hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utawala hatari na wenye nguvu duniani

    Salaam zenu wanaJF, Historia inatufundisha hakuna utawala hatr na wa kutisha kama wa firaun lakini bado watu wake hawakuandamana walisubir mpaka pale muumba wao alipowanusuru Unajua kwasabb gani? 1. Waliamini yupo aliowaumba ipo siku atawanusuru 2. Nguvu yao ndogo hawawezi kupigana na mtawala...
  2. JamiiForums Tanzania Makundi Hatari Zaidi ya Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani

    Baadhi ya makundi hatari zaidi ya wauzaji wa dawa za kulevya duniani yanajulikana kwa uhalifu uliopangwa, ukatili wa hali ya juu, na ushawishi mkubwa wa kimataifa. Makundi haya yanaathiri afya ya umma, usalama, na utawala. Haya ni baadhi ya makundi maarufu zaidi: 1. Sinaloa Cartel (Mexico)...
  3. JamiiForums Tanzania Masikini wa Marekani ni hatari mara bilioni kuliko masikini wa Tanzania

    Ona hawa vijana masikini wawili in their teen ages. Kuna jamaa ana miaka 26 yeye alikua ameajiriwa so akawa anamtaka demu ana miaka 19. Kumbe huyu demu masikini ana boyfriend wake masikini kama yeye wana ukata na hawana hela. So wakapanga kumset up jamaa akutane na huyu demu then boy wa huyu...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi Wanaotumika Kudhulumu Haki Za Watu, Hawapo Kwaajili ya Usalama Wa Watu Bali Ni Watu Hatari Kwa Usalama Wa Wananchi

    Takwimu zote, pamoja na hisia za wananchi ni kuwa polisi wanagandamiza na kudhulumu haki za wananchi. Kauli hii iliwahi kutolewa pia hata na Rais Samia siku za mwanzoni mwa utawala wake, kabla na yeye hajageuka. Polisi wa Tanzania, mahali ambapo watajitokeza kwa uwingi mkubwa na kila aina ya...
  5. JamiiForums Tanzania Qatar ni hatari zaidi kuliko Iran' Inauma na kupuliza ni “Yuda Iskariote”

    'Qatar imekuwa mpatanishi katika migogoro mingi inayotokea huko Mashariki ya kati kati ya Israel na magaidi wa Hamas ni mara nyingi imejulikana katika ubadirishanaji wa mateka waliotekwa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07 ,2023. Kwa upande wa pili Qatar ni mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas ukiondoa...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Hatari Zilizofichika Katika Uchapishaji (Printing): Wasiwasi wa Usalama Katika Maghala ya Uchapishaji Kariakoo

    Katika baadhi ya viwanda na maghala ya uchapishaji yaliyoko Mtaa wa Jangwani, eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, shughuli za uchapishaji zinaendelea katika mazingira yasiyo salama na yasiyozingatia viwango vya usalama kazini. Majengo mengi ya biashara yenye ghorofa yanatumika kwa shughuli...
  7. JamiiForums Tanzania Chatgpt inavyoweza kua Hatari kwa Usalama wako na Taifa..

    Wapenzi wa Movie Kuna movie ya zamani Sana Tom Cruise kijana mdogo inaitwa The Color of money,. Story,Kuna mzee ujana wake alikua fundi Sana wa kucheza Pool table alikua maarufu na ndoto yake aje kua bingwa wa dunia na kutajirika kupitia Pool table,.Ila akazeeka hajafanikisha hayo,so mzee akaja...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

    Narudia Tena: Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania Kama serikali inaweza kusimamia Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..? Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?! Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya...
  9. JamiiForums Tanzania Jonathan Sowah Ndiye Mshambuliaji Hatari Zaidi NBC

    ‎Kwenye hili hakuna hata kupepesa macho kama kwa sasa Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara ‎ ‎Mpaka sasa kama utagawa kwa idadi ya michezo ambazo amecheza na idadi ya magoli ambayo amefunga utaungana na mimi kwa hiki nikisemacho ‎ ‎Mwamba amecheza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watawala, mnajua hatari inayoweza kuja huko mbeleni?

