hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wanawake wadangaji hatari sana. Unakunywa bia ya 1500 yeye anaagiza St Anna bila hata aibu

    Yaani hayana hata aibu. Kisa tu umeliita mahala njoo ili upate kilaji alafu nikupige mashine. Linaaagiza wine wakati lina njaa na matatizo lukuki.
  2. M

    Kati ya Fiston Mayele na Moses Phiri nani mtu hatari zaidi katika suala la kufunga?

    Habari, kama thread inavyosema, hivi kati ya Mayele mfalme wa Jangwani na Phiri mfalme wa Msimbazi, nani ni mtu hatari zaidi bila ushabiki.
  3. Je, ni vitu gani ambavyo umezoea na unajua kuwa ni hatari kwa afya yako?

    Ni dhahiri kuwa kuna vitu vingi ambavyo watu wengi huwa tunapenda kuvipuuzia lakina ki_uhalisia ni vitu vyenye kuleta athari kubwa katika afya zetu. Baadhi ya vitu hivyo ni kama vile: Kukata matunda, na kuyaacha kwa muda fulani. Nadhani umewahi kukutana na sehemu ambazo wanauza matunda yakiwa...
  4. Kati ya Nyegere(Honey badger) na Fisi-maji(Otter) nani hatari?

    Nyegere. Fisi-maji
  5. Kumbuka; Viumbe hatari hupenda kujificha

    KUMBUKA; VIUMBE HATARI HUPENDA KUJIFICHA. Anaandika, Robert Heriel. Moja ya sifa kuu ya kiumbe hatari ni kupendelea kujificha, kukaa mafichoni, kukaa chobingo. Hawapendi kujianika Anika hovyo, kujidhihirisha hovyo. Kwanza weka akilini kuwa Kiumbe hatari hujijua kuwa yeye ni hatari, tena...
  6. D

    Polisi Kanda ya Ziwa tuondoleeni hatari hii barabarani madereva nyakati za usiku

    Habari wadau Maeneo ya Igunga, nzega, tabora, tinde, shinyanga, mizungwi, geita, chato, masumbwe, Isaka,kahama, ushirombo n.k Ikiwa hujawahi tembea maeneo hayo usiku ni vigumu sana kuelewa hatari ya trekta mbovu, tela za punda na ng'ombe zinazotumika usiku kucha! Maeneo hayo kuna treka za...
  7. Vinywaji aina Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!

    Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara! Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji. Lakini...
  8. Pikipiki isiyo na vioo vya pembeni ni hatari

    Hebu tuacheni kusingizia Mungu kwa ajali tunazo jitakia! Hivi mjini kati magari yamejaa, mtu unapanda pikipiki haina Vioo vya pembeni maarufu kama said Mira (Side Mirrow) unategemea nini? Vile vioo kazi yake nikuonesha gari Linalokuja nyuma hivyo bila hivyo vioo, Pikipiki huweza kuingia...
  9. Kwa sasa MIMBA ni hatari kuliko DHAMBI

    Ulimwengu wetu uko kasi sana, ukiangalia tulikotoka na tunakoelekea utashuhudia mwenyewe. Kwa sasa kuna matangazo mengi sana ya jinsi ya kutumia uzazi wa mpango na matangazo elimu kwa vijana juu ya njia za kujikinga na kupata mimba. Kwanini elimu hii isitolewe kwa wanandoa? Unamfundisha mtoto...
  10. Je, ni kweli watu wote wanakula kwa jasho? Jinsi watu wasiofanya kazi walivyotokea duniani

    Wamepora mifumo na bidhaa ambazo zilipaswa kusaidia jamii nzima. Wanatamani hata hewa waiwekee haki miliki ili tuwe tunainunua. Makampuni yangefyonza gesi yote ya oksejeni angani na kuimiliki. Watu wasiojiweza wangekufa kwa kukosa pesa ya kununua Oksijeni. Kwenye mambo mengi wameshinda kwa...
  11. Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon. Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile 1) Tiger 2) Simba 3) Leopard, Cheetah (chui) 4) Mamba 5) King cobra, Black mamba nk. 6) Honey badger...
  12. J

