hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama Chawa wa Rais Samia, sio kutete supuuzi. Yaaani ongezeko la Tsh 1,500 ndio iwe sababu?

    Chawa wa mama Samia acheni ujinga
  2. JamiiForums Tanzania Tanesco na Miradi Lukuki ambayo Hata Pesa hatujui tutapata Wapi ?

    Sijakosea najua hili ni Jukwaa la Jokes na nimeweka hapa sababu yanayofanyika ni kama Utani... Nimemsikia Makamba leo katika utiaji wa Saini za mikataba lukuki ambayo itahitaji pesa lukuki za kuweza kufanya umeme kuwa Historia yaani anasema kwama vile Mkapa alivyofanya usafiri kuwa mzuri...
  3. M

    JamiiForums Tanzania RPC Muliro kama uraiani tu mnatubambikia bange mifukoni; je, tukiomba hizo lifti katika Difenda zenu si mtatubambikia hata vichwa vya watu?

    Bora nitembee na Miguu kutoka Mwenge hadi Tegeta Nyuki nitakuwa na Amani na pia nitakuwa nimefanya Zoezi la Kiafya kuliko Kuomba Lifti katika Difenda za Polisi Hawa wa Tanzania ninaowafahamu Mimi.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi tendeeni watoto wa wenzenu kama wa kwenu hata kama leo huna mtoto

    Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera. Nilikuja kukagua shughuli za mradi Geita,baada ya kumaliza siku tatu nikampigia simu rafiki yangu anayeishi...
  5. JamiiForums Tanzania Tuzikatae ndoa kila iliyo sasa,leo , kesho na hata milele hapa duniani

    Salaam JF, Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu usipoelewa basi. Tenda wema kadri ya uwezo, penda, timiza, furahi. Wema usizidi uwezo. Wengine...
  6. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa ni shinikizo la Mabeberu na ndio maana Hati za Muungano wanazo wao

    Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni. Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa...
  7. JamiiForums Tanzania Dizasta Vina hajamfikia hata songa, acha apambane na watoto wenzake

    Baada ya kuachia tribulation ngoma ya kumdiss rapcha naona ata ngoma zake zimeanza kupepea hewani hata wasomjua dizasta wamemjua Sasa. Hila jamaa flow yake haibadiliki ana usanii ule wa kizamani wa kuimba kwa kusimulia mkasa tukio Fulani. Aige mifano Kwa songa, Nash mc Nikki mbishi max Cortez...
  8. JamiiForums Tanzania Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

    Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda. Nikashuka stendi nikamwambia boda nipeleke lodge nzuri nzuri. Baadaye nikaona nisichemke ngoja nimshirikishe mwenyeji wangu. Mwenyeji wangu sikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hata mimi ningekataa

    Japhet Maganga Katibu mkuu wa chama cha walimu (CWT) aliteuliwa mkuu wa wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera. Ndugu @ole_mushi akasema MagangThadei Ole Mushi huo uteuzi kwa sababu ana mshahara wa 7.8M kama Katibu mkuu wa CWT, lakini akienda kuwa DC atalipwa 3M. @ole_mushi akasema, licha ya kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Diamond Platinum hata kwenye filamu anaweza kufanya vizuri

    Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi. Imagine Diamond anaigiza movie kama hii; Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo...
  11. JamiiForums Tanzania Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

    Miaka ya tisini na mwanzoni nwa miaka ya 2000 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia South Africa,Ulaya au Marekani. Zilitumika njia zote haramu na halali ikiwemo kuzamia meli mpaka bendi ya Orchestra Vijana Jazz wakatunga wimbo wa Ngapulila.Hemed Maneti na Eddy Sheggy waliimba si mchezo RIP...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Chadema ni watu wa Amani sana. Hakuna hata sisimizi aliyekanyagwa

    Hiki chama aisee ni cha kipekee. Tangu hapo zamani kikifanya mikutano na shughuli zingine za mikusanyiko huwa wanatoma kwa amani na furaha tele kwa wananchi. Mikutano yao isipoingiliwa na dola huwezi kusikia hata Mwananchi mmoja akilalamika kukanyagiwa fungu la nyanya wala dagaa. Ngoja sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanadamu ni mtawala asiye na nguvu juu ya hata viumbe viishivyo ndani ya utawala wake?

    Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya maeneo ya nchi fulani ingekuwa inawezekana ningewashauri wauzie hata nchi jirani wagawane fedha

    Nchi nilipo sasa hivi kweli Ni kubwa lakini watu waishio huku wanapata tabu maji shida, barabara taabu, Afya shida, umeme ndo kabisa ukiwauliza habari ya matumizi ya gesi ya kupikia hawaelewi kabisaa. Jamani kuna maeneo bado loh! Picha nimekatazwa kupiga.
  15. JamiiForums Tanzania Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

    Salaam wakuu, unajua katika maisha haya. Kuna baadhi yetu tumekuwa tukifanya baadhi ya vitu ambapo vimekuwa vikitufurahisha. kiasi kwamba imekuwa ngumu kuacha, hata Kama tushauriwe kwa ukubwa gani, au na mtu yoyote. kwa upande wangu Kuna vitu vinne, naona kabisa kuacha ni mpaka niingie...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna ambao hata kwenye usaili wa polisi majina yao hayajatokea?

    Kuna ambao hata kwenye usaili wa polisi majina yao hayajatokea?
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachungaji kumpigia Kura Mch. Dkt. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama kuwa Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani

    Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu, Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mch. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameishinda vita hata kabla haijaanza. Muda utazungumza

    Mch. Eliona Kimaro ameonesha ukomavu wa kiroho na wa kiutumishi wa hali ya juu sana. Baada ya kupewa barua ya kutakiwa kuchukua likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba bila shaka maana alipanga kuendesha semina), inayomlazimu kusitisha semina aliyokuwa ameianza hapo kanisani kwake, na kutakiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hesabu za makadirio hata kama Mandonga kalipwa milioni 5 kwa pambano lake la ufunguzi bado kapunjwa mno, atafutiwe Meneja upesi

    Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/ Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi. Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru...
  20. JamiiForums Tanzania Tusipangiane, hata wewe unaweza kwenda Ulaya kupitia shughuli unazofanya

    “Hata shabiki nae ana fursa ya kwenda Ulaya vile vile kwa biashara zake anazofanya. Kama wanadhani kwenda ulaya ni rahisi basi shughuli zao pia ziwapeleke Ulaya. Hata ulaya wanatumia mkaa pia wakauze mkaa ulaya. Usimpangie mtu kwenye shughuli yake,” Ibrahim Ajib Yuko sahihi au maneno ya mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…