hela

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mnaosema kuna fixed matches kwanini hamtumii hela zenu zote, kukopa na kuuza mali zenu ili mpige hela kirahisi kwa uhakika mtajirike?

    tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ? Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za wachezaji kujifungisha huwaga ni siri zao na watu wao wachache sana, hata wachezaji wengine ndani ya timu...
  2. JamiiForums Tanzania Kuomba hela ni aibu, kuomba hela usipewe hiyo ni aibu ya pili na kukumbushia ombi la kuomba hela hiyo ni aibu ya tatu.

    Hii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu. Ongeza aibu nyingine kwenye harakati.
  3. JamiiForums Tanzania Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
  4. JamiiForums Tanzania App za bure zinaingizaje hela?

    Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela? Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
  5. JamiiForums Tanzania Mnaonaje hela ya kuzoa takataka ikatwe juu kwa juu kama ile ya kodi ya nyumba katika luku?

    Sijui niseme halmshauri zetu zimeshindwa hili suala la uzoaji takataka kwani miji mingi naona ni michafu sana na pia wananchi wenyewe wabishi kutoa hela za taka wajumbe wa halmshauri ya kijiji wanalalamikia hili. So me naona japo ni suala dogo ambalo hata private sector inaweza kuifanya ikipewa...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Inakuwaje mradi unapewa hela zaidi ya walizoomba na haukamiliki?

    Nimepitia bajeti ya wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni May 14, nimekutana na kituko kwa baadhi ya miradi. Mmoja wa mradi wenye kituko ni Uimarishaji ya Hospitali za Rufaa - Mawezi. Mradi huu ulihitaji Sh bilioni 7 na ukapokea bilioni 12 lakini bado haujakamilika, upo 86%. Yaani kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Unafikiria jinsi ya kuwekeza na kutengeneza hela kila siku online? Jaribu hapa

    UTANGULIZI Ni kwa njia ya michezo ya kubahatisha yaani betting. Wengi watasema betting ni kamari, sawa, lakini kwa bahati mbaya au nzuri kila kitu maishani ni kamari especially kwa sisi ambao tunataka kuwekeza au kufanya biashara ili tutengeneze faida. Mifano hai ya kamali za maisha 1)...
  8. JamiiForums Tanzania Bilionea ni mtu mwenye hela sana, akikupa million 200 hapati gepu

    Kuna watu wenye hela zao Sema tu hujakutana nao wapo huko duniani Wanasubiri marafiki wawape pesa fikiria fikiria hela ziko hewani ni wewe kuzidownload tu tafuta rafiki mzuri mwenye idea maana kila kitu kinaanzia kwenye idea.
  9. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

    Akihojiwa na vioa msemaji wa CCM ndugu Amos Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya CHADEMA. Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona CHADEMA wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tafuta hela, Kariakoo majengo yanaota kama uyoga

    Hali ya uchumi inaimarika sana nchini. Pamoja na lawama za mfumuko wa bei, hiyo ni mojawapo ya growing economy hatuezi ikwepa. Kariakoo kuna uvunjaji na ujenzi wa majengo ya ghorofa karibia 100. Hii ni idadi kubwa sana. Tafsiri ya haraka pia mazingira ya biashara eneo hilo kitovu cha Afrika...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viti Maalum wanamaliza hela za wananchi bila sababu

    Kwa msaada wa wiki pedia Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika bunge na mabaraza na kwa njia hiyo katika siasa ya nchi hizo kwa jumla. Kuna nchi nyingi za dunia...
  12. JamiiForums Tanzania Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

    123
  13. JamiiForums Tanzania Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

    Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia, sio kusubiri kudaka tu. Heshima yako na ndoa...
  14. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Wote tumepigwa na taharuki juu ya hela nyingi wanazohitaji wachezaji wetu

    Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili. . Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu Tanzania yenye uwezo wa kuzalisha nyingi hivyo kutoka kwenye vyanzo vyake bali tunamtegemea...
  15. JamiiForums Tanzania Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Kawaida ya Waajiriwa wengi, kuweka Akiba, Saving account kwenye benki zetu, kwaajili ya usalama. Account hizo kuna ledger fee unalipa, huingizi chochote. Nikushauri, wekeza kwenye masoko ya Hisa, akiba yako itaongezeka Kila mwezi, Kwa riba utakayokuwa unalipwa. Usipate hasara, kusubiri mpaka...
  16. JamiiForums Tanzania Sitafuti hela kwaajili ya Mwanamke

    Huu msemo wenu wa "tafuteni hela wanaume ili mmiliki pisi kali" hua nauona ni msemo wa kijinga tu, binafsi naipambania pesa kwaajili ya maisha yangu mimi na si ya malaya, mnasujudu ngono sana ndiomaana mnatumia pesa kupata penzi, acheni ufala vijana wenzangu tafuteni hela kwaajili ya maisha yenu...
  17. JamiiForums Tanzania Tafuta hela ni msemo usioendana na wanaoutumia

    Wengi wanaopenda kusema hii kauli ya TAFUTA HELA ni mafukara wazuri tu na ndio maana kuna muda naiona miyeyusho.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tupeni hela zetu tukafie mbele

    Inasikitisha wastaafu kutoa kauli kama hizi
  19. JamiiForums Tanzania KERO Hela ya malipo ya transcript imelipwa lakini bado NACTE hawataki kuitoa

    Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata mapema tuu sasa Kimbembe ikawa kupata TRANSCRIPT. Pesa ilishalipwa katika control number husika na sms...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume, usihangaike kutafuta wanawake, tafuta Hela, hao watakuja wenyewe!

    Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na nimtumwa wa mapenzi,mhanga wa kupenda Kuliko pitiliza. Unahitaji Maombi uokolewe. Wewe ni cheap and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…