haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe; je ulipanda haya mabasi miaka hiyo?

    Kama ulipanda haya mabasi jione kuwa hivi sasa upo kwenye dakika za majeruhi refa anaweza kumaliza mpira wakati wowote. Kipindi hiki kutoka Bukoba kuelekea Mzizima ilikuwa ni safari ya siku ngapi? Je kutoka Mbeya kwenda Mwanza ilikuwa ni siku ngapi?
  2. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Lilian Mwasha nae ni Mchungaji? Haya wale Wanawake ambao bado hamjatupata wa Kuwaoeni mwenzenu kasema Umri sahihi wa Kuolewa ni miaka 40

    Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
  3. JamiiForums Tanzania Ukishiriki tendo na mtu usiyeelewa afya yake zingatia mambo haya muhimu

    Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya 1. Tumia condom 2. Tumia condom 3. Tumia condom Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda kituo cha afya cha hapo karibu watakupa dawa kinga za kuzuia maambukizi, dawa zinaitwa PEP. Ila lazima...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli viongozi wa Yanga wana utoto na ujinga? Majibu ni haya

    Kiukweli kitendo cha kupeleka timu uwanjani wakati Bodi walishatoa taarifa kuwa mechi haipo ulikuwa utoto wa kiwango cha kimataifa.Bodi ndio wenye mamlaka, wameshasema mechi haipo wewe unatumia page yako kwenye insta unawaambia wanayanga twendeni uwanjani, wewe unabandika listi ya kikosi kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

    Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025 Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025 Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
  6. JamiiForums Tanzania Atheists, leo mtajua hamjui. Jibuni haya maswali—mkishindwa, msilete tena hapa nyuzi za kuhoji uwepo wa Mungu

    You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs? Let’s put it to the test—answer these 25 questions. If your atheism is as solid as you claim, these...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea kwenye Uhandikishaji wa Wapiga kura ni vizuri Chadema kurekodi matukio yote na kuyarusha kwa Wananchi

    Kuna taarifa za Wanaojiandikisha kuambiwa kupeleka kadi zao kwa Wajumbe wa CCM. Huu ni uzandiki uliopitiliza. Kuna taarifa za watu wasio raia kujiandikisha kwenye daftari la Wapiga kura. Kuna taarifa za Watu wa CCM kuandikisha Watoto wadogo ambao hawajstimiza miaka 18 kama mkakati wao wa kuiba...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada nina maswali haya juu ya DRC na jeshi lake

    1. Kwanini kuna vikundi viiingi vidogovidogo vya majeshi ndani ya DRC? FARDC, FDLR, ADC, Wazalendo... 2. Wale maaskari wana mafunzo ya kijeshi au ni raia wa kawaida tu wanapewa magwanda ya kijeshi wavae? 3. Wanawapataje maaskari viongozi kama majenerali, kanali (wao wanaita Koloneli)?-je wana...
  9. JamiiForums Tanzania Siku akija Rais wa TFF mwenye affiliation na Yanga tutakumbuka haya na tusilaumiane

    Wanayanga mpito wanaopitia, Inadhihirisha mambo makuu mawili 1.Siku zote akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo. Jaribu kuangalia hata hadhi, heshima, hekima na busara za kiuongozi kati ya rais hawa wawili, TFF na Young africans sc, utapata jibu. 2.Kwa sasa Yanga anafanyiwa hujuma na...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Chilonde chonde jamani. Plz CRB bank ondoeni maneno haya "kitu kimesimama". Haya siyo maneno mazuri.

    Huwa nashangazwa sana hasa nikideposit pesa kwa hawa mawakala wa crdb. Nikideposit tu napewa risit. Mwishoni mwa risiti imeandikwa eti "kitu kimesimama. Plz ondoeni haraka .
  11. JamiiForums Tanzania Lilikuwa jambo la kushangaza kutumia malimao na tangawizi watu wajifukize ili kupambana na corona

    Wakati wa Corona mwaka 2020 nilikuwa kijijini nimeenda kuangalia mashamba Ila nilichoka Sana nilipomuona MTU ambaye Hana Elimu ya Afya ni lay -Man aliamua kuwaambia watanzania kuwa Watumie malimao na tangawizi na wajifukize ili kupambana na corona. Na hakuishia hapo akaenda Muhimbili...
  12. JamiiForums Tanzania Tucheke kidogo na haya maisha ya ukimani.

    …mji wa saba nchini Brazil 🇧🇷, Manaus, ulipoishia, kuupisha msitu wa Amazon… Wenzenu wanaheshimu misitu yao… Sio Ukimani, mnaojenga ovyo ovyo tu… Siku moja nipo Mikumi, nikasema wacha nipige misele kidogo… Nikaenda nafuatilia makazi ya watu… Bila kujua, nikajikuta tayari nipo mbugani…...
  13. JamiiForums Tanzania Usiende kwenye usaili wa Mchujo bila kusoma Makala hihi na kupata matibabu haya

    https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7 HAYA! Kama wewe ni msailiwa, Mtainiwa mtarajiwa, Thinker kiongozi, au mtu yeyote anayekabiliana na hali tata zinazohitaji uchambuzi wa kina ili kupata majibu sahihi, basi Mental Therapy Scanner ni kwa ajili yako. 👇👇👇👇👇👇👇👇 https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7...
  14. JamiiForums Tanzania Haya maneno ya Mwalimu nyerere ni kweli tumefikia tamati ya umauti.

    Lisemwalo lipo ila ni maono japo na yeye ndio chanzo cha haya kufikia hapa.
  15. JamiiForums Tanzania Haya chukueni hii ikiwa bado mbichi na mbaki nayo, kwani kwa aina ya Mgeni Rasmi aliyeandaliwa kwa Mchezo ujao hakuna wa Kuthubutu Kugoma / Kumgomea

    Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
  16. JamiiForums Tanzania Je, haya Mahudhurio hafifu ya Poti wangu Marehemu Profesa Sarungi Karimjee Hall ni kuwa tuko busy au tumemsusa au Chuki yetu kwa Bintiye ni chanzo?

    Sikutegemea kabisa kwa Mtu kama huyu Profesa Sarungi kupata haya Mahudhurio hafifu Karimjee Hall. Nimesikitika mno.
  17. 3

    JamiiForums Tanzania Nina sh 9m nahitaji gari kati ya haya

    Habari zenu. Nahitaji anayeuza kati ya gari hizi Ani pm tufanye biashara 2007 Nissan xtrail 2005 Suzuki grand Vitara Nissan dualis
  18. JamiiForums Tanzania Kwenye haya Maisha kuna watu ni untouchable , hii nimejifunza kwa njia ngumu.

    Nilichojifunza sio kila mtu anagusika . Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane . Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani. Mimi mwenyewe...
  19. JamiiForums Tanzania Haya ndio Maisha halisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire

    Haya ndio Maisha harisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire na ndio chaguo lake na anajiona mrembo kuliko awali
  20. JamiiForums Tanzania Haya ya Simba niliyatarajia toka jana kupitia Ahmed Ally

    Wakati wa pre-match press conference, na kwa wale wataalamu wa saikolojia mtakubaliana nami kwamba Msemaji wa Simba na semaji la CAF Bwana Ahmed Ally alionesha ishara zote za Leo timu yake kutokuingia uwanjani. Hii ni baada ya kua na muonekano usio changamfu, na hata baada ya kuulizwa swali na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…