haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jameni walokole, hivi haya maneno mnayatumia vile yanavyopaswa ama mnatulisha matangopori?

    Namnukuu mchungaji aliyekuwa akihubiri kanisani leo mchana, "Tuko mbele 'zako' baba wa mbinguni". Hivi mungu ana mbele ngapi? ni 'mbele zako' au 'mbele yako'. Hebu tuwekane sawa maana mungu anaweza akawa na mbele zaidi ya Moja kwa sababu mara zote walokole wamekuwa wakisema "mbele za mungu"...
  2. JamiiForums Tanzania Ninatamani iwepo sheria ya kulazimisha watu kuitwa kwa majina yao ya asili ya makabila yao badala ya haya ya kizungu na kiarabu

    Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni wao na inarahisisha kutambulika bila kujieleza sana. Tanzania tukiendelea hivi tutapoteza kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo haya yamenifanya nione Dunia imefika Mwisho

    MAMBO HAYA YAMENIFANYA NIONE DUNIA IMEFIKA MWISHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Wengi wetu tunajua hakuna Jambo au kitu kisicho na mwisho. 2. Hata Dunia tunayoiishi inamwisho wake. Kisayansi na kidini. 3. Sasa kwenye Dini tunaambiwa Kiyama(mwisho wa dunia) kutakuwa na hekaheka na...
  4. JamiiForums Tanzania Maadhimisho makubwa kama haya ya siku ya wanawake duniani yanafanyikaje mburahati?

    Aisee leo mburahati hakukaliki magari ni mengi mno kuanzia viwanja vya shule ya msingi mburahati hadi kituo cha polisi hapa baadhii ya magari yaliyoleta watu yamerudi yalipotoka haya yaliyopo hapa yamelundikana hatari ila wenye migahawa wanapiga hela kudadeki 😅!
  5. JamiiForums Tanzania Kama kijana wa kisasa achana na haya mazoea ya kiduanzi ambayo yamekuwa ruba kwenye jamii zetu

    Unapoenda kutembelea mtu toa taarifa kwanza, usilalale zaidi ya siku mbili kupelekea kuleta usumbufu hadi unalala na watoto wadogo. Ni aibu katika karne hii bado una unahangaishwa na mambo ya kufikirika. Unashindwa kuchukua risk kisa unahofia upande ambao hauna hata hakika nayo ila unauheshimu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hata haya mashimo Barabara ya Singida - Arusha tusubiri Waziri Mkuu apite ndiyo tumwambie ili atoe maelekezo?

    Naziomba mamlaka za Mkoa wa Singida zitusaidie watumiaji wa Barabara ya Singida - Arusha kuboresha kipande kilichopo Manispaa kuanzia NBC Banki hadi kwenye jiwe lililopo katikati ya barabara maeneo ya Kirima Night Club. Maeneo hayo kuna mashimo ya kutisha sehemu za watembea kwa miguu ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa kiongozi halafu usitake kupendwa. Uongozi nchi ni kama Ndoa. Huwezi tenganisha Mapenzi na Uongozi

    Hamjambo! 1. Ni sawa uoe/kuolewa alafu useme nikijipenda inatosha, au akinipenda Mama inatosha. Mkeo au mumeo asipokupenda tafsiri yake hakuna ndoa hapo. 2. Uongozi unatokana na mapenzi. Kupendwa. Ndio maana watu wanachagua viongozi wanaowapenda. 3. Na huwezi kuongoza watu wasiokupenda. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu au kufanya haya popote duniani

    1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara kwa wamarekani ndani ya marekani. Na ndio maana nchi zilizojaribu kutengeneza silaha za maangamizi...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoa si kitu chepesi, fanya haya walau upate ahueni

    Salaam jamiiforum Mara nyingi mabandiko yangu yanawahusu vijana wadogo ambao kila Nyanja kwao bado ni ngumu iwe pesa,iwe kazi nzuri, biashara n.k vijana bado mambo ni magumu sana,najua si wote,wapo ambao mambo yao hubebwa na bahati pia Ni rahisi kukuta kijana mdogo asiye na Elimu kubwa kuwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi haifai hata kidogo kutumika ila hatuna jinsi