    NHIF yasema baadhi ya hospitali huwaandikia wagonjwa wenye bima dawa zisizo sahihi. Hii ni hatari kwa afya, ni sawa na kuwanywesha sumu

    Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mh. Konga amesema taasisi yake imebaini madaktari wanawaandikia wagonjwa dawa zisizo sahihi na huu ni uhujumu uchumi. Konga amesema mtu anapokunywa dawa isiyostahili anakuwa amekunywa sumu hivyo hospital zinazofanya mchezo huu zitashughulikiwa na...
  13. SI KWELI Kondomu za BULL zinapasuka sana

    Kumekuwa na malalamiko ya watu kadhaa kwamba Kondomu za Kampuni ya Bull Zinapasuka sana. Baadhi ya wadau wanaona Kondomu hizo si salama ni laini sana kiasi kwamba hupasuka kirahisi wakati wa tendo la kujamiiana. Ukweli upoje?
  14. Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

    Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23, leo Agosti 7, 2022 wametangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa magoli, Dejan Georgijevic (28) raia wa Serbia kwa mkataba wa miaka miwili akitokea NK...
  15. Nyumba za kulala wageni Dar imekuwa kero sana, wahusika fuatilieni hili ni hatari

    Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta. Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za...
  16. N

    Hatari sana: Manara kesho kupanda kama msanii ataongea kiaina

    Agh, I never saw this coming. THE GREATEST HAJJ MANARA kawapiga watu chenga ya mwaka na atakayejaribu kumgusa itakuwa mwisho wake kushikilia cheo hapo TFF.........KIVIPI Intelejensia ya NJAAKALIHATARI imegundua kwamba kesho atapanda kama msanii wa mziki yaani back vocalist wa msaniii maarufu...
  17. M

    Taiwan iko kwenye hatari ya kuingizwa mkenge ikawa kama mikono na damu itakayotumiwa na Marekani kujaribu kuidhoofisha China Kijeshi na kiuchumi!!

    Marekani iko katika vita ya kiuchumi na kijeshi na China lakini haiko tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani, kama ilivyokuwa kwenye vita ya kiuchumi na kijeshi na Urusi lakini haikuwa tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani. Kama ambavyo Ukraine iliingizwa mkenge ikajikuta katika...
  18. Matumizi ya bangi na hatari ya saratani ya mapafu

    Bangi ni mmea ambao unaotumika kama dawa na burudani, hali ya kisheria ya matumizi ya bangi kimatibabu na matumizi ya burudani yanatofautiana kati ya majimbo. Watu wanaofikiria kununua au kutumia bangi wanapaswa kuangalia kwanza ikiwa ni halali katika jimbo lao. Watu wengi hutumia majani...
  19. Myanmar: Jeshi laongeza Muda wa Hali ya Hatari Hadi 2023

    Kiongozi wa Kijeshi wa Nchi hiyo, Min Aung Hlaing ameongeza muda wa hali ya hatari kwa Miezi 6 baada ya Baraza la Ulinzi na Usalama la Kijeshi kuunga mkono kwa kauli moja huku akisema kukosekana kwa utulivu kwa kumekwamisha juhudi za kutekeleza mpango wa amani Jeshi lilitangaza hali ya hatari...
  20. Bondia Mandonga ni Kanyaboya wa kisasa, historia zao zinafurahisha, wazee wa mikwara ya hatari

    MANDONGA Kwa sasa Nchini Tanzania ukitaja jina la MANDONGA watu wengi wataanza kucheka, hiyo ni kutokana na sifa za bondia huyo ambaye amejizolea umaarufu hivi karibuni hasa mwaka huu 2022. MANDONGA amenikumbusha stori ya mtu anaitwa Felix KANYABOYA ambaye ndiyo huyo aliyesababisha neno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…