Habari Wana JF,Nimekuwa na Akili ya kujitambua tangu nikiwa na miaka15 hasa yanayohusu nchi na Wananchi. Mwaka 1985 Kulikuwa na chama kimoja tuu kwenye uchaguzi,Nakumbuka wabunge walikuwa wanaombea wawili kwenye chama kimoja!
Mmoja alitumia Alama ya Jembe, mwingine Alama ya nyundo,Na kumwaga...