    Wananchi wa Kijiji cha Mbuchi, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani wanapitia katika kipindi kigumu kutokana na hali ya miundombinu ya Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi kuwa mibovu hali. Hali hiyo inasababisha utoaji wa huduma katika kituo hicho kutokuwa rafiki hasa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zingatia mambo haya kabla ya kukopa

    Kabla ya kuchukua mkopo, lazima utathmini uwezo wako wa kulipa, uelewe gharama ya jumla (riba na ada), uangalie alama yako ya mkopo, na uhakikishe una lengo wazi la fedha hizo.. Vitendo muhimu ni pamoja na kuunda bajeti kali kwa malipo ya kila mwezi, kulinganisha wakopeshaji wengi, na kuchunguza...
  12. JamiiForums Tanzania Waislamu nijibuni haya maswali

    Quran ni kitabu kilichokamilika na hakina mashaka ndani yake 1. Issa alizaliwa chini ya mtende. Wapi? Quran 19:22 - 23 Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

    Hii Miili kwa Mujibu wa Mtoa taarifa, ilikua inatoa harufu Kali sanaaaa , maana yake Kama imefukiwa na Serikali, ni kwamba sehemu ilipokua miili hiii, Serikali haikua na uwezo wa kuihifadhi , Je Serikali inakoswa uwezo wa kuhifadhi miili ??? TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA...
  14. JamiiForums Tanzania Ukifanya zinaa haya ndiyo majina utakayoitwa. Tafakari kabla ya kuzini

    UKIENDA KUFANYA ZINAA, KUMBUKA MAJINA HAYA, ALAFU UJISHAURI BAADA YA HAPO UCHUKUE UAMUZI UTAKAO KUJA. 1. KUFANYA ZINAA NI KUFANYA UPUMBAVU KIBIBLIA. 2 Samweli 13:5, 11-14 (Biblia Takatifu) Yonadabu akamwambia, Lala kitandani mwako ujifanye mgonjwa na babako atakapokuja kukutazama, umwambie...
  15. JamiiForums Tanzania Just imagine kama Mwafwere yuko mahali salama anasoma haya yanaendelea mitandaoni kumhusu

    Hawa watu walishatupanga sana tu.. Tena! Si mara moja tuu bali tena na tena! Ila asilimia 99 ya mara zote walizotupanga ni kuhusiana na kifo Ni asilimia moja hivi ndio imehusika na mahusiano, ugoni/fumazini, kufilisika nk! Hili la Mwafwere linaweza kuwa la kwanza kwenye medani za kupangwa...
  16. JamiiForums Tanzania Zingatia haya kwenye safari yako

    Maisha ya kijana ni safari ya kujitafuta. Ni kipindi cha ndoto, nguvu, hamu, makosa, maumivu na maamuzi makubwa. Wengi huingia hatua hii wakiwa na matarajio makubwa—lakini hukutana na uhalisia mgumu kuachwa, kukataliwa, kukosa ajira, kukosa fedha, presha za marafiki na tamaa za mwili. Ndipo...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Hoja za Heche zimejaa harufu ya usaliti. Haya yafanyike kabla ya kufanyika maridhiano yoyote yale

    Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote. Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya...
  18. JamiiForums Tanzania JE WAJUA NI MUDA GANI UNAPASWA KUBADILI OIL FILTER YA GARI YAKO?

    Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change. Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu : Pressure ndogo ya oil Engine kukosa nguvu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kitambi kinasababishwa na ubinafsi au ni maumbile tu ya mtu?

    Mandela Katto anahoji kuwa kinasababishwa na ubinafsi au ni maumbile tu ya mtu?
  20. JamiiForums Tanzania Haya majengo katika ramani ya uwanja mpya wa Arusha yanaashiria nini?

    Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani. Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa. Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…