hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi ni siri saba kuhusu fedha ambazo ni lazima uzifahamu kabla hujafikisha umri wa miaka 20

    Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni. Wapo tayari kutufundisha Kiundani zaidi historia ya akina Vasco dagama Jinsi walivyoweza kufika afrika kusini kuliko kutufundisha namna ya kutengeneza...
  2. JamiiForums Tanzania Aina hii ya watu huwa na washangaa sana. Huenda na wao pia huwa wananishangaa

    Mungu awe nanyi nyote. Nikweli kwamba hatuwezi fanana kwa kila kitu wala kupangiana vitu vya kufanya. Sasa kuna hawa watu yaani unakuta analalamikia kitu hadi unauzika ukimwambia achana nacho ufanye kitu kingine anakuambia hawezi acha kwa sababu flani fulani zisizo hata na mantiki yoyote...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

    Wanabodi Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu katiba yao, sheria zao, haki zao na wajibu wao. Kujitolea huku kuwa mwalimu wa somo la katiba, na sheria, haki na wajibu, nimehamasishwa na mtu huyu hebu msikilize mwenyewe...
  4. JamiiForums Tanzania Mkiwa mbele za watu anakua baby kweli kweli ila mkiwa chumbani hataki hata kugusana

    Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani. Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura. Ile closeness...
  5. JamiiForums Tanzania Huruma, upendo na msaada wa Mungu ndiyo msingi wa mafanikio yako kisiasa, kijamii na kiuchumi

    Historia ya maisha yako ya zamani tangu kuzaliwa, malezi na makuzi yako kiroho, kimwili, kielimu, kisiasa kijamii na hata kiuchumi ni Huruma ya Mungu tu. Na hata hapo ulipofikia hivi sasa ni Upendo wa Mungu tu Na unapoelekea ni pekee Msaada wa Mungu ndiyo wa kukufanikisha. Jifunze kua na...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hii imekaaje? Anaenionganishia dili anauhitaji kuliko hata mimi! Cheki sms yake.

    "kaka vp ule mpango mbona kimya au nimuumganishie mwingine?" Hata maisha ya kuonganishiana michongo ya kazi inaharufu ya utapeli. Of course jamaa ni kweli mzee wa madili lakini the way anayo tuma sms inanistua kuona anataka kunivuna vya mfukoni mwangu. Je, umewahi kukumbana na kisanga cha...
  7. JamiiForums Tanzania VYUMA VIMEKAZA Vs SINA HATA MIA MBOVU

    Salaam wakuu. Waliosoma Cuba level za PHD washanielewa. Upi msemo at least unatia moyo. NB: please usitaje jina lolote, kwenye comment majibu ya jicho la 3D yatapendeza sana Nawasilisha.
  8. JamiiForums Tanzania kila kona manyanyaso, hata haki ya watumishi kupata nyongeza ya mwaka ishakuwa manyanyaso.

    Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo; 1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh haitaki kuona watu wakidai haki zao. 2.Serikali imekuja na mifumo mbalimbali kama pepmis na mengine...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi baada ya kuwasili Magomeni Mapipa akiwa anazungumza na wanahabari kuhusu maandamano Ikumbukwe kuwa Septemba 11, 2024, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na mauaji, akiwemo kada wake, Ali Kibao. Hata...
  10. JamiiForums Tanzania Uwekezaji TEMESA (PPPs) kama Watanzania tuwekeze hata kwa Ushauri

    Baada ya kuona tunaitwa kuwekeza kwa UBIA kwenye VIVUKO; nikaingia kwenye TOVUTI yao kuona hawa jamaa wanafanya nini katika Huduma ya VIVUKO Home | TEMESA Kwa haraka haraka naona kama kazi za hawa watu nyingi ni za administration / Usimamizi (Hivyo wanaweza wakasimamia kwa uchache au...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga ingekuwa na dini yakee hata wach tungepiga hela sana

    Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
  12. JamiiForums Tanzania Yaani ukifanya mchezo Yanga hata diara anakuweka...kila mchezaji mfungaji

