helikopta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Ecuador na Mkewe Wafariki Kwenye Ajali ya Helikopta

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama na Ujasusi ya Ecuador (CIES), Michele Sensi-Contugi, pamoja na mkewe Stephany Hollihan, ni miongoni mwa watu saba walipoteza maisha kufuatia ajali ya helikopta iliyotokea eneo la Mlima Ololokwe, Kaunti ya Samburu nchini Kenya. Vyombo na Eneo: Helikopta aina...
  2. JamiiForums Tanzania Tume ya Sayansi Yampa Mkopo wa Milioni 100 Mbunifu wa Helikopta Ili aendeleze Teknolojia.

    My Take Kuwe na Mfuko maalumu wa kuwawezesha wabunifu tuu na WA link na research centres . Kuna mwingine kule Njombe ameishia la saba ila ametengwdza mfumo wa umeme. Tukienda hivi tuswapita Iran.Kukariri vya wengine huko madarasani ni ku endeleza ujinga...
  3. JamiiForums Tanzania Helikopta ya Kijeshi ya Marekani yatunguliwa na Jeshi la Irani

    Helikopta ya Kijeshi ya Marekani, maarufu kama Apache Helicopter, iliyokuwa inaranda maeneo ya mlango bahari wa Hormuz, imetunguliwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran mapema tarehe 08/06/2026 Rais Donald Trump amedhibitisha kutunguliwa kwa helikopta hiyo na Marekani imesema...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi helikopta zinatafuta nini rock city

    Kuna helikopta zimepita jana na leo asubuhi kuna nini maana sio kawaida helikopta kupita anga la chini namna hii au kuna mtuwao wanamtafuta wampoteze
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CCM Gairo, Ahmed Shabiby afanya kampeni zake kwa helikopta

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamati Kuu CCM kukutana usiku huu. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta

    Baada ya TAMKO la Capt. C. J. Tesha kuwa amemuandikia CDF Jeshi lichukue nchi kabla mambo kuharibika. Tumeona pia Kaimu msemaji wa JWTZ akiongea kwa CODEX kuhusu tamko hilo. Zipo taarifa kutoka ndani ya mzunguko, CCM Taifa imeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu usiku huu tarehe 04 Oktoba...
  7. JamiiForums Tanzania Ile Helikopta leo na nyinyi mmeiona au nimeiona peke yangu nchi nzima?

    Eti mwananzengo mwezangu ile helikopta ikiwa na mabango ya chama uliiona? Mbona kama imechukuliwa kutoka kwa akina fulani
  8. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) yasitisha Safari za Ndege kuelekea Mji wa Burkina Faso Baada ya Mlipuko wa Helikopta

    Shirika la Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) limesitisha safari za ndege kuelekea mji wa Solle, kaskazini magharibi mwa Burkina Faso, baada ya mlipuko kutokea karibu na helikopta waliyoikodi na kujeruhi afisa wa serikali pamoja na mhudumu wa ndege. Tukio hilo lilitokea Agosti 12, 2025...
  9. JamiiForums Tanzania Nampongeza mzazi aliyemfuata mtoto wake shule na HELIKOPTA. Ni matumizi sahihi ya Utajiri

    Nimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa. Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa . Huwezi KUWA na pesa mingi alafu uzao wako unaishi kifukara KWA hofu kwamba watabweteka kimaisha...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati shule zikifungwa leo na kesho, huko Kaizirege mwanafunzi afatwa na helikopta na mzazi wake

    Mzazi kaona mambo yasiwe mengi, kamfata mwanae na helikopta shuleni Kaizirege. Wahaya mna nini lakini?🤣🤣
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Kukodisha Helikopta Kenya Yakataa Kuwahudumia Chama cha Chaumma

    Kampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Hata sisi tutapata vya kwetu,l😍😍😍
  12. JamiiForums Tanzania Nilionya hapa hapa kuwa asipende na asikubali kabisa kutumia Helikopta naona hamjasikia na sasa mmeshamuandalia tayari kuitumia

    Kaingia mule mule katika Mtego wa Mafia ambao wanaona hatoshei japo wanatumia nguvu Kubwa ili atoshee. Kama kuna ZAWADI KUBWA ambayo GENTAMYCINE nimezawadiwa na Mwenyezi Mungu basi ni ya kuwa na MAONO MAKALI ya kuweza hata KUTABIRI JAMBO, MACHALE ya HALI YA JUU na KUUSOMA VIZURI SANA MCHEZO na...
  13. JamiiForums Tanzania Helikopta kununuliwa na kufungwa vifaa maalum kwa ajili ya utafiti

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja wamepitisha kwa kishindo Bajeti ya Ofisi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 yenye takribani Shilingi bilioni 224.98 kwa ajili ya wizara na taasisi zilizo chini yake kutekeleza majukumu yake. Bajeti hiyo iliyopitishwa kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ndege vita,drone na helikopta za Israel zilipopolewa Lebanon na Palestina

    Ndege vita/jet na drone zilianguka Lebanon, israel ikijitetea kuwa ni tatizo la kiufundi Wakati huohuo helicopter ilianguka huko gaza na kuua askari wawili wa israel,utetezi wao ni ule ule, tatizo la kiufundi https://www.jpost.com/breaking-news/article-849513
  15. R

    JamiiForums Tanzania Video: Mtoto wa Elon Musk na Babu Trump wakionekana na furaha tele wakielekea kupanda Helikopta

    jina lake ni Little X
  16. JamiiForums Tanzania Salva Kiir Aomba Utulivu Kufuatia Shambulizi Dhidi ya Helikopta ya Umoja wa Mataifa

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametoa wito wa utulivu nchini humo kufuatia kushambuliwa kwa helikopta ya Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa. Kulingana na jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Sudan Kusini (UNMISS) watu kadhaa wanahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya helikopta ya Umoja...
  17. JamiiForums Tanzania Nakupa wazo wewe Mwekezaji, yule Bilionea wa Manyara ametumia fursa ya kutengeneza pombe, Sasa anamiliki hadi Helikopta

    Mimi binafsi shida yangu ni Mtaji tu. Nawasilisha opinion zangu kwako mwekezaji katika pombe kali, sasa hapa hutakiwi kushindana na smart gin maana yeye alitengeneza formula zake na akaliona soko sasahv smart gin ipo kwenye mzunguko mkubwa sana. Twende kwenye wazo, Kumbuka kama unataka...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna Askari wa Usalama barabarani (Trafiki) maskini

    Kwa maokoto ya kila siku. Hakuna trafiki boya/maskini. Kuwa na balance bank 50m TZS Jambo dogo
  19. JamiiForums Tanzania RC Kitwana akagua mipaka ya Mikoa kwa kutumia Helikopta

    Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustapha, amefanya ziara na kukagua maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mjini kwa kutumia helikopta. Na si hivyo tu, akaenda mbali zaidi kuangalia mipaka ya mkoa huo, pamoja na mikoa mingine ya Kusini na Kaskazini ya Unguja. Hii inamaanisha...
  20. JamiiForums Tanzania Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

    Wanaukumbi. Vyombo vya habari vya Israeli: 🇱🇧🇮🇱 Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa na wanajeshi na maafisa waliokufa na waliojeruhiwa katika mapigano makali ya leo kusini mwa Lebanon. Baada ya kushindwa kwa vikosi vya ardhini, jeshi la anga la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…