hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, acheni kulia lia. Chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma

    Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma. Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini? Baada ya kulia mmepata faida gani? Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hatua gani napaswa kufuata ili nimiliki muhuri wa Architect?

    Nahitaji kuwa na muhuri wa Architect ambao naumiliki mimi mwenyewe ni hatua zipi nifuate ili niweze kupata Muhuri wa Archotct?
  3. JamiiForums Tanzania Hatua kali zichukuliwe kwa watoa Mikopo wa mtandaoni kama SWIFT FUND LOAN

    Nimesikitishwa na taarifa niliyopewa na jamaa mmoja aliyekopa kwenye hizi application zinazotoa mikopo kama hawa SWIFT FUND LOAN huenda hawana nidhamu, pia wanao waajiri ni vijana wasiojua namna ya ku handle wateja wao. Jamaa anasema walimdai kwa matusi siku 2 kabla ya deadline ya kulipa mkopo...
  4. JamiiForums Tanzania Napambana sana niwatoe hatua moja ndugu zangu

    Watoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu. Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa kiume aliyetoka simuoni akipush hata kwa kidogo wenzake. Mimi ndo wakike pekee na ninataka ndugu kaka...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Iran yapinga vikali hatua ya Marekani kupeleka ndege hatari za B-52 kwani kinatishia hali ya utulivu na amani mashariki ya kati

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo. "Siku zote tumekuwa tukiamini kuwa uwepo wa Marekani katika eneo hilo ni uwepo wa kudhoofisha utulivu," Baghaei...
  6. JamiiForums Tanzania Dharau za wafanyakazi wa Tanesco dhidi ya wananchi, Waziri husika chukua hatua.

    Wakazi wa moja ya mitaa Mbagala Rangitatu hawana umeme tangu jana asubuhi mpaka muda huu ninapoandika hii Post. Wakazi hawa wapo mita mia tano toka ofisi ya Tanesco Mbagala na mita miambili toka Sub Station ya Mbagala, hata hivyo walishinda na walilala bila umeme kwa zaidi ya saa ishirini na nne...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CCM moshi mjini chukueni hatua dhidi ya kada wenu Ibraline

    Jumanne wiki hii ndani ya ofisi za chama cha mapinduzi(ccm) moshi mjini,kulitokea tukio ambalo siyo la kistaarabu pale kada wa chama hicho,Ibrahim Shayo a.k.a Ibraline alipomporomoshea matusi makali mstahiki meya wa manispaa ya moshi,Zuberi Kidumo. Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni hatua ipi ulifikia ya madhara hadi ikawa hamasa yako kuachana na uraibu au mazoea potevu uliyokuwa nayo??

    Nilikuaga mpenzi sana wa soda aina ya coca cola iliyo ya baridi sana. Ilikuwa siku ikiisha bila kupiga coca najiona mtupu. Matter of fact ingebidi nipatiwe tuzo ya mnywaji bora coz nilikuwa nakunywa kila siku. Hadi hapo siku moja nilianza kuhisi meno yangu ya mbele kuanza kuuma pale...
  9. JamiiForums Tanzania Matumizi Ya Google Earth App Kwenye Biashara ya Viwanja na Mashamba Tanzania na hatua za kuitumia

    Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi. Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
  10. JamiiForums Tanzania Huenda waafrika wengi hawakufikia hatua ya kuitwa homo sapiens

    Wakuu habari za muda huu. Natumaini wote ni wazima. Leo nimejaribu kupita Facebook ukurasa wa JamiiForums nikakutana na habari ya inayo lihusu taifa la BurkinaFaso kufuta baadhi ya leseni za uchimbaji madini kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na kuanza kuchimba wenyewe "Tunajua jinsi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

    Marjayoun- Lebanon. Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90 Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua...
  12. JamiiForums Tanzania Hatua Muhimu za Kufanikiwa Kiuchumi katika Maisha zifuate

    Hatua Muhimu za Kufanikiwa Kiuchumi katika Maisha Kufanikiwa kiuchumi kunahitaji mchanganyiko wa mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mipango, ujuzi, na mtazamo sahihi. Hapa kuna baadhi ya hatua muhimu ambazo unaweza kuchukua: ### 1. Elimu na Ujuzi: Elimu ya juu: Ingawa si lazima kwa kila...
  13. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Elia Mpanzu kuanza kucheza hatua za Makundi inategemea na kufunguliwa kwa dirisha la usajili na ratiba ya kuanza makundi

    Kuna hili suala la Kuwa Mpanzu amesajaliwa Simba tayari japo bado haijaw wazi ila jambo linalonipa utata ni tarifa z kuwa atacheza kuanzia hatua ya makundi kwa kuwa dirisha dogo litakuwa limeshafunguliwa huku wengine wakisema haruhusiwi kucheza hatua ya makundi. Msaada wenu wakuu mtupe ukweli wake
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini TTCL Haitoi Hatua Dhidi ya Namba za Simu Zinazoripotiwa kwa Utapeli?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu kuhusu namba za simu zinazofanya utapeli mitandaoni, hasa kwa njia ya kuomba kutumiwa pesa kwenye namba nyingine. Mara nyingi, namba zinazohusika na utapeli huo ni za TTCL. Watu wengi wamekuwa wakitoa taarifa kwa kutuma namba husika kwenda 15040, ambayo ni...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ally's Bus mchukulieni hatua huyu mbeba mizigo yenu pale Shekilango

    Wadau za Jumapili? Jana nikiwa na ndugu yangu tulipeleka mzigo pale Shekilango kwenye ofisi za Bus la Ally's. Kulitokea sitofahamu kati ya mbeba mizigo mmoja na abiria ambaye na yeye alipeleka mzigo. Kilichonisikitisha, ni mzozo wao kusimamiwa na matusi kutoka kwa mbeba mizigo huyo kwenda kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya utumbo wa kuku Dar inahatarisha Afya za Walaji, Mamlaka chukueni hatua

    Katika Jiji la Dar es Salaam ambalo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi wapo wakazi zaidi ya Milioni sita, shughuli mbalimbali za kibiashara zimekuwa zikifanyika kama sehemu ya Watu kujipatia kipato. Hata hivyo, miongoni mwa biashara ambazo zimekuwa zikifanyika nyingine uibua wasiwasi na...
  17. JamiiForums Tanzania Utasa wazidi kuwa tishio chukua hatua hizi

    Utasa ni hali ya wenza wawili wanapokutana kimwili kwa zaidi ya mwaka mmoja bila kushika ujauzito kwa mwanamke Leo ningependa niongelee utasa kwa mwanamke Mwanamke katika jamii nyingi ndio huonekana tatizo endapo mimba isipotungwa, kiutafiti aslimia kubwa zaidi utasa katika wenza hutokana na...
  18. JamiiForums Tanzania Utekaji unavyofanyika hatua kwa hatua

    Utawala wowote dhalimu unaoelekea ukingoni huwa kama mbogo aliyejerujiwa.. Hufanya mambo ya kikatili na ya kutisha sana ikiwemo Kuteka wapinzani wake Kuwatesa Kuwajeruhi Kuwatia ulemavu Kuwaua Kuwapoteza wasipatikane popote tena.. Hofu kubwa ikiwa ni kama watapoteza udhibiti basi wanajua wazi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo

    Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta. Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
  20. JamiiForums Tanzania TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…