanikiwa (HESLB LOAN) kipengele cha kujaza RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH)

    Wakuu kwema? Ninamwombea mdogo wangu mkopo wa HESLB. Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye amefanikiwa katika kipengele cha Preliminary Information kujaza RITA VERIFICATION NUMBER ya DEATH. RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH) tayari zimeshapatikana, lakini kwenye mfumo wa HESLB zinakataa/zinagoma na...
  18. A

    KERO Zaidi ya wiki sasa Mfumo wa Bodi ya Mikopo ya HESLB inasumbua

    Mfumo wa Bodi ya Mikopo HESLB, ni zaidi ya wiki sasa tunapata shida katika kutuma maombi, nawapigia simu zao hawapokei, tupewe hata maelekezo tujue nini kinaendelea, ni kero kubwa aise. Ni kwamba vigezo wameweka vingi tumejitahidi kutimiza ila bado ni changamoto mfano mimi nikifika sehemu ya...
  19. 4

    Msaada heslb

    Nashindwa kufanya application ya mkopo shida nini muda huu ni mtandao au ,naombeni mwongozo wenu wakuu
  20. Think2

    Kwenu HESLB na wadau wa elimu Tanzania

    Kwanza kabisa ninakiri kufahamu mchango wa HESLB kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika ufanikishaji wa ndoto za vijana kwa kiasi. hili la ukopeshaji wanafunzi wa elimu ya juu liangaliwe upya haswaa kama mwanafunzi anahitaji kuongeza degree nyingine ila pesa ya kurudisha ili aweze kusoma degree...
Back
Top Bottom