Salaam wakuu.
Wahenga walisema Tahadhali ni bora kabla ya hatari, na umakini unalipa kuliko uzembe, na akili ni njema kuliko ujinga, na utoshelevu ni bora kuliko kupungukiwa.
Mpendwa kama utaweza jiepushe na yafuatayo ili uweze kuepuka kero za madeni
1: Epuka kukopa pesa ili ununue WANTS...