heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Heche kutafuna pesa ndio zimewakatisha tamaa watu ya kuhudhuria mahakamani. CHADEMA wameamka kutoka usingizini na kuweka mgomo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa Unaweza kusema Kuwa CHADEMA wameamka kutoka usingizi wa Pono ,kwa sasa wameanza kuzinduka ,wameanza kuutambua ukweli ,wameanza kujua mbivu na mbichi. Hii ni baada ya kutumika kwa miaka mingi,kunyonywa kwa miaka mingi ,kudanganywa kwa miaka mingi ,kuburuzwa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania John Heche: Kwanini VITOL anatuuzia mafuta kwa usd 260 wakati Uganda anawauzia kwa USD 83 na Msumbiji usd 90?

    Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali. Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000. Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000 Msumbiji usd 90 sawa na 238,500. Hawa watu wanaoitwa NAMARO...
  3. JamiiForums Tanzania Tone kwa Tone yafanyika ili kuficha upigaji wa John Heche!

    Nchi ikiwa ya moto ya masuala ya Upigaji wa John Heche Baadhi ya wanachama wa Chama hicho wanaonufaika na Upigaji huo wameingia mtandaoni kuhamashisha Uchamgiaji wa kiasi cha Sh. 334,000,000 kwa kile walichosema ni kwa sababu ya mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika September. CHADEMA...
  4. JamiiForums Tanzania Yoyote anayemtuhumu HECHE , mwenye Ushahidi, auweke wazi mbele ya Vyombo vya Habari !! Kwann mnamtuhum Kwa maneno maneno?.

    Mtu anaitwa Vyombo vya Habari, anasema, HECHE anakula Hela za TONETONE. unakuta Mtu huyo, anajikita ni Katibu wa BAVICHA Nanjilinji. Yaan wewe wa Nanjilinji hukoo maporin, unaanzaje Kufungua Kinywa chako kua HECHE Anakula Pesa??. Weka makaratasi Mezani !!!. Tuko na Heche mpaka Siku ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Heche: Tumekusanya Sh milioni 120 kwa siku tano

    CHADEMA wakusanya Sh120 milioni kwa siku tano- Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameyasema hayo leo alipozungumza na wazee wa Mkoa wa Mara leo Julai 17.
  6. JamiiForums Tanzania Heche akutana na Wazee wa Mkoa wa Mara leo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime. Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Heche wakivuka na hili CCM watakuja na lipi?

    Nimesema CHADEMA na Heche wakivuka na hili,maana yake wameshapitia matukio mengi ya kutengenezwa na walivuka. Sasa limekuja hili la Heche kuzushiwa kula Hela. Najiukiza hivi,ikiwa CHADEMA itavuka hili,na Nina uhakika itavuka kwa maana ni ushuzi TU,wala sio uzushi. Na ikiwa Heche atavuka...
  8. JamiiForums Tanzania Kama hawa wote wanaomtuhumu Heche wamenunuliwa, CHADEMA hamna makada!

    Huwa tunapenda sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Hata hivyo majibu ya namna hiyo hayatibu ugonjwa. Mtaji wa kwanza wa chama cha siasa ni wanachama waaminifu ambao wapo tayari kukitetea, kukilinda na kukipigania chama chao. Tafakari, kama chama viongozi wake, wanaweza nunuliwa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe hii nyumba ya John Heche ndio ushahidi wa tuhuma wanazotengeza? Looh!.. hawa watoa tuhuma ni vilaza kwelikweli, hawamjui Heche wa nje ya siasa!

