hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanajamiiforums tufahamiane hata kwa Kila mtu apost picha yake. Tuanze na Sky Eclat apost hapa

    Tumekua tukishare ideas mbalimbali, ni muhimu kufahamiana japo kwa picha unashanga siku umeenda kijijini Mpwayungu unapokelewa vizuri na Faiza 🦊 Fox....... Tuanze sasa mm yakwangu ntapost mwishoni
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania hata wabunge na viongozi walalamishi! Sasa tunaenda wapi?

    Imefika wakati kila mtu anajua tatizo lakini ni hao hao wana lalamikia utaratibu wetu cha ajabu ndiyo hao hao wanatakiwa kubadilisha utaratibu! Huwezi kulalamikia mifumo kila siku
  3. JamiiForums Tanzania Kila nikiwatazama baadhi ya Wachezaji wa Yanga SC, naamini kweli mpira ni connection hata kama kiwango kimeisha

    Ukweli usemwe mpira Wetu Huu bado ni ungaunga mwana hata kama huna Kiwango (Kiwango kimeisha) Lakini ukiwajulia tu Viongozi basi unakula vizuri klabuni kwa Mshahara mnono na Kiwango huna. Ndiyoooo!! Huu ni ukweli Mchungu kabisa tena kweli ambao ukiumeza Lazima uombe sukari ama asali ili upoze...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia hata hongo za wazi za Matrafic zimekushinda?

    Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾‍♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni. Sasa serikali ikisema inapigana na rushwa rushwa gani hasa. Ni nani kafugwa kwa miaka yote ya...
  5. JamiiForums Tanzania Simba hata ikitoa draw kule Misri nipigwe Ban ya siku 7. Haiwezekani hata kwa Dawa

    Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana. Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo. Team ya kufika mbali ilikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kutengeneza filamu ambayo haipo hata top 20 Netflix,Youtube wala popote ni upotevu wa rasilimali fedha na muda

    Tunajua na tunatambua umuhimu wa utalii katika maendeleo ya nchi. Mataifa kama Morroco, Egypt na Kenya yamekuwa yakinufaika sana na utalii. Kama Lengo lilikuwa kuvutia utalii wa ndani, si vibaya kutumia watu mashuhuri hapa nchini katika kutangaza na kuvutia watalii wengi zaidi kutoka ndani...
  7. JamiiForums Tanzania Kitambulisho changu cha NIDA Kinafutika Kila siku. Je wanaweza kuniprintia kipya.

    Hapa nakitambulisho cha mpiga kura tangu 2015 hakina hitilafua hata nukta. Miezi kadhaa iliyopita nimepokea kitambulisho changu cha NIDA. Tena nawashukuru maana aliniletea mjumbe wangu wa Nyumba KUMI wa Chama cha Mapinduzi. NIDA Tanzania Jambo ambapo sijapenda haijapita hata mwaka herufi...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini hii nyimbo haikuwahi kupata tuzo yoyote hata ya mchongo

    Naibu waziri wa sanaa, utamaduni na michezo, hamisi Mwinjuma almaarufu MWANA FA.......kipindi cha huko nyuma alishawahi kutoa hii nyimbo inaitwa KAMA ZAMANI FT MAN DOJO NA DOMOKAYA Hii ni ngoma kubwa sana na inayoishi na alitumia akili kubwa sana, kuanzia kuandika production na kila kitu kama...
  9. JamiiForums Tanzania Wazungu wote waje afrika bila chochote na sisi wa afrika twende na pesa zetu hata na vitu vyetu kwao ndani ya miaka mitano itakuwaje.

    Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi. Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
  10. JamiiForums Tanzania Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

  11. JamiiForums Tanzania Simba iandikieni tff barua kwamba yanga wapewe kombe hata wakitaka Leo ,sio shida zetu , point 3 zinazafutwa uwanjani sio mdomoni na kulialia

    Naona yanga wanalialia kama watoto kwa makosa ya ushenzi wao !! Wanataka point za mezani kwa mechi gani waliocheza? Mwamuzi alikuwa nani ,na Kamisaa alikuwa nani? Ipeni yanga pointi 3 na ikiwezekana wapewe na za nyongeza Bado mwaka huu ubingwa hauwahusu
  12. JamiiForums Tanzania Ukiwa Down hakuna mwenye habari na wewe. Ukifanikiwa hata wale waliokudharau watajifanya wanakujua. Kata shingo wapite hivi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wakati upo down hakuna anayetaka kujihusisha na wewe isipokuwa watu Wachache Sana ambao ni wenye upendo wa KWELI kwako. Hawataki kujihusisha na familia yenu. Na pengine hawataki watu wajue ninyi ni ndugu kwa Sababu ya Hali yako ngumu. Kwenye magrupu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanapenda Uanamke sana. Hata wanajiita na kubehave kianamke. Mwandiko unawaumbua

    Sijui dunia ya sasa inaelekea wapi.... Kuna wanaume unaona kabisa wanaandika mwandiko wa kiume ingawa wanapenda wawe treated kama wanawake. Hawa hata uandishi wao utauona ingawa wanaandika sana wakijifanya ni wanawake na wakitaka waonekane hivyo watongozwe na kadhalika.kisaikolojia wanajisikia...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeamua kumtengenezea yule njiwa kabox ili akaemo. Maana hata jana mchana alienda kupiga masafa akarudi tena kwangu. All in All nimeamuachia Mungu!

    Ngoja nimpe hifadhi tu jamani. Soma pia: https://www.jamiiforums.com/threads/njiwa-kaingia-nyumbani-na-wala-haoneshi-dalali-ya-machachari-na-wala-hataki-kuondoka.2318538/ https://www.jamiiforums.com/threads/jamani-yule-njiwa-alieingia-nyumbani-nikamtoa-nje-leo-tena-amerudi.2318795/post-53177554
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado inaagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya rasilimali nyingi ilizonazo?

    Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
  16. JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zilimfanya Magufuli akashindwa kujenga hata kiwanda licha ya kusema Serikali yake ni ya viwanda?

    Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili. Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja . Huu ulikuwa utoto.
  17. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Ccm ni wale wale Jana Leo kesho na hata milele

    Ukiusikiliza ule wimbo wa Ccm mbele Kwa mbele Kuna maneno yanimbwa " Ccm ni Ile ile na makali ni yaleyale" hii nikweli Vijana kama mnategemea sisiyemu itawalete kitu kipya sahauni sana sana wanaboresha namna ya kuifisadia hii Nchi. Kikwete si alituahidi ajira Kwa Kila kijana? Magufuli si...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Ni situation gani ilikufanya utambue kuwa lazima utafute pesa hata iweje?

    Mimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa vitu vya shule ilinibidi niende kwa ndugu wa baba kuomba msaada ili niweze kwenda shule. Nikafika...
  19. JamiiForums Tanzania Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

    MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
  20. JamiiForums Tanzania Wasukuma wana mziki mzuri sana wa asili kuzidi hata bongo flava ya sasa na singeli.

    Great Thinkers Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania. 1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never 2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…