hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  2. JamiiForums Tanzania Tathmini ya wapinzani watatu watarajiwa wa Simba hatua ya robo fainali CAF Shirikisho

    Katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya CAF Shirikisho, Simba enaenda kukutana na timu mojawapo kati ya hizi tatu, Stellenbosch ya Afrika Kusini, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Al Masry ya Misri. Hii ni tathmini yangu fupi ya timu hizi tatu na aina ya upinzani ambao Simba iutegemee. AL...
  3. JamiiForums Tanzania Vipigo vikubwa vya Mbwa Mwizi katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika tangu 1998-2025

    Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya: Mwaka 2019: • TP Mazembe 8-0 Club Africain Mwaka 2023: •...
  4. JamiiForums Tanzania TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
  5. JamiiForums Tanzania Mali waiga hatua za Magufuli VS Barrick

    https://www.reuters.com/markets/commodities/barrick-faces-fresh-restrictions-mali-signals-temporary-suspension-coming-weeks-2025-01-06/
  6. JamiiForums Tanzania Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

    Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi. Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa Sungura kwaajili kupata mboga kwa matumizi ya nyumbani na pale patakapokuwa na Sungura wa ziada, basi...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,msikilize Mkuu wa Mkoa wa Tabora! Chukua hatua Jimbo la Moshi Mjini Kuna shida mahali!

    Sitaongea mengi! Huu ni mwaka mpya! Sikiliza
  9. JamiiForums Tanzania TANESCO wanakulipisha hadi taka za nishati ya nguvu ya umeme.....chukua hatua!

    Ukiwa unatumia vifaa vya umeme, haijalishi kama umeme unaotumia unaenda katika uzalishaji halisi au upotevu—vyote utavilipia. Hii ina maana kwamba Tanesco (kihalali) wanakulipisha: 1. Nguvu iliyotumika kukamilisha upatikanaji wa huduma yako, iwe mwanga, joto, kuwasha TV, n.k. 2. Nguvu...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli tunapiga hatua kiuchumi au tunadanganyana tu?

    Hadi sasa hivi vijiti vya kuchokonolea meno (toothpik) vinatoka China na maeneo mengine ya huko Asia, sisi hatujaweza kuvitengeneza hapa licha ya kuwa na malighafi tele ya kutuwezesha kutengeneza vitu kama ivo yani kwa ufupi hivi vitu vya kuhitaji teknolojia rahisi kama ivo vijiti, masinki ya...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Unapodai risiti dukani na kupewa yenye kiasi pungufu kuliko hela uliyolipa unachukua hatua gani ?

    Dukani unaambiwa bidhaa ni kiasi flani na unalipia unawakumbusha risiti, wanakutolea yenye kiasi pungufu
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kurudi kijijini kila mwaka hujapiga hatua, Ni lazima utarudi mjini na hasira ya kuzisaka noti, kwenye ukoo unadharaulika kama huna pesa

    Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!! Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali, kutambulisha wanafamilia wapya, n.k. Na ole wako ukose sasa kwenda kijijini, kelele zinaanza...
  13. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naishauri CHADEMA imchukulie Lissu hatua kali sana za kinidhamu na kumpa onyo kali kwa kukichafua Chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda. Tena kama kwenye chama changu...
  14. JamiiForums Tanzania Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

    Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa. Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
  15. JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  16. JamiiForums Tanzania Shemeji mwizi & Mzinzi, anayependwa sana na mumewe. Je, ukigundua anataka kumtoroka ndugu yako, utachukua hatua gani?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa) Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kiongozi yeyote anayedhani bila yeye chama hakiwezi kupiga hatua huyo hafai kabisa

    Kama wewe ni kiongozi katika chama cha siasa au taasisi yoyote kubwa na chini yako kuna wafanyakazi wengi kufikifi kuwa bila wewe kampuni au chama kitakufa basi wewe ndio utakuwa tatizo katika hiyo taasisi. Kiongozi mzuri ni yule anayeandaa watu kuwa viongozi anajua kuna kufa, kuugua...
  18. JamiiForums Tanzania Mwaka Usiishie Bila Kuanza Ujenzi Japo Hatua Moja - Vijumba vya Tofali na Bati Chache

    Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi) Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia, atekwe nani ndo uchukue hatua?

    Ulipoongea na waandshi wa Habari ulisema hizi ni Drama tu na kifo ni kitu cha kawaida. Ni kweli kifo ni kitu cha kawaida sana kama hayajakukuta. Swali langu kwako mama ni hili," Ni nani atekwe au apotee ndo uchukue hatua nzito kama mkuu wa nchi"?. Kama vyombo vya Dola ndani ya nchi vimeshindwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hatua ya msingi imeisha naomba tathimini

    Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 . Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz , Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili ni master) jiko na sehemu ndogo ya kula Lengo mwakn natak niwe na 10m. Ya pamoja vp itawez...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…