    Eti hiki kijumba ambacho actually is very contemporary sawa na ramani ya choo cha Shule ya Msingi Temeke Wailes ndio ushahidi wa mabilioni ya shilingi ambayo wanadai John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameyatia mfukoni mwake na kuyatumia binafsi kujengea kama... Haya ndio madai ya chawa wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ahsante mwenyekiti John Heche kuongea na watanzania kupitia diaspora

    Mheshimiwa ahsante kuongea na watanzania kupitia diaspora. Tunaomba uwe unafanya hivyo mara kwa mara. Lazima tuikomboe nchi yetu. Thumb up mheshimiwa
  11. JamiiForums Tanzania This is clearly a smear campaign meant to distract and weaken the opposition. Let us deal with facts, not cheap politics against HECHE

    The accusations being thrown at the Vice Chairman of CHADEMA regarding alleged embezzlement of party funds to build a house are not only baseless but politically motivated. The house being circulated online as 'evidence' does not even compare to properties I personally own, which raises serious...
  12. JamiiForums Tanzania Heche, dawa ya tuhuma sio wanawake kukufariji ni kujibu tuhuma na kupisha uchunguzi

    Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako. Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha...
  13. JamiiForums Tanzania Heche hataki Lissu atoke, anachekelea umaarufu wa kufa kufaana

    Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya. Anatoa...
  14. JamiiForums Tanzania Heche anapeleka wapi hela anazotafuna? Nyumba anayojenga haiendani na hela zinazotajwa kutafunwa

    Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Padre huisingiziwa anakula sadaka, sembuse Heche tena? Sadaka inatakiwa iliwe na nani? 😄

    Wakuu ! Wasalaam Meme hio Meme inavosomeka inanifanya nikumbuke mjadala unaoendelea kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. John Heche. Katika sayansi ya siasa kuna dhana inaitwa Political Trust na Human Capital. Kiongozi anapofikia hatua ambayo wananchi wanaendelea kumuamini hata katikati...
  16. JamiiForums Tanzania Heche amekaa bungeni 10yrs Leo anasaidiwa na Maria Sarungi kuchangisha watu amalizie nyumba yake, serious?

    Kwani Hela wanapeleka wapi? Au wanacheza kindenge🤣 Watu tunaposema Hela za chadema zinagongwa na wakulungwa wa Chama muwe mnaelewa. imagine mtu aliyepata kiinua mgongo cha ubunge Leo hii ndo anasaidiwa na Maria Sarungi kukamilisha boma lake hii ni aibu. NA HATUJAWAHI SIKIA AMEGOMEA POSHO...
  17. JamiiForums Tanzania Vyombo vingi vya habari vipo kwenye mgao wa kumchafua Heche

    Naona kama Kuna collaboration kati ya vyombo vya habari na hawa machawa wa Abdul. Anaibuka mtu hata sio mwanachama wa CHADEMA na kudai Heche achunguzwe. Cha kushangaza, vyombo vya habari bila kutathmini na kuchunguza nafasi ya msemaji, vikaja na kichwa cha habari: Vijana wa BAVICHA Pwani wamtaka...
  18. JamiiForums Tanzania Mnaomtuhumu M/M/kiti CHADEMA - Tanganyika Mh John Heche; Rudini studio tena, mkarekodi upya filamu yenu. This one is very ridiculous...!

    Na mkirudia tena, basi ingalau jaribuni kufuata mwongozo ufuatao mnapoandaa filamu yenu; 1. Kama kuna pesa za tonetone amepokea kupitia Bank Account yake binafsi, na kwa kuwa mna access na Bank Account binafsi ya mtu, basi filamu yenu ieleze na kuonesha waziwazi haya👇 ✓Ni Bank Account Number...
  19. 0

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Heche zinafukuza matajiri kuchangia CHADEMA

    Kwenye Mwananchi ya Leo kuna habari hiyo. CHADEMA hakuna matajiri bali hohehae, akina mimi tunaochangia buku moja, au jero pale CDM inapoomba tone tone Chama cha Matajiri wanajijua .... wale wanaokitolea 10B Uzuri tunawajua mnaotaka kututoa kwenye reli Anyways kituo kinachofuata ni 88, kisha...
  20. JamiiForums Tanzania Ashura Masoud: Tuhuma za Heche kula pesa hazina ukweli, hahusiki na fedha za CHADEMA

    Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati, Ashura Masoud, amesema kuwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha zinazomkabili Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, hazina ukweli wowote kwani kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, kiongozi huyo hahusiki na usimamizi wa masuala ya fedha za chama. Masoud amefafanua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…