heshima

Heshima Salim Thompson ( EESH-mə; born 23 October 1986) is a British actor and singer.
Born in the London Borough of Brent, son of Jamaican Reggae singer Dr Alimantado and brother of soul singer Zalon.In 2001 Heshima began his career singing on BBC Documentary Heart of Harlesden, he was scouted from the documentary to play a lead role in BBC’s Babyfather. He has appeared on television in Spooks, Spooks: Code 9 as Jez, Prime Suspect, Casualty, City Lights and Judge John Deed. In theatre he has appeared at The Young Vic in Generations and at The Royal Court in Incomplete and Random Acts of Violence. In 2009 he was nominated for a Screen Nation Award in the Young Shooting Star category. Heshima toured with Amy Winehouse along with brother Zalon on her Back to Black album which was only scheduled to last for 3 months, but the tour was so successful they ended up touring for six years and collected five Grammy Awards.In 2009 he auditioned for the sixth series of The X Factor and in 2011 he auditioned for the eighth series. In 2010 he was cast as Asher Levi in series 2 of EastEnders: E20.In March 2012 Thompson auditioned for the first series of The Voice UK After four chair turns, Heshima chose will.i.am as his coach and made it to the battle rounds of the competition. Heshima worked with Zalon, Salaam Remi and Mark Ronson singing and vocal producing on Amy Winehouse's Album Lioness: Hidden Treasures including singles "Our Day Will Come" and "Like Smoke", which features Nas. Lioness: Hidden Treasures debuted at number one on the UK Albums Chart.In 2014 Heshima founded HTG Entertainment a British entertainment agency.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kuitwa msaliti, is a curse, inaondoa heshima na hadhi kisiasa!

    Najua wengi mtatukana matusi mengi ila mkashindwa kukubaliana na ukweli! Kokote kule, msaliti huchukiwa na kila mtu, awe mke ama mume akimsaliti mwenzake, huibuka chuki na pengine mgogoro mkubwa ndoa unaanzia hapo na hata kuvunjika kwa ndoa! Watu wengi hawafikii katika hali ya kufunga ndoa na...
  2. JamiiForums Tanzania Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

    Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda. Nikashuka stendi nikamwambia boda nipeleke lodge nzuri nzuri. Baadaye nikaona nisichemke ngoja nimshirikishe mwenyeji wangu. Mwenyeji wangu sikuwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

    "Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili. "Nilikuwa nazungumza na...
  4. JamiiForums Tanzania Kuteuliwa na mamlaka za nchi ni heshima kubwa, anayekataa basi kuna maovu anataka kuficha kwenye nafasi aliyo nayo

    Kama umeteuliwa ni kwamba umekidhi vigezo kwa maana una sifa stahiki lakini pia umepewa heshima kubwa na Mamlaka iliyokuteua. Jiulize kuna Watanzania wangapi wenye sifa zaidi yako lakini hawakupewa nafasi hiyo? Vyombo vya habari vimetoa taarifa kuna Watu wamekataa Heshima waliyopewa na Mamlaka...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kumpiga mwanamke,kwenye uhusiano kunaongeza heshima au kunavuruga upendo ndani?

    Habari zenu.... Katika maisha yangu nilijiapia sitakuja kumpiga mwanamke,mwanamke pekee niliyempiga tena kwa kumnyoosha ni mdogo wangu tu? Kipindi alikuwa anavunja ungo alikuwa asikii la mtu mimi ndo niliyemnyoosha kama nisingekuwa mimi ndo alikuwa anaenda kuharibu maisha yake kwa kubeba mimba...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana, tusikate tamaa ya maisha: BABUTALE, mwanasiasa nguli, atunukiwa udaktari wa heshima

    Maisha mwendo mdundo.Bila shaka taifa litaanza kupata madini kupitia udaktari wa heshima, udaktari huu pia anao mbunge Musukuma. Bado nafuatilia chuo kilichompa udaktari huo Hureee vijana
  7. JamiiForums Tanzania Utafiti: Ripoti yaonyesha vijana wengi nchini hawana heshima

    Ripoti ya utafiti wa stadi za maisha na maadili kwa vijana imeonyesha asilimia kubwa ya vijana nchini hawana heshima, hawajitambui na hawana ushirikiano kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Utafiti uliozinduliwa Leo Januari 26, 2023 na Taasisi ya Regional Education Learning Initiative (Reli) kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Unapoelezewa kitu usiwe unafanya shughuli nyingine, kuonesha heshima

    Natumaini kila mmoja ni mzima wa afya. Kuna vitu binadamu yatupasa tuoneshani japo kidogo na kumsikiliza mtu nakuelewa. HIli tunakutana nalo sana baina ya sisi watanzania unakuta mtu unafika na brochures unampatia mtu asome huku unamuelezea. Limenikuta niliingia ofisi moja ipo vingunguti...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe naye atunukiwe Shahada ya Udaktari wa Heshima?