    Yaaan huyu baba Gamondi sijui akikuwa wapi Yaan kilamchezaji anakuweka Ukisibiri aziza anakuja clementine Ukimkosa clementine shamaaa anakuweka Ukimbana shamaaa sengeli anakuweka Tunapoelekea tusishangae na Disrael akaa diara i akakuweka Yanga tamuu jamani
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

    Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa. Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
  14. JamiiForums Tanzania "Nenda karuke nao pamoja; hata kama hufanani nao"

    💼 MHADHARA WA 12 Mwanangu eeh! Mara moja moja ukishika hata shilingi elfu 30 nenda katembelee hoteli ya kifahari au maeneo mengine ya kifahari. Fika hoteli ya kifahari agiza glasi moja ya juice anza kunywa kwa mbwembwe mpaka wakuone "na wewe ni mtu". Wakati unakunywa hiyo Juice punguza speed ya...
  15. JamiiForums Tanzania Niwajibu nini Ukweni? Yaani jibu ambalo litatosha na liwe la haki hata kama litawakera ila liwe la haki.

    Hii ni mimi huyu Sonko sio mwingine,, Short story huko nyuma nyuma hivi nikiwa kijana. * **** **** Miaka imeenda sana,, Kwa jadi ya kabila letu wanaona nimepaa sana age halafu sieleweki. Zingatia sieleweki yaani, Hawasikii Sonko kuwa na demu, wala zile kesi za ajabu ajabu. Kifupi mtaani...
  16. JamiiForums Tanzania Hata Kama Mimi Ndo Mtekaji Kwa Hotuba ile ya Rais Ningekua na Amani

    Hotuba ya juzi ya Rais imeonyesha dhahiri yeye na Serikali yake ni watu wa namna gani. Nilitegemea Rais kupitia hotuba ile angefanya yafuatayo: 1. Kuonesha kusikitishwa na mambo ya utekaji 2. Kuonya, kulaani na kukemea akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu 3. Kutoa amri ya uchunguzi wa haraka kama jambo...
  17. JamiiForums Tanzania Jitahidi kujifunza kila siku hicho unachokifanya ili hata ukiulizwa unahitaji kusaidiwa nini ili kuikuza usibabaike kujibu

    Kwanza kabisa ninampongeza Waziri wa Kilimo Bashe kwa kuguswa na kijana wa kitanzania anayefanya kilimo cha kitunguu na kutaka kumsaidia. Ubarikiwe sana Bashe. Vijana kama hawa wanahitaji kusaidiwa sana mitaji. Ila nimesikitika kijana kushindwa kujua nahitaji nini hasa ili kilimo chake kipige...
  18. JamiiForums Tanzania Mama Hata CCM Wamechoka na Utekaji, Mbunge Amtaja Mtekaji Kuwa ni Mtoto Pendwa.

    Huyu pamoja na kuwa ni mchungaji lakini kisiasa ni kiongozi yaani ni mbunge wa Kawe. Amepiga verse za kutosha na kwa lugha ya Alama ametutajia mtekaji mkuu kuwa ni yule aliteka studio za TV na akamteka mwanamuziki. Huyo mtu ni mtoto pendwa wa #1 na toka amrudishe kwenye system matukio...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mohamed Issa: Kwenye hili la utekaji sio serikali pekee ya kunyooshewa kidole hata hao wapinzani wanaweza kutekana

    Akizungumza na BBC mchambuzi wa mambo ya kisiasa ndugu Mohamed Issa amesema kuinyooshea Serikali pekee kwenye mambo ya kupotea na kutekwa kwa watu sio sawa kwani hata vyama vya upinzani huwa vinafanya hayo matukio kama matokeo ya kutofautiana wao kwa wao. My take Hivi inawezekana kweli kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tangu lini Mbwa Masikini wa Afrika 'akimbwekea' Mbwa Tajiri wa Ulaya na Marekani wanatishika au hata kupepesuka tu?

    Halafu ukute huyo Mbwa mwenyewe wa Afrika hana hata Afya na hajui Kukabiliana na Adui ila kutwa Kujitutumua tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…