hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Marekani Yasikitishwa Na Ukandamizaji Wa Tanzania Dhidi Ya Wanaharakati Wa Kimataifa, Yazitaka Nchi Zote Za Ukanda Kuchukua Hatua Dhidi Ya Tanzania

    Marekani kupitia ukurasa wake wa Mahusiano ya mahusiano ya Nchi za Afrika pale kwenye mtandao wa X ameripoti kusikitishwa na matendo ya Tanzania ya kutowatendea vyema wanaharakati wawili wa Kiafrika kutoka Uganda na Kenya. Na wameitisha Nchi za Ukanda huu wa Afrika Mashariki kuchukua hatua zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Mungu awabariki Wazungu wanatusaid8a sana kupamabana na hawa wakoloni weusi. Ukion hii ujue ni trela move kamili inaandaliwq,
  3. JamiiForums Tanzania Wenye ndoa yenye watoto tu: Je mwanao alishawakuta kimakosa mkiwa faragha? Ulichukua hatua gani?

    Kwanza kataa ndoa nisiwaone huku, hii mada ni kwa wale tulowah kuishi maisha ya ndoa na familia yenye watoto. Je mwanao au wanao walishawakuta mpo faragha kimakosa? Je ulichukua hatua gani ili kuondoa mental au psychological damage kwa mtoto? Hii mara nyingi hutokea pale wazazi wakiwa na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Video: Hatua kwa hatua jinsi Bastola "Mguu wa kuku" inavyotengenezwa

  5. JamiiForums Tanzania Al masry hawakufungwa kisa kukosa ubora bali ubovu wa pitch, CAF ichukue hatua zaidi

    Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja...
  6. JamiiForums Tanzania Hatua 5 Rahisi za Kuanzisha Blog Yako ya Kwanza.

    Katika dunia ya kidijitali ya leo, kila mtu ana nafasi ya kusikika. Ikiwa una mawazo mazuri, habari, elimu au kipaji cha kipekee – blog inaweza kuwa njia bora ya kufikisha ujumbe wako kwa ulimwengu. Hapa chini tunakupa hatua 5 rahisi za kuanzisha blog yako ya kwanza bila presha. 1. Amua Unataka...
  7. JamiiForums Tanzania Imefikia hatua, wadada wanaheshimu na kuthamini i phone, kuliko wanavyoheshimu na kuthamini sehemu zao za Siri hii ni aibu

    Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote.. Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu Acheni, ni mbaya
  8. JamiiForums Tanzania TASHICO: Maboresho ya Meli ya New MV Victoria yapo hatua za mwisho, tutatoa tamko hivi karibuni

    Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) imesema kuwa inatarajia kutoa taarifa na tarehe rasmi ya kurejea katika safari zake za kawaida kwa Meli ya New Victoria 'HKT' ambayo imekuwa katika matengenezo tangu Machi 4, 2025 na yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni. Mei 11, 2025 Mwanachama wa...
  9. JamiiForums Tanzania Wanakuonea sana kwa upole ulio nao au mwanao nimpole sana imefikia hatua anaonewa na kila mtoto mtaani!

    ASILI ni mafumbo. Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi. Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea! Usijari solution yake ni! (KIKUNTI) Wale watu wa kigoma wanaelewa vizuri sana hii nizaidi ya kupigana nawatu10 nawote waamue kukimbia sana baada ya kutambua kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kufata ili namba ya NIDA iliyofungiwa iwe accessible tena.

    Je kwa zile namba ambazo Bashungwa amezizuia kutokana na kutochukua vitambulisho ni Nini Cha kufanya ili ziwe active tena.
  11. JamiiForums Tanzania Balozi umoja wa Ulaya (EU) aitwe kuhojiwa ikibidi achukuliwe hatua

    1. Kwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu. 2. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana (kutuvurugia sherehe baada ya ushindi mnono). Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya! Bcc: Nay...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Kindamba: Mwendokasi iligeuka Mwendohasira, hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili. Aidha, amesema basi jipya la majaribio linalotumia gesi asilia litakalobeba abiria 155 litaanza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Usidharau hatua zako ndogo bali ziunganishe kwa nidhamu ili upate umbali mrefu

    Kama wasemavyo maisha ni hatua ndivyo ilivyo japo inahitaji nidhamu na subira ya juu sana kuunganisha hizo hatua ili upate umbali mrefu. Ukimuona mtu yupo mbali kwenye jambo fulani kuna uwezekano mkubwa alianza na hatua ndogo ndogo ambapo zikiwekwa pamoja ndio huo umbali alionao sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo hao waliokudanganya issue ya Wachina Kariakoo nani, na wamechukuliwa hatua gani?

    Nianze kumpongeza Waziri Jafo kwa kwenda Kariakoo na kukuta wachina bado wanafanya kazi za wazawa Wako waliokutwa hawana hata vibali vya kuishi vya kazi, Mh. Jafo akasema alikutana na watu walioteuliwa kuhakikisha kazi za wazawa hazifanywi na wachina Na wanaouza jumla kwa wazawa wawe na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Namna ya kujilinda, hatupo salama, chukua hatua hizi

    NAMNA YA KUJILINDA- HATUPO SALAMA. NAMNA YA KUJILINDA HATUPO SALAMA .1.Usipende kuwasha location ya simu yako kila mara. 2.Usipende kutembea mwenyewe nyakati za usiku. 3.Hakikisha kabla hujalala kuna mtu umempa taarifa au umemtakia usiku mwema na amejua upo wapi. 4.Wakija watu kukukamata...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi kamateni Faris Burhan Mwenyekiti UVCCM Kagera kufuatia kutekwa kwa Mdude

    Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute. Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
  17. JamiiForums Tanzania Makamu Rais Dkt Mpango: Waliohusika Na Shambilio Dhidi Ya Padri Kitima Wachukuliwe Hatua.

    https://www.instagram.com/reel/DJO2fzEC2Om/?igsh=MXM2cW1zd3Q2NDBqNw==
  18. JamiiForums Tanzania Video: Rudia kusikiliza maneno yaliyomtia matatani Lissu; Serikali ilichukua hatua mwafaka

    Yeye mwenyewe Tundu anasema anataka nafasi fulani, hataipata kwa sheria hii ya uchaguzi. Inabidi aanzishe uasi na walio tayari. Anaendelea kusema akianzisha uasi atakinukusha, uchaguzi hautafanyika. Atakamatwa, atashtakiwa kwa uhaini....
  19. JamiiForums Tanzania Tuna mchukia Magufuli lakini tusifikie hatua ya kuwa na upofu. Kwa hili ni mfano bora

    Kuna watu huwa wanachuki. Mtu atakuchukia hata ukitembea juu ya maji atalalamika unamtimulia vumbi. Hiyo ndo chuki ya watanzania. Jesca Magufuli alianza kusoma UDOM, almaarufu kama CHUO CHA KATA, baba yake akiwa Waziri aliyehudumu kwenye Wizara kibao. Akaendelea kusoma UDOM, CHUO CHA KATA...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Kiruswa: Sekta ya Madini imepiga hatua, naipongeza Tume ya Madini ukusanyaji maduhuli

    NAIBU Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Sekta ya Madini imepiga hatua kubwa. Dkt. Kiruswa ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 wakati akifunga Kikao cha Manejimenti ya Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma. Amesema, kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…