    Mbowe ana takribani miaka 60, Ni age mate wa Hayati Magufuli, japo mmoja anaonekana kijana kuliko mwenzake, Kwa umri wake na harakati zake za kisiasa hawezi kurudi darasani tena. Na ikumbukwe yeye ni form six leaver ila ana akili na maarifa mengi kuliko maprofesa wengi tu waliojiingiza kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Magauni ni nguo ya kike ina heshima sana. Turejee utamaduni wetu

    Jamani turejee. Kama utafatilia Sana hata queen family wanavaa magauni. Tuachane na vijinz.
  11. JamiiForums Tanzania Mwandishi mwenye asili ya Tanzania atajwa kati ya Waafrika 100 Wanaoheshimika zaidi 2023

    Mwandishi ambaye ana asili ya Visiwani Zanzibar, Abdulrazak Gurnah ametajwa na Taasisi ya Reputation Poll International, katika orodha ya mwaka 2023 ya Waafrika 100 wanaoheshimika zaidi. Orodha hiyo ina watu binafsi kutoka sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na Utawala, haki za Binadamu, Elimu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo mnamkosea Yesu heshima mnapomchora

    Nafahamu ule ni mchoro, lakini isiwe chanzo cha kumkosea Yesu heshima. Biblia inasema wazi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu. Lakini ninyi mnamchora Yesu, na hata baadhi ya mitume wake wakiwa na nywele ndefu. jisomee hapa kwenye Wakorintho wa kwanza. 11:14. 14 Je, maumbile ya asili...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Urais unachosha, ila ni mzuri. Rais Samia akituachia katiba mpya akastaafu 2025 itampa heshima yeye na kizazi chake kuliko kutuachia katiba baada 2025

    Nitaeleza Kwa kifupi faida za Mhe. Rais kutuachia katiba awamu yake ya Kwanza then akastaafu Kwa heshimu 1. Tayari amaeshakuwa Rais na hakuna Jambo jipya analoweza kulipata kwenye urais hata aliongoza miaka Mia. 2. Endapo ataamua kuingia kwenye uchaguzi 2025 Ndipo mchakato wa katiba uanze...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Mashabiki wakitoa heshima za mwisho kwa 'Mfalme wa Soka' Pele

  15. JamiiForums Tanzania Simba SC tuache kulialia wachezaji wetu Kuchezewa rafu, na wao hawajazuiwa kulipizia ili heshima ipatikane

    GENTAMYCINE najuta ni kwanini wakati nacheza Mpira kwa Ngazi za Shule O level na A level achilia mbali Ligi Daraja la Tatu Mkoa pamoja na Ndondo hasa nafasi yangu ya Beki wa Namba Mbili, Beki wa Kati Namba Nne na Kiungo Mkabaji Namba Sita sikuwa najjrekodi ili iwe Somo kwa Wachezaji lonyo lonyo...
  16. JamiiForums Tanzania Napendekeza Wanajamiiforum wanaostahili udaktari wa heshima na wewe unaweza pendekeza

    Kutokana michango yao kimawazo wafuatao wanapaswa majina yaanze na. Dr. Dkt. Mshana Jr Dkt. Bujibuji Dkt.Mwashambwa Lucas Dkt.Mpwayungu Dkt.sky cleist Dkt. Kichwa kichafu Dkt. To Yeye Dkt. Kyambamasimbi Dkt. Mayala Hayo Ni mawazo yangu wewe pendeza wako tusimsahau Dkt wa stendi.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Nimepata kura za heshima na ujasiri

    Wakuu habari za Jpili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Mzee lukuvi alikuwa na maana gani kusema maneno yale huko Chamani Mambuzii?
  18. JamiiForums Tanzania Wazee ni Hazina tuwe na Heshima

    Tuendelee kuwa na Heshima wazee Ni Hazina .
  19. C

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania jitahidini mlizingatie sana hili la TCU kuhusu PhD za Taaluma na zile za Heshima

    Kwa mujibu wa TCU ni kwamba Mtu yoyote ( hata awe ni nani Tanzania ) akiwa ametunukiwa PhD ya Heshima akiwa anatajwa ni lazima Kianze Cheo chake kisha Jina na Tuzo hiyo ya Heshima. Kwa mfano Cognizant nikiwa labda ni Mkuu wa Wilaya na nimezawadiwa PhD ya Heshima na Chuo Kikuu chochote Waandishi...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Vyuo Vikuu Duniani, watu waliyopewa Udaktari wa Heshima wasitambulishwe kama ‘Doctor’

    Ndio maana hatukusikia ‘Doctor Julius Nyerere’ japo alikuwa na doctorate za heshima zaidi ya sita. Kwa mujibu wa wanataaluma na mapokeo ya vyuo vikuu duniani wale waliopewa doctorate za heshima hawapaswi kuitwa doctors kama wale waliosomea PhD. Soma hapa: Should Recipients of an Honorary...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…