hela

  1. JamiiForums Tanzania Hela Yako kubwa kuwahi kuokota ilikuwa kiasi gani?

    Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika. Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena...
  2. JamiiForums Tanzania Mwananchi asema "Unayeshindana na Dkt. Godwin Mollel nakusanua usitumie hela"

  3. JamiiForums Tanzania Sportpesa mnashindwa nini kuwa na instant payment mpaka mtu uanze kuulizia salio ndo hela iingie

    Mbona betpawa uki withdraw hela ni chap kwa haraka unapata message hapohapo hawa sportpesa wanaenda taratibu Sana kwenye malipo jirekebisheni kama mko ndani hapa.
  4. JamiiForums Tanzania Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  5. JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiwa namsema Mo Dewji kuwa ni Samjo Samjo (Muongo Muongo) na hatufai Simba SC bali anapiga tu Hela naambiwa namchukia na Mimi ni Yanga

    Mchome nakubaliana nawe kwa 100% zote.
  6. JamiiForums Tanzania Kusema kweli jana nimepiga hela nyingi sana

    Wengi waliipa PSG mazima wakaweka mamilioni. Endelea kubeti kupitia sportypesa.
  7. JamiiForums Tanzania Badala ya kutoa stress na pombe kila wiki, hio hela katembelee mbuga za wanyama

    kwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana
  8. JamiiForums Tanzania Yuan 1, Chinese currency

    Wajuvi wa mambo ya kiroho hii hela naweza kuifanyia nini maana naona kwa bongo haina thamani kabisa. Nimeikuta kwenye jeans niliyonunua dukani juzi
  9. JamiiForums Tanzania Demu wako ila kukupa hadi Hela inawezekana vipi?

    Wajomba kuna kijana wangu ana demu wake wameka miaka kama 3 hivi ola siku hizi jamaa kama kawa mwehu sababu ya demu Imagine demu hataki mazoea kama zamani na mzigo hadi jamaa atoe hela ndio anapewa hahaha juzi kafukunyua mzigo ile anamaliza likavuka ugomvi mkubwa demu anasema hawezi kuja bila...
  10. JamiiForums Tanzania Lini mifumo ya Serikali inaanza kufanya kazi hasa kutoa hela

    Nata nifahamu ni lini mifumo ya Serikali huanza kutoa hela baada ya mwaka wa fedha kutamatika kikao ifikapo June 30..?
  11. JamiiForums Tanzania Kijana kabla hujamtumia malaya hela fanya maamuzi ya kumtumia Baba/mama kwanza

    Nikweli heli hela yako hainihusu kabisa wala sina mamlaka ya kukupangia namna ya kuitumia upendavo wewe hapa tuna teta na kuelekezana tu. MALAYA HANA SHUKRANI. ukweli ndo huo mwanamke malaya hana shukurani yoyote ile ni rahisi sana kukwambia mbona hujatuma na ya kutolea ? Hicho kidogo ambacho...
  12. JamiiForums Tanzania Picha: Gharama za kutuma hela ni kubwa sana

    Yaani laki 2 ya kutoa ni 6,000 ? Aisee tuacheni kutumia haya mambo ni gharama sana kutuma pesa kwa mitandao
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

    "Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela...
  14. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi CCM wanavyochezea hela zetu hapa lazima deni la taifa lifike trilion 107

    GT Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi wanawapa hela upinzani huku CCM inawapa hela wananchi wawachague inatupa picha gani ?

    CCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
  16. JamiiForums Tanzania Msichana anavyokuomba vocha au hela punde baada ya kumtongoza humaanisha nini?

    kuna binti nimemsaundisha jana,akanigea namba yake ya whatsaap,leo tumeanza kuchat whatsaap ghafla bin vuu ananiomba vocha,nikamtumia ya book,hii jioni nakuta anasema kama nna elfu tano nimuazime annunue umeme. WAKUU hivi ni mbinu ya kunifukuza au ndo ananipima au?
  17. JamiiForums Tanzania Anasema yeye ndo anatoa hela, leo kaombwa hela live kawa Mkali🤣

    Kila siku anajinasibu kwamba yeye ndo anatoa hela. Na kila mtu kaaminisha yeye ndo anajenga madaraja, Shule, barabara nk. Sasa leo kaombwa barabara live akawa mkali. Akasema ukimuomba ni kutaka sifa kwani unatakiwa uombe Bungeni. Kwani hela za Mama zimeisha gafla? Nimeshangaa sana🤣🤣🤣🤣
  18. JamiiForums Tanzania Marefa Tisa Championship wafungiwa baada ya kudai hela zao za misimu mitatu

    "Jana Marefa 9 wa Championship wamefungiwa kuto kuchezesha mashindano yoyote kwa msimu mzima unao fata Kosa kubwa lilo fanya wafungiwe ni kudai stahiki zao na kuwaeleza matatizo yao Waandishi wa habari.. Wengi wa Marefa hao hawajalipwa pesa yoyote kwa zaidi ya msimu mi3 Kikao hicho kili...
  19. JamiiForums Tanzania Kama sio handsome, huna kipaji na huna hela ila una cheat, ungekua navyo ungekuaje ?

    Una sura personal, unanuka jasho, Mtu hana muonekano mzuri, hata kuvaa vizuri hajui, hana hela na hana kipaji ila anamsaliti mke wake, hivi kibaka kama huyo angekua hata na kimoja cha hapo juu ingekuaje? Mungu fundi. Mi pamoja na uhandsome wangu, ingawa nikicheat mke anaweza nisamehe mana...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tunafikiri maendeleo ni kuwa na hela tu mfukoni kumbe hata maboresho ya huduma ni maendeleo

    Mfumo wa mahakama ni mzuri Sana Africa nzima tuko vizuri haya njoo kwenye huduma za maji.Tanzania tunaongoza kwa kusambaza maji vijijini..ndo maana baadhi ya Wazee hawapendi kusomeka TASAF kama Kaya maskini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…