Hello

Screenshot_20210213-133951.png
 
Karibu hapa JF anyway jitambulishe unaitwa nani?
Unaishi wapi na jinsia gani?
Nini kimekuleta JF?
Hello too
Kwa majina naitwa Robert key,naishi taifa jirani Kenya,sehemu ya Taita taveta,na nitatafuta mchumba mtanashati mkristo,umbo si mnono Wala mwembamba kadri katikati ,rangi brown ,miaka Kati 23-34,..
 

Attachments

  • photofunny.net_.jpg
    photofunny.net_.jpg
    13.9 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom