hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rushwa na mizengwe kwenye chaguzi za CCM ni dhahiri kuwa hata kwa chaguzi kuu CCM hupita kwa rushwa

    Chama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa. Sasa kama Chama tawala kwenye chaguzi zake viongozi wanapatikana kwa rushwa. Vipi kwenye uchaguzi mkuu?
  2. JamiiForums Tanzania Aina ya wanawake wasiotongozeka hata uwe na kila kitu (perfect man)

    Katika uchunguzi wangu kuna kundi la wanawake nimeligundua ni kundi ambalo halitongozeki hata uwe handsome vipi, umjue mungu vipi au uwe gentle kiasi gani. Wanawake hawa ukikutana nao barabarani usijisumbue kuwapata, ni sahau. 1. Mwanamke Anaeenda kukutana kimapenzi na mwenzi wake Ukikutana na...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba usimsahau Elia Wilinasi hata kwenye ukuu wa wilaya

    Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi. Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa hivi hata hamu ya michepuko ama kuongeza mke inapungua, unakuwa umepata pumziko sio majuto

    kwa ufupi nyumbani pakiwa hivi unapa miss sana, unamuwaza mke na watoto na unapata ari ya kuwapigania.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila Mwanaume ana Nyota ( Upepo ) wa Kuwapata tu Wanawake wa Mikoa fulani, ila mingine hata afanyeje huwakosa?

    Mikoa ya Wanawake wenye bahati ( upepo) nao ni wa Mikoa hii tu ifuatayo...... 1. Iringa 2. Ruvuma 3. Tanga Mikoa ambayo Kudadadeki hata nifanyeje iwe kwa Kudanganya ( Sound ) au hata nimaanishe ( niwe Serious ) hata kwa Kutoa / Kutanguliza Pesa siwapati na hata ikitokea nimewapata siusikii...
  6. JamiiForums Tanzania Spika Tulia aitaka Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kuwalipa wastaafu hata kama waajiri hawajapeleka michango

    Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Pia ameitaka Mifuko kufatilia fedha kwa waajiri kwasababu sio wajibu wa mfanyakazi kujua michango imepelekewa au haijapelekwa...
  7. JamiiForums Tanzania Sikubaliani hata kidogo na utovu wa nidhani wa Bernard Morrison, lakini kuna hoja za msingi ni lazima zijibiwe na TFF.

    3ANAANDIKA Mchao Tv KWA MFANO TU Mechi ya Azam dhidi ya Yanga ilipigwa Septemba 6, 2022 (zaidi ya wiki mbili zilizopita, ni siku 16 zilizopita) ambapo mchezaji wa Yanga Bernard Morrison alifanya utovu wa nidhamu kwa kumkanyaga Lusajo Mwaikenda wa Azam kwa makusudi. Kwa mfano Bodi ya Ligi...
  8. JamiiForums Tanzania Wenye Akili tuliandika mno Kupinga Ujenzi wa hovyo wa 'Fremu Lugalo' tukapuuzwa, sasa hata Mama nae Boss wao 'wamekerwa' nao

    Endeleeni tu Kupuuza Maandiko yetu hapa JamiiForums na Kuupuza huu Mtandao ila kama kuna Mtandao nyie mlioko Serikalini na huko sehemu Nyeti za Umedani (JWTZ) na Unjaguni (TISS) mnatakiwa muwe mnauheshimu na Kuufuatilia ili kuwa Bora katika Utendaji wenu basi ni huu wa JamiiForums. GENTAMYCINE...
  9. JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Mijitu inawaza tozo ili ilipwe posho tu

    Dah 👇 Huwa nasisitiza mara zote kuwa tunahitaji #KatibaMpya hata kwa njia za mkato, fikiria hili jitu linafananisha tozo za nchi maskini Tz na Ulaya. Halitaki kufananisha demokrasia Tz na Ulaya lenyewe linawaza tozo tu ili lilipwe posho. Kwanza linapotosha Ulaya ni Kodi tu hakuna tozo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

