hazina

Hazina is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,25.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

    Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
  2. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wenzetu wenye Exposure Ulaya ni kweli kuwa bank za majuu hazina public toilet kwa ajili ya wateja

    Town Kuna joto ndani ya muda mfupi unaweza jikuta umekata hata 2 litres kimbembe kinakuwa unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayana access ya restroom kama Bank. Je na wenzetu huko Ulaya bank zao hazina vyoo??
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  4. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bajaj na Pikipiki hazina "number plates" kwa mbele kama magari? I'm just asking out of curiosity

    Mambo vp wadau wa JF. Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho. I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat) Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto.. ~ SIPENDI SIASA ~
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, inawezekana unahujumiwa kupitia ama Bank au watu wa Hazina

    Mpaka sasa watumishi wa umma wengi wao wanaochukulia mshahara NMB hawajapata mishahara wakati wanaochukulia mshahara Bank zingine walishapata tangu juzi Jumamosi. Kuna nini hapo?
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Amos Nnko, Mkurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina, bintiye wafariki ajalini Same

    Ajali zinazotokea msimu wa sikukuu zimeendelea kuacha majonzi kwa Watanzania, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko kufariki dunia. Nnko amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Same, mkoani Kilimanjaro...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Bar za bagamoyo hazina vyoo

    Hawa Osha sijui wanafanya kazi gani. Ni ama wakienda huko wanapewa hela wamalizane tu au hawaendi kabisa. Ndo shida ya waajiriwa wa serikali wakishaajiriwa hawafanyo kazi tena tofauti na ambapo osha ingekuw private sector. Ndo mana hata jpm alikosea sana ATC na TTCL kuzifanya ziwe monopoly na...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Huruma Yako ni Hazina: Usiruhusu Itumiwe Vibaya!

    Kusaidia wengine ni tendo la heshima na ubinadamu, lakini si kila mtu anayekuomba msaada ana nia njema. Kuna watu ambao, badala ya kujiboresha kupitia msaada wako, wanatumia ukarimu wako kama njia ya kukupeleka kwenye matatizo zaidi. Watu hawa ni hatari kwa ustawi wako wa kiakili, kihisia, na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Lissu kulipiwa fomu na Sativa ni mbinu za kisiasa tu hazina ukweli wowote

    Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu...
  10. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Upendo ni hazina

    Tuwafundishe watoto wetu upendo kama hazina ya maisha
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lugha za baadhi ya madalali wa nyumba mitandaoni hazina maadili na huweza kuleta athari kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi. Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia utangazaji wa biashara mbalimbali mitandaoni na upatikanaji wa bidhaa mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kilio cha hukumu za ovyo chazidi kusambaa, Profesa Chris Peter Maina asema hukumu hazina viwango

    Niliwahi kuongelea suala la hukumu, hasa za Mahakama Kuu kuandikwa na "vitoto" vya Mahakama za Mwanzo vilivyopachikwa majina "wasaidizi wa jaji" Na pia tabia ya majaji kuwa na vikosi vya mahakimu ambao huwaandikia hukumu, na wengine huwakodia mpaka vyumba vya hotel weekend wakafanye kazi hiyo...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ni Mimi tu ndio naona na kusikia! Kampeni za CCM hazina Mvuto

    Ninajaribu kudadisi kuona namna CCM inavyoendesha kampeni zake. Naona hazina Mvuto. Nimejaribu kuangalia kwenye magroup ya wasapu kimya kingi. Nafatilia mtaani wengi wanasubiri kupewa chochote.. wafia chama wamepungua Sana. CCM embu changamkeni Ili kampeni zichangamke. Au komba kakosa...
  14. Shuku_

    JamiiForums Tanzania WANAWAKE wengi TZ, wanaongoza kwa kufanya biashara ambazo hazina tija.

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija. Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa...
  15. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi za NATO hazina nguvu kabisa ya kijeshi?

    Vita si jambo la kushabikia sana, lakini nchi kama Urusi, Iran, Korea Kaskazini, na China zinaonekana kushabikia vita. Wanafikiri pengine ni wao pekee wenye nguvu kubwa za kijeshi na silaha za maangamizi, wakipeana sifa kiasi hicho. Mara nyingi utasikia, "Korea itamshambulia Marekani," na...
  16. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

    Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mpaka tarehe ya leo sisi Wazee hatujapokea pensheni zetu toka HAZINA kulikoni?

    Mpaka tarehe ya leo sisi Wazee hatujapokea pensheni zetu toka HAZINA kulikoni?. Tuna maisha magumu na pensheni ndiyo tegemeo letu ili maisha yasonge mbele. HAZINA ifanye hima ili tupate pensheni zetu.
  18. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

    Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika) Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi. Akasema kama una...
  19. G

    JamiiForums Tanzania "Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" zimekuwa nyingi sana

    Oops !!
  20. G

    JamiiForums Tanzania Matajiri ambao vyanzo vyao vya pesa havijulikani, huku ndiko baadhi wameanza kuokota magunia ya pesa, si pesa za masharti ila Jela inakuchungulia

    Kumekuwa na baadhi ya vijana mjini wenye jeuri ya kuonyesha nguvu ya pesa lakini imebaki kuwa siri yao namna wanavyozipata pesa. Kuna matajiri wanaoingiza pesa kihalali lakini wapo pia matajiri wanaoingiza pesa kwa kuvunja sheria na kukiuka maadili, si kila tajiri wa kutamani mali zake bila...
Back
Top Bottom