Watu wengi wamepoteza furaha maishani mwao kwa sababu mbalimbali za kimaisha. Kama na wewe huna furaha, furaha yako inaweza kurejea ukifanya mambo yafuatayo:
Kuna aliyekukosea? Usimchukie, msamehe – Chuki huiba furaha, lakini msamaha huleta amani.
Kuna jambo limeishaharibika? Acha kulalamika –...