    Habari wadau !!! Leo nimeachana rasmi na msichana niliedumu nae kwa miaka mitatu ni mlokole na ameishika din kweli kweli yaan ni kila siku jpili ni lazima aende church na siku za kati ya wiki anaenda mkesha misa za usiku mapenzi yetu yalitawaliwa na utata mwing mno km kudo ilikuwa ngumu sn na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Usimwamin mwanamke wko hata kama ameishika dini maumivu niliopata leo sitayasahau kamwe

    habar wadau !!! leo nimeachana rasmi na msichana niliedumu nae kwa miaka mitatu ni mlokole na ameishika din kweli kweli yaan ni kila siku jpili ni lazima aende church na siku za kati ya wiki anaenda mkesha misa za usiku mapenzi yetu yalitawqliwa na utata mwing mno km kudo ilikuwa ngumu sn na...
  12. JamiiForums Tanzania Wachambuzi maandazi hata kupostiwa CAF inawauma?!

    Shida ni pale unapotaka kuchambua kila kitu.
  13. JamiiForums Tanzania Kila ndoto ina sababu na kusudi, usije ukapuuza ndoto yako hata moja

    Ni kweli kwamba ndoto, maono na njozi huja mara nyingi katika hali ya mafumbo sana ambayo kibinadamu ni ngumu kuelewa, lakini kwa msaada wa Mungu aliyefunua hayo huandaa na tafsiri halisi kuyahusu maono hayo ama ndoto na njozi hizo. Nina wakaribisha katika tafsiri za Ndoto.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanamke mgumu asieweza chepuka hata ajaribiwe namna gani?

    Hebu soma kisa hapa chini kwa utafiti wangu hayupo mwanamke ambae hawez danganyika mwanamke ni dhaifu hata awe pastor ndo walivoumbwa There is this man who began chatting with me around October. The man is very handsome and with money, he began showering me with nice messages and slowly...
  15. JamiiForums Tanzania Jemedari: Kisinda hatoweza kucheza hata mechi moja msimu huu

    Gwiji la uchambuzi wa soka nchini Jemedari Mwana wa Kazumari amesema kutokana na ubobevu wake wa michezo anaamini kwa asilimia 100 kuwa mchezaji Kisinda hatocheza hata mechi moja msimu huu. Amesema jamii impe muda atakuja kutolea ufafanuzi kauli yake hiyo.
  16. JamiiForums Tanzania Kama ni Mungu ndiye aliyekupangia, hata mkikutana kwenye mazingira mabovu na ya kishenzi ndoa yenu itadumu

    Kuna demu mmoja nilikuwa nafanya naye kazi mahali. Zama zile kulikuwa na foleni sana Dar, barabara nyingi zilikuwa nyembamba, hivyo basi mambo ya happy hour kuanzia saa 11 hadi saa mbili usiku ilikuwa ni ratiba ya sehemu nyingi za biashara. Watu walijazana kwenye mabaa kusuburi foleni ipungue...
  17. JamiiForums Tanzania Simba SC nawaomba Okra awe anaanza Kikosi cha Kwanza na Sakho atokee Benchi au hata asipangwe kabisa

    Kama kuna Mchezaji wa Simba SC ambaye Kutwa anatupandisha Hasira wana Simba SC na hatujui ni kwanini Makocha huwa wanapenda Kumuanzisha First Eleven ni huyu Pape Ousmane Sakho. Na kama kuna Mchezaji ambaye Simba SC ni muhimu, tegemeo na Lulu Kwetu kutokana na Kipaji chake Tukuka ( tena kumzidi...
  18. JamiiForums Tanzania VIDEO: Sabaya hatakiwi na hastahili kuonewa huruma hata kidogo

    Wakina mama wanamlilia Sabayahuko mahakamani kesi yake unavyozidi pigwa kalenda. Nasema hivi.. huyu Sabaya hastahili kuonewa huruma na mtu yeyote kwani alikuwa amejaa dharau kali, jeuri kiburi ma majivuno. Kama aliweza muonesha hadharani mkuu wake wa mkoa Anne Mngwira (RIP) dharau ya wazi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

    Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
  20. JamiiForums Tanzania Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

    Habari! Mpaka leo natafakari hivi ni sababu za Kijiografia ndizo zimepelekea utofauti huu mkubwa wa akili baina ya Mwafrika na mtu mweupe? Sometimes nahisi ni sababu za kibaiolojia (genetic factors) ndizo zimeweka mstari wa akili kati ya Mwafrika na mtu mweupe? Narudi mezani napata jibu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…