hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Roadmap ya karne hii ya kutokukosa hata shilingi mfukoni!

    Habari za Wadau wa JamiiForums! Salamu kwa wapambanaji wote wa maisha, wale wanaokimbiza ndoto zao bila kusubiri kesho ifike. Huu ni mwaka wa ushindi, mwaka wa kufungua milango ya fursa, mwaka wa kuhakikisha hakuna mfukoni mwetu unakosa hata senti moja! Kama unataka kuondokana na hali ya kuishi...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini hakuna hata jimbo moja la uchaguzi nchini litaenda upinzani uchaguzi mkuu wa october 2025

    Kwa namna ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ilivyotekelezwa kikamilifu na kwa ufanisi wa zaidi ya 98%, Ni wazi imani na kuaminika kwa serikali sikivu ya CCM kwa wananchi inaweza kua ni zaidi ya 100%, na hiyo itamaanisha na kuashiria kwamba, CCM inaweza kushinda uchaguzi mkuu wa October...
  3. JamiiForums Tanzania Ukimpiga simu baada ya maongezi akakata simu mpigiwaji hata nusu sekunde haijapita anaamanisha nini?

    Chawa wa mama mkae mbali na huu uzi. Iko hivi kuna wale watu ukimpigia simu yahn ile mnaagana unamalizia tu kuongea keshakata simu na hapo umepiga wewe. Hawa watu huwa wana maana gani?
  4. JamiiForums Tanzania Usingomaza unaongezeka kwa maana wadada hawataki tena kutii mabwana zao ila wakienda makazini hata boss akimtuma maji ya kunywa anasema "yes sir"

    Najua mnaweza kuja na claim ya kuwa unakuta bwana ni mkorofi, aaah waapi!? Ebu jaribu kuwa mpole wa kupitiliza uone jinsi gani mwanamke atakavyokuendesha. Tatizo kuwa hamtaki tena role ya "traditional woman" iliozoeleka katika mapenzi, mnataka mapenzi ya instagram, ukweli ni kuwa mwanaume...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ruvuma: Souwasa mnatupiga sana bila hata huruma

    mamlaka ya maji Safi Na usafi WA mazingira Songea(SOUWASA) mnawaumiza sana wateja wenu bill mnazotoa Ni kubwa kuliko matumizi. Nyumba ambayo imefungwa maji hayatumiki Kwa mwezi nzima mnatoa bill kuwa mteja anadaiwa laki tatu na themanini na Saba wakati matumizi yake Kwa mwezi hayajawahi kufika...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna ujinga mwingine hata kuuleta kwenye jamii unaona niujinga pia

  7. JamiiForums Tanzania Sijawahi sema refa sio kocha toka nianze kufundisha hata kama anapuliza filimbi kama anachezesha ngoma. Lakini kwa jana nawaachien wananchi

    Walioangalia KIPINDI CHA michezo channel ten yanasikitisha sana sanaa, Kocha mgunda kaulizwa umeonaje mechi, AKASEMA hajawahi kumsema Refa YOYOTE Toka aanze KUFUNDISHA akasema HATA kama anapiga filimbi kama ANACHEZESHA ngomaa Lakini yaliyotokeaaaa wananchi mmeyaonaaa nawaachia nyie mseme...
  8. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba, Ahoua na Zimbwe Jr waingia kwenye kikosi bora CAF hatua ya makundi

    Kwingineko Nyota wa Simba, Ahoua na Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) wameingia kwenye kikosi bora cha CAF hata ya makundi Kombe la Shirikisho
  9. JamiiForums Tanzania Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
  10. JamiiForums Tanzania Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya malipo aliexpress

    Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania huwa hawanunui gari inayotumia mafuta mengi hata kama ina ubora wa hali ya juu

    Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta tu Hata uuze gari yako sh laki tano kama inatumia kiasi kikubwa cha mafuta hakuna mteja...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Madereva wa Mabasi huwa wana haraka hata kama sehemu haiwaruhusu kupita wanalazimisha?

    Tabia ya madereva wengi wa mabasi Tanzania kuvunja sheria au kuwa na haraka kuliko watumiaji wengine wa barabara ni chanzo cha ajali nyingi. Ifikie wakati wamiliki wasifumbie macho tabia hii. Serikali pia iwawajibishe wasiangalie makosa ya vibao vya 50 tu au kuzidisha abiria kuna tabia nyingi...
  14. JamiiForums Tanzania Iipofika topic ya Kinjekitile tulimcheka sana na kumuona mshamba lakini hatukujua hata sisi tulikuwa tushapakwa dawa na kuambia risasi zitageuka maji

    Manipulation: Ni jinsi gani unaweza kumshawishi mwanadamu mwenzako?, its simple, mfanye akuamini zaidi ya nafsi yake, mfanye aamini ya kufikirika yana special connection na wewe. Confusion: Tulimshangaa sana ngwale lakini kuna upande mwingine ulituambia alifanya ushujaa ili ashawishi vijana...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote. Mungu akimpa...
  16. JamiiForums Tanzania Aziz Ki acha ushamba, Hamisa Mobeto hana hata Mahari ya kuku kumi (10)

    Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili. Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi ningekuwa Mimi ndiyo nataka Kumuoa ningetoa Mahari ya Shilingi Elfu Hamsini za Kitanzania na Kuku Jike...
  17. JamiiForums Tanzania Kijana jifunze kutambua nyakati 4 muhimu katka mahusiano

    Leo nimeona valentine isiwe kinyonge sana Kwa sisi vijana nmekuja na kitu kinaitwa timing Kijana jua neno timing ambalo uhusiano wake na time Timing ya jambo Fulani ili ulifanikishe ni lazma ulifanye ndani mda sahihi hapa namaanisha (time) Kwahyo majaribu kuhusianisha maneno haya jinsi...
  18. JamiiForums Tanzania Ni nani anamjaza ujinga Baleke? Angeshukuru hata kukaa bench Yanga

    Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?
  19. R

    JamiiForums Tanzania IDM ni software muhimu, kwanini watu wengi hata wenye uwezo kiuchumi hawataki kuinunua wapo tayari kuteseka na matoleo ya kuchakachua yanayosumbua

    Unaweza kuwaelewa watumiaji kama wanafunzi kutumia matoleo ya kuchakachua ila inakuwa too much mtu anaitumia idm miaka zaidi ya 10 na uwezo anao bado hataki kuinunua anakomaa na matoleo ya crack yenye changamoto nyingi kuanzia virus, ujumbe kutokea mara kwa mara wa kuinunua, ku expire, n.k.
  20. JamiiForums Tanzania Hata Ulaya wanataniana; Ona namna Man City ilivyompiga kijembe Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or

    Man city walimpiga dongo Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or jana katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya. Bado Vini akapafomu katika kiwango cha hali ya juu na kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Hata ulaya vijembe na utani wa hapa na pale upo bhana🤣🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…