hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tuseme ndio umeenda lodge na mchepuko wako ghafla ukakutana na mwanandoa mwenzako nae pia ana mtu wake. Je utachukua hatua gani?

    Karibu wakuu, both ME na KE.
  2. JamiiForums Tanzania Hatua za kufa au kufariki

    Hatua za kufa au kufariki Kila kiumbe kitakufa. Mwanadamu naye atakufa. Kila kiumbe kina hatua yake ya mwisho na ndipo kinafikia kukufa. Hakuna dawa ya kutokufa. Ila zipo njia za kupunguza kufa mapema. Kupiga kelele sana kunakafanya uzeeke mapema na kufa mapema. Kushangilia sana kunakufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Hatua Alizofuata Mr.Juma Kuanzisha Na Kukuza Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja

    Utangulizi. Jina langu ni Juma, na nimejikita katika biashara ya kununua, kuendeleza, na kuuza viwanja. Safari yangu ya kibiashara inaanza miaka michache iliyopita, wakati nilipogundua fursa kubwa katika sekta ya ardhi. Mara ya kwanza nilipokuwa natafuta njia ya kujiongezea kipato, nilikumbana...
  4. JamiiForums Tanzania Kiwanja hatua 15x15 kinatosha nyumba ya vyumba vitatu na sebule na choo?

    Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
  5. JamiiForums Tanzania Siungi mkono haya mambo yanayomfanya na Manabii, Waziri wa mambo ya ndani chukua hatua.

    WAKUU Tusifanye masikhara huu mchezo unaofanyika pale Kawe na kule Kimara Temboni, haufai na hauna ustawi kwa afya ya Taifa letu. Na huwa ni nashangaa sana @Wizara Mambo ya ndani, wanalea na kutetea huu ujuha kwenye Taifa linalohitaji jitihada za ziada kujikwamua ili Wananchi wake waweze...
  6. JamiiForums Tanzania Wale wanaopenda nyumba simple lakini classic tukutane hapa

    HII NYUMBA TULIDESIGN WENYEWE JAPO MTEJA ALIANZA UJENZI NA MTU MWINGINE THEN SISI TUKAANZA KUREKEBISHA 1. TULIREKEBISHA MSINGI MAANA ULIKUWA MFUPI SANA NA MKANDA ULIKUWA MDOGO MNO (REJ PICHA NO 1) PIA TULIONGEZA UKUBWA WA CLOSET YA MASTER NA CHOO MAANA ALIVIRUKA 2. TUKAANZA KUINUA UKUTA...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ni Wakati wa Watanzania kuchukua hatua

    Watanzania tunapopatwa na changamoto fulani, wengi wetu huishia kulalamika tu, badala ya kuchukua hatua. Hali hii imefanya watesi wetu kuzidi kutuonea Kwa sababu hata wao wanajua Kuwa hatutochukua hatua yoyote ile zaidi ya kuishia kulalamika. Jambo hili hupelekea kutokuwajibika. Na kadri mtazamo...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa Apongeza Hatua za Ufutaji wa Leseni na Maombi ya Leseni Yasiyo na Sifa

    WAZIRI MKUU MAJALIWA APONGEZA HATUA ZA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YA LESENI YASIYO NA SIFA -Aagiza maeneo hayo kupewa wachimbaji wadogo na wawekezaji walio tayari -Ampongeza Waziri Mavunde kusimamia zoezi la ufutaji Leseni -Aagiza TAMISEMI na MADINI kukaa kutatua ongezeko la tozo za...
  9. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024

    Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024 Juni 29, 2024 Switzerland Vs Italia (1:00 Usiku) Germany Vs Denmark (4:00 Usiku) Juni 30, 2024 England Vs Slovakia (1:00 Usiku) Uhispania Vs Georgia (4:00 Usiku) Julai 1, 2024 Ufaransa Vs Belgium (1:00 Usiku) Ureno Vs Slovenia (4:00 Usiku) Julai 2...
  10. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dunia inapoeleka na matumizi ya mitandao Tanzania ichukue hatua ni muda sasa kuwa na tume ya kudhibiti uhalifu mitandaoni

    Matumizi ya mitandao ya kijamii sasa yanaongezeka kwa kasi Duniani na kufanya kila mtu kuwa rahisi kuwasilina na kujua vitu vinavyoendelea Duniani. Takwimu zinaonesha kuwa watu bilioni 4.7 kote ulimwenguni wanatumia mitandao ya kijamii ambapo ni sawa na asilimia 59 ya watumiaji. Kwa mujibu wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ichukue hatua haraka, miili inaokotwa mara kwa mara Pori la Vijibweni-Kigamboni, pia kuna matukio ya ubakaji

    Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili ya watu. Siku za hivi karibuni miili zaidi ya mitatu imekutwa kwenye eneo hilo kwa nyakati tofauti...
  12. JamiiForums Tanzania “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge." Sehemu ya nukuu ya Professor Assad

    “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge. Bunge linatakiwa lisimamie na kuhakikisha kwamba pale penye matatizo, linahakikisha kuwa hatua zinachukuliwa. Sasa, sisi kazi yetu ni kutoa ripoti tu,” Professor Assad aliyekuwa kuwa CAG Wakati...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Hatua gani zichukuliwe kwa ubadhirifu unaobainishwa kwenye ripoti ya CAG ili kuchochea uwajibikaji?

    Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza Serikali ama Taasisi mbalimbali katika jamii zetu. Je, nini kifanyike ili kuchochea Uwajibikaji dhidi...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA msiiiweke Tanzania majaribuni kwa hili la CHOPA isiyo na leseni; Mamlaka chukueni hatua

    https://x.com/i/status/1804579043171299343
  15. JamiiForums Tanzania Ili TAIFA letu lipige hatua kimaendeleo, tunahitaji ku-focus kwenye mambo machache na kuyapa kipaumbele zaidi.

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo. Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
  16. JamiiForums Tanzania Ili TAIFA letu lipige hatua kimaendeleo, tunahitaji ku-focus kwenye mambo machache na kuyapa kipaumbele zaidi.

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo. Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
  17. JamiiForums Tanzania Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

    Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit. Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ujerumani yaifunga Hungary 2-0 na kufuzu hatua ya 16 bora

    Mabao ya Jamal Musiala dakika ya 22 na Ilkay Gundogan dakika ya 67 yametosha kuipa alama 3 Ujerumani mbele ya Hungary kwa mabao 2-0. Ujerumani imefikisha alama 6 baada ya michezo miwili na imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 bora.
  19. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuelekea Taifa Bora: Hatua za Kuokoa Maadili kwa Vijana wa Tanzania

    Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana ni tatizo linalozidi kuongezeka duniani kote, na Tanzania haijaachwa nyuma. Hali hii inaweza kudhoofisha maendeleo ya taifa kwa kuathiri tabia, maadili, na utulivu wa kijamii. Ili kuepuka athari hizi mbaya na kuhakikisha taifa bora kwa miaka ijayo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ya JMT inatakiwa kuchukuwa hatua madhubuti katka kusimamia rasilimali za taifa hasa kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu ambao ndio msingi

    Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya tekinolojia katika kutelekeza miradi mbalimbali na kuchagiza ubunifu wa ndani uliosambamba na matakwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…