Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda wa Tawi la CBT wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Amiri Ali, ameitaka Serikali kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaohamasisha na kushiriki vitendo vya uvunjifu wa amani kama sehemu ya kuimarisha amani na utulivu nchini.
Ali ameeleza hayo leo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padri Charles Kitima, kuhusu tukio la uvamizi alilodai lilihusisha kuzimwa kwa umeme na Shirika hilo...
Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo.
Wanahoji je nchi haina jeshi, inamaana jeshi lililo uwa watanzania ni hili hili la Tanzania, kwenye baadhi ya mijadala watu wanasema jeshi lilikuwa lockdown, na kulikuwa na...
Naomba hatua za haraka zichukuliwe kuokoa nchi kama kuwamaliza wauaji na wahuni(wanajulikana na kuleta haki na siasa safi.
Mi ninavyojuaga existence ya nchi inalindwa hata kwa kuwatoa wahuni uhai kwa sababu existence ya nchi siyo jambo la mzaha.
Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!.
Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
Walianza zamani kumuondolea Uhuru Mtanzania.
Pale Mnazi Mmoja, alama ya uhuru wa Tanganyika, wakaweka uzio. Hakuna mtu kuingia au kutoka. Labda vile vyuo vya India na China ndiyo vinaruhusiwa kupatumia. Hadi Watanzania wamepasahau na umuhimu wa sehemu ile. Hili ndiyo lilikuwa lengo ili msije...
Nafurahia marehemu anavohangaika kuingia kaburini watu wamfukie. imebaki tu kufukia maana kama kufa kashakufa na kuaga tushaaga na sasa ndo tupo makaburini muda huu
Hatuondoki makaburini mpaka na mimi nihakikishe nimetupia chepe langu moja
Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO
Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima.
Tunapozungumzia uzazi, hatuzungumzii tu tukio la maisha, bali tunazungumzia mwanzo wa kizazi kipya mwanzo wa matumaini...
Kama Taifa tumefikia hatua mbaya ni Kama vile hatuna kiongozi kwa huyo kila mtu anajikuta kambale wanaongea chochote wanachojisikia.
Hawa wanajiita waadhiri wa kiislamu kwa kweli kauli walizotoa si za kiungwana zinahamasisha machafuko ya kidini na mgawanyo wa kijamii lakini hakuna hatua...
Katibu wa NEC, itikadi, uenezi na mafunzo Kenani Kihongosi akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025 katika Makao Makuu ya CCM Dodoma amesema kuwa Chama hicho hakitasita kuwachukulia hatua viongozi watakaokuwa na tamaa za rushwa na itasimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM Uchaguzi...
Akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025 Kenani Kihongosi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo amewataka wanahabari kufikisha ujumbe kwa watanzania kuwa Chama hicho kimejipanga kikamilifu kuwabana viongozi wote wa serikali...
Wakuu,
Naona ITV wameona hii ndo habari muhimu zaidi, tena wameweza kupata uhuru wa vyombo vya habari kwenda mtaani kuhoji watu kuhusu hotuba ya Samia ya kutaka maridhiano, lakini walishindwa kuripoti habari kuhusu mauaji kama walivyofanya BBC, kwao habari muhimu ni pongezi
-----------
Baadhi...
Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyochapishwa Julai 2025 inaonyesha kuwa idadi ya watumiaji wa intaneti nchini imefikia milioni 54 kufikia robo ya nne ya Mwaka wa Fedha 2024/2025, hilo ni ongezeko kubwa kutoka milioni 29, Mwaka 2020.
Katika kipindi cha miaka minne hiyo...
https://github.com/mhogomchungu/media-downloader
Siku ya jana nilikuwa natafuta software nzuri ya kushusha videos
Baada ya kutafuta hapa na pale nikakuta kwenye majukwaa ya eknolojia ya kimataifa watu wanaishauri Media Downloader
Niliishusha na kuitumia, ni software nzuri ambayo inaweza...
Nilidhani Mafwele atatolewa kafara kama kuwahadaa watanzania na waandamanaji wanaomuona Mafwele kama muuaji hata kwa kumuweka ubalozini au chini ya kapeti.
Na madelu licha kuchomewa mabasi yake kuashiria watanzania hawamtaki atarudishwa.
Bila kusahau Samia ataendelea kupiga picha na Angela...
Ikitokea vita na magaidi hatuwasaidia, hatutawatibu, hatutatoa damu zetu, hatutawapa maji ya kunywa wala chakula.
Sasa hii ndio hatua tupo, na siku kadhaa mtasikia matukio kama ya MKIRU mengi kuliko mlivowahi