hayati

Pir Hayati-ye Sofla (Persian: پيرحياتي سفلي‎, also Romanized as Pīr Ḩayātī-ye Soflá; also known as Pīr Ḩayātī, Pīr Ḩayātī-ye Pā’īn, Pīriāī, and Pīryal) is a village in Mahidasht Rural District, Mahidasht District, Kermanshah County, Kermanshah Province, Iran. At the 2006 census, its population was 210, in 47 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA fursa iliyopo wazi kwa sasa ni kuwatumia wafuasi wa hayati Magufuli kujiimarisha zaidi kwa ushindi wa 2025 huu ndio mtaji wetu mkubwa kisiasa

    Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi. Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji...
  2. JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA mmesahau usaliti na uroho wa pesa aliotufanyia Zitto miaka ile kisa tu anamchafua hayati JPM?

    Mmesahau ile miaka chama chetu kilivyokuwa na nguvu kiasi cha kutaka kukamata dola? Zitto kwa tamaa ya pesa akatusaliti na kuanza kuweka mamluki ili tusipate ushindi. Mmesahau alivyohongwa na watu wa CcM na kuharibu chama chetu mpaka tukamtimua? Huyu ni mtu anayejali pesa na matumbo yake. Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Si wote ndani ya Serikali wanafurahia kunangwa Hayati

    Huo ndiwo ukweli. Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa. Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
  4. JamiiForums Tanzania Kila mtanzania anatambua kuwa hayati JPM alisaidia taifa letu kipindi cha mlipuko wa kwanza wa Covid 19 kwa kutaa mashariti ya mabeberu.

    Kwa taifa letu Karantini lingewezekana? Kwamba wakulima wa kitanzania, wauza samaki na nyanya wa kitanzania, mama ntilie wa kitanzania uwaweke karantini sasa hivi tungekuwa na hali gani? Mkopo wa tril 1.3 ndio ilikuwa sababu ya kuharibu maisha ya watanzania wakati karantine isingewezekana...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli. Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
  6. JamiiForums Tanzania Nukuu muhimu toka kwa Baba wa Taifa Hayati Mwl. J. K. Nyerere

    WanaBodi Wasalaam, Zifuatazo ni baadhi ya nukuu za Hayati Mwl. J. K. Nyerere unaweza zisoma na kuweka komenti kwenye nukuu moja wapo ukihusianisha na Tanzania ya leo. "Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huyu askari Magereza aliyepishana Lugha na hayati JPM alifutwa kazi? Kama alifutwa kazi sasa yupo wapi?

  8. JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Magufuli na legacy yake

    Kesho ni kumbukumbu ya kutimiza mwaka 1 toka Raisi wa 5 wa Tanzania John Pombe Magufuli alipo fariki dunia, Magufuli alikuwa ni M-Socialist wa mlengo mkali wa Shoto na mwanamagauzi mkubwa wa uchumi. Ni yeye Magufuli ambaye ameacha legacy kubwa sana Tanzania ya vitu ambavyo ni alama ya uongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

    Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania. Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza? Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu...
  10. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Katiba Mpya alaumiwe Hayati Magufuli

    Hayati John Pombe Magufuli, aliukuta mchakato wa katiba mpya umefika mahali pazuri pa kupigiwa kura. Hayati Magufuli akazipuuza harakati za miaka nenda rudi za waTanzania zilizolenga kuipata katiba mpya. Magufuli kwa kiburi na jeuri akasema kutengeneza katiba nzuri itakayowapa mwangaza mpya wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

    Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani. Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma...
  12. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa 'system disruptor', kwa bahati mbaya hakuimaliza kazi, kwa sasa hakuna tumaini tena

    Ili Tanzania mpya izaliwe, ilikuwa ni lazima ile ya zamani ife. Hapa nazungumzia 'system' ya zamani. Yale makundi ya watu yaliyohodhi madaraka na mamlaka ya nchi, ambayo yanabadilishana tu kutoka kizazi kimoja hadi kingine. JPM, labda kwa bahati mbaya au kwa mipango madhubuti ya wazalendo...
  13. JamiiForums Tanzania Augustine Mrema ni shujaa wa taifa asiyependa ufisadi kama ilivyokuwa kwa rafiki yake hayati Magufuli

    Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati. Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa akiwa mzee. Nakumbuka kupewa stori na wazee wa Wanaomfahamu Mrema kupambana na walanguzi na maadui wa...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa kuongoza kongamano kujadili falsafa ya Hayati Magufuli

    Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli. Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25, mwaka huu katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Somo nililopata kupitia kwa Hayati John Pombe Magufuli

    Leo ikiwa ni mwaka mmoja umepita tangu Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Magufuli afariki, nimekaa chini muda fulani nikatafakari siku hii ya kumbukizi ya kifo chake, Kuna somo nimelichukua kupitia kwake. Kwa kulinganisha kipindi akiwa hai na baada ya kutuacha, somo hilo ni kutokuogopa...
  16. JamiiForums Tanzania Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

    Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma. Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika. Watanzania tusitarajie huu mradi...
  17. JamiiForums Tanzania Je, na Rais Hayati Magufuli nae angestaafu angekuwa anaenda Bunju kwa 'Helicopter' kuiangalia Simba kama afanyavyo mwingine huko Kigamboni kwa Yanga?

    Ni matumaini yangu Makubwa kuwa hizo Helicopter huwa zinakuwa Salama na zinafanyiwa Matengenezo makubwa kwani kwa mwaka huu Watanzania hatuhitaji Kuomboleza tena. Halafu wala msihangaike kwenda huko Avic Town Kigamboni ilipo Yanga SC Kisirisiri kwani wengine tunawajua hata mlivyokuwa Uongozini...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

    Wakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini. . Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani. . Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Nikiomba file la matibabu ya hayati Magufuli naweza kupewa?

    Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa. lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion Research question: Could this death be prevented? Remember: Prevention is better than treatment!!
  20. JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Hayati JP Magufuli

    Wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha JP Magufuli yakikaribia, ni vyema tukaangazia miradi yake aliyotekeleza na inayoendelea kutekelezwa / kukwamishwa kwa sasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…