haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    ANAYEJUA HAYA YAFUATAYO NINAOMBA UFAFANUZI!!!

    Namna ya kufungua na kumiliki akaunti benki kuu ya Tanzania ,namna ya kununua na kumiliki bondi ,faida zake nakadhalika!Nimeuliza hivi kwa sababu ninataka nimshauri kaka yangu afanye nini hasa akijiandaa kustaafu kazi ndani ya miaka 5 ijayo
  2. WAISLAMU WANARUHUSIWA KULA NGURUWE KWA MAZINGIRA HAYA

    Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo. Maana katika maandiko...
  3. Chonde chonde mnao-dislike nyuzi za watu - haya yatawapata!

    Katika ulimwengu wetu wa kidijitali, chuki hujidhihirisha kwa njia ya matusi au kejeli, lakini pia hujificha kwenye emojis kama hizi: :mad::confused: 😠 👿 Watu wengine huonyesha chuki yao kimya kimya kwa kum-ignore mtoa mada. Chuki inaathiri nafsi ya mtu na jamii kwa ujumla. Chuki ni sumu...
  4. Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

    Kuna nini. Maana Jahazi nasikia sauti za watangazaji mpya. Nikienda Wasafi nako watangazaji maarufu siwasikii tena!! Nini kinaendelea maana maredio haya makubwa watangazaji maarufu siwasikii tena... Wapi Mchomvu, wapi Kipanya, wapi Masanja, Zembwela nk
  5. Haya ni maono yangu ya usiku!

    Naliona mwezi katika mawingu, na ghafla tukiwa tunatembea na mtu, ndipo nikamuambia angalia ule pale mwezi mwingine huo ni wa pili, nikawa nashangaa kwasababu haikuwa kawaida. Ghafla mwezi mmoja ukaanguka chini na kulipuka kama bomu la nuklia, katika sehemu ya mji katika dunia hii. Nikiwa...
  6. T

    Unabii: Mkiyaona haya, basi inueni vichwa na kumtukuza Mungu

    Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu. 1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa 2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za...
  7. Katika maongezi na mtu ambaye ni stranger au ambaye hauna mazoea nae makubwa usithubutu kumuuliza kama haya maswali, umeoa ,umeolewa ,una watoto ,n.k

    Watanzania asilimia kubwa wanashida kubwa katika kufanya mawasiliano na maongezi kiujumla . Mfano MTU mmekutana kwa Mara ya kwanza tayari anaanza kukuuliza maswali Kama haya umeoa ,umeolewa ,Una mtoto ,umejenga Una gari ,Unakunywa pombe n.k Maswali Kama haya ni too personal kumuuliza MTU...
  8. Nilidhani haya Mauaji ya kutumia Pikipiki na Muuaji kujificha Uso yalishaisha Kitambo tangia alipouwawa Yule Mtu wao Uwanja wa Ndege miaka iliyopita!

    Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
  9. Polepole, usisahau nchi au taifa lolote la Maana Msingi wake ni Mambo haya Makuu matatu; Chama chako kinavunja Msingi Mkuu wa taifa, hayo ni matokeo

    Mpo Salama! Taifa lolote la Maana, ndoto ya watu ni lile linalojengwa katika Misingi Mikuu miitatu; 1. Utawala Bora na Sheria (Good Governance and Rule of Law) Huu ni kama msingi wa nyumba. Bila utawala bora hakuna amani, hakuna haki, hakuna maendeleo. Sheria hutuliza, huongoza, na hutoa...
  10. Godoro gani ni zuri na linadumu kati ya haya? Nashindwa kuchagua

    Bomba-8inch-250k Super bango-8inch-220k Arusha delux-8inch-230k Arusha delux-8inch-180k Hizi brand ni mpya inaniwea ngumu kuzijua vizuri
  11. N

    Ninamwomba Mungu sana sana TAL au MwanaCCM yeyote baada ya Mama asijefanya haya!

    Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya. Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi...
  12. Wapenzi wa Simba na Watanzania kwa ujumla wanataka kujua haya kuhusu uwekezaji wa MO kwenye timu ya Simba

    1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC? 2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji? 3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya dhana ya ufadhili, dhana ya biashara na dhana ya uongozi kwenye taasisi moja? 4. Je ripoti za...
  13. J

    Hivi Rais Samia anawezaje haya yote?

    Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni, Tuulizane mama amewezaje yote haya? Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana...
  14. Kwa haya yanayoendelea kati ya Serikali ya Chama tawala ,vyombo vya ulinzi,dola na mfumo kuna siri au tukio zito sana tulitarajie kabla ya Agosti 3.

    Wakuu natumai mnaendelea vyema.kwa wale wanaofuatilia matukio mbalimbali ya kisiasa na kijamii nchini mnakubaliana nami kwamba kuna mambo hayako sawa kabisa. Kuna matukio ya wazi mfano kutovunjwa kwa Bunge,mvutano wa Vyombo vya ulinzi na Taasisi za kidini(shambulio la kitima,kufungiwa kanisa la...
  15. Maisha haya acheni tu unaweza kukufuru

    Habari za jioni Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu. Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii. Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama...
  16. Bodi ya mikopo na serikali,je haya malipo ya shilingi 20,000/= ni sahihi ili kupata namba ya utambulisho wa makazi (NaPa) ?

    Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana ambazo kuzikamilisha inakuwa ngumu na pengine Kuna mianya ya rushwa. Binafsi nakubaliana na huu...
  17. Haya yanayotokea sasa ni Marudio yalishatokea. "NITAUFANYA MGUMU MOYO WA FARAO ....."

    Hivi hawa Chadema kusema uchaguzi usifanyike hadi Reforms zifanyike ili uwe uchaguzi wa HAKI NA HURU ni kosa? Sasa ona masahibu wanayopitia. Viongozi wao wanatekwa,kuuawa, kushambuliwa, sasa hivi wanazuiwa kusafiri, chama kinyimwa ruzuku, chama kimewekewa zuio haramu kufanya kazi, na kubwa...
  18. Haya hapa Mambo Ambayo yanaweza kuharibu maisha Yako yote na jinsi ya kuyaepuka

    Katika maisha yetu, Kuna mambo ambayo yakikutokea either kwa kupenda au kutopenda basi tambua maisha Yako yote yanakwenda kuwa ya shida, hata kama sio shida basi tambua utakuwa mtu wa msongo wa mawazo maisha Yote. Yafuatayo ni mambo hayo na namna ya kuyaepuka. 01.Ulevi wowote...
  19. Ukisikia haya majina yanatajwa nini hukujia akilini kwa haraka?

    1. Shirima 2. Chacha 3. Mwakipesile 4. Rweyemamu 5. Masanja 6. Mwashambwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…