    Popote pale Duniani, uchaguzi ni issue nyeti sana. Lakini kwa Nchi yetu kwa sasa ni kama tumepuuza unyeti wake. Hali hii ikiachwa iendelee hivi, tunakwenda kuliangamiza Taifa hili. Kitendo cha watawala kumkamata Tundu Lissu na kumfungulia mashtaka ambayo kimsingi hayana ukweli wowote kimeongeza...
  11. JamiiForums Tanzania True Story, baadhi ya watu ni hatari sana sana

    Juzi tarehe 10,march, alikuja mtu kituo cha polisi fulani, (tabata) kuripoti suala la mmasai fulani kuwa kero nje ya nyumba yake, basi baada ya kuripoti polisi mmoja alikwenda kuona atatatuaje suala husika, alipofika eneo la tukio, alikwenda moja kwa moja kwa mtuhumiwa na kumuhoji juu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Heche ndo Kaimu Mwenyekiti CHADEMA kwa SASA! Ndo hatari zaidi

    1. Huyu Mkurya ndo Moto pengine kuliko Bryson! 2. Aisee kwann hawa watu hafanyi risk assessment? Heche ni Moto na haogopi pia Hatumii mihemko kama Bry!
  13. JamiiForums Tanzania Aise hawa madogo wa PSG wanapiga mpira, wala hawana striker ila mawinga wao wanazunguka kugawana nafasi tatu za ushambuliaji. Counter pressing hatari!

    Ingawa ligi yao ni ya wakulima ila wanaonesha katika UCL kuwa ni tishio, wakipoteza hii UCL ni uzembe wao.
  14. JamiiForums Tanzania Je ni kweli kahawa inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba

    Habari wakuu Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba . Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tanga mihogo ina kemikali hatari ya sayanaidi inaathiri mishipa ya ufahamu mwilini hasa macho

    Wadau hamjamboni nyote? Wakazi wengi Tanga wameathirika macho yao kutokana na ulaji mkubwa wa mihogo
  16. JamiiForums Tanzania Aina ya wanawake hatari kuwa nao kwenye mahusiano

    1. Mke wa mtu Kuna mstari mwembamba unaotenganisha kifo na mke mtu. Ukiwa nae ujue parapanda inalipa muda wowote 2. Mwanafunzi Hapo tunaita kuguswa mamlaka Jera miaka 30 sio mingi 3 Single mothers Hawa ni wabinafsi na wana visurani kufa Kwa pressure ni jambo la kufikia Wengine...
  17. JamiiForums Tanzania The Numbers Gang 26, 27 and 28: Uliza maswali utajibiwa na wanajua kuhusu makundi haya hatari zaidi duniani.

    Kwa ambao wasio na ABCs za kundi hili... The Numbers Gang ni genge la wahalifu hatari zaidi ndani ya magereza ya South Africa. Chanzo cha kuanza kwake bado hakijafahamika ila kuna stories tofauti tofauti. Hoja yenye mashiko zaidi ni ile ya lilianzishwa kutetea maslahi ya wafanyakazi weusi...
  18. JamiiForums Tanzania MOSHI:chakula cha wanafunzi chasombwa na magari kupelekwa shule,hii ni hatari

    Wazazi wa wanafunzi wanaosoma kwenye shule Moja ya mchepuo wa kiingereza iliyopo ndani ya manispaa ya Moshi (j'ina tunayo)wameingiwa na hofu kutokana na uongozi wa shule hiyo kuanzisha utaratibu wa kupika chakula cha mchana nje ya Shule hiyo na kukisomba kwa kutumia magari kupeleka shuleni hapo...
  19. JamiiForums Tanzania Kilio cha Wananchi: Hatari ya Malori Mazito zaidi ya tani 40 kuingia kati kati ya Mji wa Moshi, Kilimanjaro

    Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa. Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
  20. JamiiForums Tanzania Katika nyakati ambazo Iran anapaswa awe mpole na afiche kichwa chake basi ni wakati huu wa hatari, maana anapitia majaribu makubwa

    Amani kwenu wakuu Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba Atulie hivyo hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…